Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page172/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   168   169   170   171   172   173   174   175   ...   206

Page

8.3.1.6.1 Mbonyeo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu chenye mbonyeo, yaani kinachobonyea. K.m., ndani ya bakuli ni yenye mbonyeo.

(1) Maneno gani huelezea kitu chenye mbonyeo?

concave, hollow, hollowed out, caved in, dented, indented, vaulted,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kibonyee?

kubonyeza

(3) Maneno gani hutaja sehemu yenye mbonyeo ya kitu fulani?

nook

8.3.1.6.2 Mbinuko


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu chenye mbinuko, yaani kinachobenua.

(1) Maneno gani huelezea kitu chenye mbinuko?

convex, bulging, bulbous, billowing out

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kibenue?

kubenusha

8.3.1.6.3 Tupu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu ambacho ni tupu - yaani, hakina chochote ndani na ni kwa sababu kimekombeka.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho tupu kwa sababu ya kukombeka?

hollow, cavernous, inflated

(2) Maneno gani hutaja tendo la kubenua kitu fulani?

hollow out

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho hakijakombeka, yaani siyo tupu?

solid

8.3.1.6 Mviringo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mviringo.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha mviringo?

cha mviringo, kiduara, cha duara, cha kuviringana, cha tufe

(2) Maneno gani hutaja kitu kilicho kiduara?

mviringo, tufe, duara, tone, mpira, kitanzi, mzingo

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe kiduara?

kuviringisha, kupiga kitanzi

(4) Vifaa gani hutumika katika kuchora duara?

bikari

(5) Maneno gani hutaja kitu kilicho kirefu na kiduara?

cylinder, cylindrical, rod, pipe, tube

8.3.1.7 Mraba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na halil ya kuwa mraba.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha mraba?

cha mraba

(2) Maneno gani hutaja kitu ambacho ni cha mraba?

mraba, mstatili, mchemraba, mchemrabasawa

8.3.1.8.1 Mlingano


Tumia eneo eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea vitu vilivyo na mlingano, yaani vyenye sura sawasawa pande zote mbili.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho na mlingano?

symmetrical, regular, even, balanced, even sided

(2) Maneno gani huelezea kitu kisicho na mlingano?

asymmetrical, irregular, uneven, unbalanced, lopsided

8.3.1.8 Ruwaza, mchoro


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ruwaza -- yaani, kitu ambacho kimepangiliwa kwenye mchoro fulani.

(1) Maneno gani hutaja ruwaza?

pattern, design, motif, patterning, markings,

8.3.1.9 Kunyosha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kunyosha kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kunyosha kitu?

kunyosha, kunyumbua, kukuza, kutanua, kutandaza, kueneza, kurefusha

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukinyosha?

elastic

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho haiwezekani kukinyosha?

inelastic

8.3.2.1 Laini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa laini.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni laini?

laini, nyororo, mfuto, laini kama mahameli

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe laini?

kulainisha, kusawazisha, kusugua, kukwatua

8.3.2.2 Kukwaruza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kukwaruza

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimekwaruza?

kukwaruza, kuparuza, rafu, yenye mashimoshimo

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kikwaruze?

kufanya rafu, kukwangua

(3) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu fulani ambacho kimekwaruza?

rut, groove, furrow, groove, wrinkle

8.3.2.3.1 Kuchongoka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu kilichocchongoka.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilichochongoka?

kuchongoka, chenye ncha kali

(2) Maneno gani hutaja ncha?

ncha

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kichongoke?

kuchongoa, kunoa, kutia makali

8.3.2.3 Kali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu kilicho kikali?

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikali?

kali, kuchongoka

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe kali?

kunoa, kutia makali, kuchonga

8.3.2.4 Butu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu kilicho kibutu.

(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho kibutu?

butu, kubutika, kusenea, kudugika, dugi

8.3.2.5 Mfuo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mfuo -- yaani, kato refu lililokatwa kwenye uso (au sehemu ya juu) wa kitu fulani, k.m., mstari unaotenganezwa na plau shambani, au kato refu lililofanyika na kisu au hata mtaro.

(1) Maneno gani hutaja mfuo?

furrow, groove, rut, scratch, crack, score, incision, slit, chamfer, channel, gutter, trench, ditch, moat, trough, seam, line, fold, wrinkle

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutenganeza mfuo?

furrow, plow, incise, score, cut, seam, cut a channel, engrave, etch, bite in

(3) Maneno gani huelezea kitu kilicho na mifuo mingi?

furrowed, ribbed, striated, fluted, corduroy, corrugated, rippled, washboard, wrinkled

8.3.2 Msokotano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na msokotano wa kitu fulani -- yaani, jinsi uso wa kitu fulani unavyohisika ukiguswa.

(1) Maneno gani hutaja jinsi kitu kinavyohisika kikiguswa?

hisia, msokotano

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe na msokotano fulani?

texture (v)



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   168   169   170   171   172   173   174   175   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page