Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page94/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   90   91   92   93   94   95   96   97   ...   206

4.6.7.2 Jiji


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jiji.

(1) Maneno gani yanahusiana na jiji?

jiji, mji mkubwa

(2) Maneno gani hutaja sehemu ya jiji?

district, park

4.6.7.3 Mashambani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mashambani--yaani eneo mbali na jiji fulani.

(1) Maneno gani hutaja mashambani?

boondocks, boonies, country, countryside, desert, field, outback, outland, outskirts, rural, sticks, upcountry, wasteland, wilderness

(2) Maneno gani huelezea eneo lisilo na watu wengi?

deserted, desolate, lonely, uninhabited, sparsely populated

4.6.7.4 Jumuia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jumuia--yaani watu wanaoishi pamoja katika eneo fulani.

(1) Maneno gani yanataja jumuia?

jumuia, umoja, usawa

4.6.7 Mkoa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mkoa--yaani sehemu ya nchi fulani au sehemu ya dunia.

(1) Maneno gani yanataja eneo kubwa, yaani mkoa au nchi?

eneo, mkoa, jimbo

(2) Maneno gani hutaja mkoa maalumu wa dunia?

Antarctic, arctic, equatorial, tropics

(3) Maneno gani hutaja mkoa wa nchi fulani?

state, province, territory, prefecture, county, district,

4.6 Serikali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na serikali.

(1) Maneno gani ya kawaida yanahusiana na serikali kwa jumla?

serikali, serikalimkuu, kutawala, Gavana Mkuu, utawala

(2) Maneno gani hutaja mahali pa serikali?

capital, seat of government,

(3) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na serikali?

governmental, official

(4) Maneno gani huelezea aina mbalimbali za serikali katika nchi mbalimbali?

monarchy, democracy, democratic, republic, republican, autocratic, dictatorship, dictatorial, communist, communistic, socialist, socialistic, theocracy, theocratic,

(5) Maneno gani hutaja bandera na ishara nyingine za serikali?

flag, official seal, crown, scepter, throne, regalia,

Page

4.7.1 Sheria fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sheria fulani au seti ya sheria.

(1) Maneno gani hutaja sheria fulani?

law, act of law, appointment, bill, command, commandment, constraint, decree, dogma, edict, judgment, legislation, ordinance, prescription, principle, regulation, requirement, rule, ruling, religious law, rubric, standard, statute

(2) Maneno gani hutaja sheria zote zilizopo kwenye nchi fulani?

laws, canon, code of laws, legal code

(3) Maneno gani hutaja sheria za kuanzisha serikali?

constitution

4.7.2 Kuidhinisha sheria


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuidhinisha sheria.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuidhinisha sheria fulani?

legislate, enact, enactment, establish, pass, prescribe, propose, sign into law, ratify

(2) Maneno gani hutaja kubatilisha sheria fulani?

annul, strike down, veto

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwataarifu wengine kuhusu sheria fulani?

issue an order, publish a law, proclaim, proclamation

(4) Sehemu ya serikali inayoidhinisha sheria inaitwaje?

legislature, legislative branch

(5) Sheria zinapitishwa na nani?

watu wanaochagua kwa kupiga kura, mbunge

4.7.3 Kuvunja sheria


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvunja sheria.

(1) Maneno gani yanataja tendo la kuvunja sheria?

commit (a crime), break the law

(2) Maneno gani hutaja jinai?

crime, misdemeanor, felony, capital offense, treason, illegality, lawbreaking, offense, wrong, wrongdoing, outrage, transgression, trespass, sin, evil

(3) Maneno gani humtaja mtu anayevunja sheria?

criminal, lawbreaker, underworld,

(4) Maneno gani huelezea tendo lisilo halali?

illegal, against the law, criminal, wrong,

4.7.4.1 Afisa wa mambo ya sheria


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na afisa wa mambo ya sheria.

(1) Maneno gani humtaja afisa wa mambo ya sheria?

legal personnel, arbitrator, scribe

(2) Wafanyakazi wa mahakama ni nani?

judge, court clerk, court recorder, bailiff

(3) Mtu anayejadili kesi mbele ya jaji huitwaje?

lawyer, counsel, legal counsel, counselor-at-law, attorney, attorney-at-law, legal adviser, advocate, barrister, solicitor

(4) Mwanasheria anayemtetea mshtakiwa anaitwaje?

defense attorney, counsel for the defense

(5) Mwanasheria ambaye anajadili dhidi ya mshitakiwa anaitwaje?

wakili wa mashitaka, wakili wa wilaya, mshitaki, wakili wa kushitaki

4.7.4 Mahakama ya sheria


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahakama ya sheria.

(1) Mahakama ya sheria huitwaje?

court of law, law court, supreme court, superior court, court of appeals, district court, divorce court, juvenile court, appellate court, tribunal, court-martial, kangaroo court

(2) Mahakama hufanyika wapi?

courthouse

(3) Sehemu za jengo la mahakama ni zipi?

courtroom, judge's chambers, jury room

(4) Sehemu za chumba cha mahakama ni zipi?

jury bench, witness stand, witness box, judge's bench, lawyers table, bar, dock

(5) Maneno gani hutaja muda ambao mahakama yako kwenye kikao?

session, the court is now in session

(6) Kesi ya korti inaitwaje?

kesi, kushitakiwa, daawa, kusikiliza mtu bila upendeleo, usikilizaji wa kesi mahakamani, kudai sheriani, kushitaki, kwenda mahakamani



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   90   91   92   93   94   95   96   97   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page