7.7.2 Kulenga shabaha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kulenga shabaha pamoja na kupiga au kukosa lengo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kulenga shabaha?
• aim, point, direct, line up on, set your sights on, sight along, focus on
(2) Maneno gani hutaja tendo la kupiga lengo?
• hit, on target
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukosa lengo?
• miss, fall short, overshoot, off center, wild shot
(4) Maneno gani hutaja lengo au shabaha?
• target, goal
(5) Maneno gani hutaja katikati ya lengo au shabaha?
• bull's-eye, dead center
(6) Maneno gani humwelezea mtu mwenye shabaha nzuri?
• mlengaji, kuwa na jicho zuri, mlenga shabaha
7.7.3 Kupiga teke
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana tendo la kukipiga kitu kwa mguu. Maneno kwenye eneo la maana hili yanaweza kutofautishwa na jinsi mguu unavyoenda, ama ni mwendo wa kubembea, au ni kwanza kukunja mguu kidogo kabla ya kuunyoosha haraka. Pia yanaweza kutofautishwa na kama mguu unapigwa juu au pembeni, kama tokeo linalolengwa ni kuharibu kitu au kukisogeza tu, au nguvu inayotumika wakati wa kupiga.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupiga kitu kwa mguu au kupiga teke?
• kupiga teke, kupiga buti, kupiga makonde, kupiga kiatu
7.7.4 Kubonyeza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kubonyeza kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubonyeza kitu?
• kubonyeza, kufinya, kusukuma
7.7.5 Kuchua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchua au kusugua kitu, ili kusafisha au kusawazisha.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchua?
• kusugua, kupangusa, kung'arisha, kuchua
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuchua kitu fulani ili kukisafisha?
• kupangusa
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuchua kitu fulani ili kukisawazisha?
• polish
(4) Zana na nyenzo gani hutumika katika kuchua?
• polish
7.7.6 Kusaga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusaga--yaani kukisugua kitu kwa kitu kingine kigumu ili kukivunja au kuondoa ngozi yake.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusaga kitu?
• kusaga, kukuna, kuparuza, kukwaruza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutia doa au waa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutia doa au waa katika kitu fulani?
• mark, stain
(2) Maneno gani hutaja doa au waa lililopo katika kitu fulani?
• mark, stain, spot, smudge, fingerprint
7.7 Matokeo ya mgongano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja matokeo ya mgongano ambao hufanyika juu au dhidi ya kitu fulani. Tuandike maneno yanayojata tendo lenyewe na pia matokeo ya tendo lile.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la vitu viwili kugongana na kuathirika na mgongano huo?
• impact (v), affect, change (v), impinge
(2) Maneno gani hutaja matokeo ya mgongano?
• impact (n), effect, change (n), impression
Page 7.8.1 Kuvunja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvunja kitu kuwa vipande iwe kwa bahati mbaya iwe kwa kutojali.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kitu kuvunjika?
• break
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuvunja kitu fulani?
• break, bust, fracture
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuvunja kitu fulani kuwa vipande vingi vidogo vidogo?
• break into pieces, smash, crush, pulverize, atomize
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimevunjika?
• broken, smashed, crushed, pulverized, (be) in pieces, busted
(5) Maneno gani hutaja tendo la kubomoa kizuizi?
• break through, breakout
(6) Maneno gani hutumiwa kwa kitu kama chupa, mfuko, n.k. kinapovunjika kwa sababu ya kujaa sana?
• kupasuka, kukatika
(7) Vitu hutoa sauti gani vinapovunjika?
• snap, crack, pop, boom, crash
(8) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni rahisi kukivunja?
• breakable, brittle, delicate, fragile, flimsy,
(9) Maneno gani huelezea kitu ambacho siyo rahisi kukivunja?
• strong, tough, hard, unbreakable, durable,
7.8.2 Ufa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja ufa--yaani kipenyo kidogo katika kitu fulani ambacho hakijatengwa kabisa.
(1) Maneno gani hutaja ufa?
• ufa, kuachanisha, kugawika mapande mawili
7.8.3 Kukata
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukata kitu fulani.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kukata kitu fulani, kwa jumla?
• cut,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukata kwa mkato mmoja?
• slice, cut once, cut in one movement,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukata kitu fulani kwa mikato mingi?
• hack, cut repeatedly
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukata kitu fulani kuwa vipande vingi?
• cut up, cut into pieces, dice, grate, shred, cube, quarter, halve, mince, grind,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kukata kitu fulani kwa kutumia mwendo wa kubembea?
• chop
(6) Maneno gani hutaja tendo la kukata kitu fulani kwa kutumia zana au kifaa maalumu?
• knife, ax
(7) Maneno gani hutaja mkato?
• mkato, chanjo
7.8.4 Kuchana, kupasua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchana au kupasua kitu fulani.
(1) Maneno gani hutumika katika kuelezea tendo la kurarua au kuchana?
• kuchana, kurarua, kupasua
7.8.5 Kufanya shimo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya shimo au nafasi katika kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya shimo katika kitu fulani?
• make a hole, make an opening, pierce, put a hole in, bore, drill, stab, broach
(2) Maneno gani hutaja tokeo la kutoboa?
• shimo, tobo, tundu
Share with your friends: |