8.1.5.7 Tu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kiasi au idadi maalumu ya watu au vitu -- yaani, kutozidi namba fulani na kutokuwa chini ya namba ileile.
(1) Maneno gani huelezea mtu wa pekee ua kitu cha pekee?
• only, sole, the one, lone, solitary, alone, one and only, single,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba kiasi maalumu ya kitu fulani ipo tu?
• only, just, no more than, all,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani ni kweli kwa kimoja au kundi la vitu moja, na siyo kweli kwa mengine.
• only, just, exclusively, nothing but, nothing else, be limited to, be restricted to, be confined to, be unique to, be peculiar to, exclusive,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani ni unavyosema lilivyo tu na siyo zaidi?
• only, just, purely, merely, mere, nothing but,
8.1.5.8.1 Kukadiria
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kiasi au idadi kukaribia kuwa kiasi au idadi fulani. Eneo la maana hili ni tofauti kidogo na eneo la maana 8.1.5.6 "karibu". Katika eneo la maana 8.1.5.6 unajua idadi au kiasi inayokaribiwa, lakini katika eneo la maana hili hujui kamili kiasi au idadi ya kitu fulani. Ni kama unabahitisha kidogo kiasi au idadi iliyopo.
(1) Maneno gani huelezea idadi au kiasi ambayo ni kadirio?
• approximate, rough,
(2) Maneno gani huelezea kiasi fulani ambayo siyo kamili?
• inexact, inaccurate, sort of, kind of,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba idadi au kiasi fulani ni kadirio?
• about, approximately, roughly, give or take, at a guess, somewhere in the region of, an estimated, some, something like, in round numbers, close to,
(4) Maneno gani huonyesha kadirio la kiasi lakini kiasi iliyopo inaweza kuzidi kadirio lile?
• or so, odd, or more, at least, and maybe more, barely, hardly, little more than, scarcely,
(5) Maneno gani huonyesha kadirio la kiasi lakini kiasi iliyopo inaweza kuwa chini ya kadirio lile?
• at most, as much as, short of,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kugundua kadirio la kiasi au idadi ya kitu fulani?
• approximate (v), estimate (v), overestimate, underestimate,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kukadiria kiasi kwa kumi, mia, au elfu iliyopo karibu nayo?
• rounded to the nearest ten/hundred/thousand, round up, round down,
(8) Maneno gani hutaja idadi au kiasi ambayo ni kadirio?
• estimate (n), approximation, ballpark figure, round figure,
(9) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linatokea katika muda usio kamili?
• about, around, approximately, round about, or thereabouts, circa, some time,
(10) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linatokea katika sehemu isiyo kamili?
• about, around, in the vicinity of, near, close to,
(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni karibu sawa na kingine?
• narrowly, rather,
(12) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linafanyika katika njia inayokaribia kuwa sahihi?
• roughly, more or less, somewhat,
(13) Maneno gani huelezea jambo ambalo siyo kadirio wala kamili?
• loose, vague, hazy, impressionistic, broad,
8.1.5.8 Kamili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba idadi au kiasi imekamilika kabisa -- yaani, kutozidi na kutopungukiwa.
(1) Maneno gani huelezea idadi au kiasi ambayo ni kamili?
• exact, precise,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba idadi au kiasi ni kamili?
• exactly, precisely,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linatokea katika muda fulani kamili?
• exactly, precisely, on the dot, sharp,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linatokea katika sehemu fulani kamili?
• right, bang, smack, plumb,
(5) Maneno gani huelezea kitu ambachi ni sawasawa kamili na kingine?
• exact, accurate, faithful, strict, literal, word for word, just
(6) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linafanyikiwa katika njia fulani kamili?
• exactly, strictly, religiously, to the letter,
8.1.5.9 Wastani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na namba ya wastani.
(1) Maneno gani hutaja namba ya wastani?
• wastani, kadirifu, ya katikati, ya kawaida
(2) Maneno gani huelezea namba ya wastani?
• average (adj), mean (adj), medium (adj), medial, on average,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukokotoa wastani?
• average (v), average out,
8.1.5 Yote
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya yote -- yaani, hali ya kuwa kwa kila kitu.
(1) Maneno gani hutaja vitu vyote vya kundi fulani?
• all, everything, the lot, every, each, without exception, altogether, total, a hundred percent, whatsoever, whichever,
(2) Maneno gani hutaja vitu vyote vya jambo fulani?
• all, whole, entire, the lot, every bit of, every inch of, every drop of, in its entirety, from start to finish, the whole of, totality,
(3) Maneno gani hutaja vitu vyote unavyovitaka?
• whatever, anything, everything but the kitchen sink, you name it,
(4) Maneno gani huelezea jambo linalogusa kila kitu au lililopo pamoja na kila kitu?
• total, blanket, overall, global, all-embracing, universal, all-pervading, complete, comprehensive, exhaustive, full, general, indiscriminate, sweeping, thorough, thoroughgoing, unmitigated, unqualified, utter, widespread, worldwide
(5) Maneno gani hutaja watu wote?
• everyone, everybody, anybody, whoever, whomever, whomsoever, whosoever,
(6) Maneno gani hutaja mida yote?
• always, every time, any time, everyday,
(7) Maneno ganih hutaja sehemu zote?
• everywhere,
(8) Maneno gani hutaja vyovyote?
• every way, all-out,
Share with your friends: |