8.2.3.1 Kitu chembamba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho chembamba.
(1) Maneno gani huelezea mtu au kitu chembamba?
• nyembamba, aliyekonda, mkondefu, mgofu, ya kimbaombao
(2) Maneno gani huelezea kitu chembamba k.m., tawi au kamba?
• thin, spindly,
(3) Maneno gani huelezea kitu chembamba k.m., nyuzi?
• fine, fibrous, fine-spun,
(4) Maneno gani huelezea kitu chembamba na sawasawa?
• thin, paper-thin, wafer-thin, slim,
(5) Maneno gani huelezea kitu chembamba, k.m., nguo au karatasi?
• thin, fine, light, lightweight,
(6) Maneno gani huelezea kitu chembamba na kidhaifu?
• flimsy, tenuous,
(7) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa chembamba?
• get thinner, grow thinner,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe chembamba?
• taper,
(9) Maneno gani hutaja hali ya kuwa chembamba zaidi kuliko kingine?
• thinner, thinnest,
(10) Maneno gani huelezea kitu kilicho chembamba kwa upande mmoja au kwa kikomo kimoja?
• tapering,
8.2.3.2 Mtu mnene
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mtu au mnyama aliye mnene.
(1) Maneno gani huelezea mtu aliye mnene?
• fat, overweight, big, large, portly, hefty, thickset, corpulent, fleshly, heavy, paunchy, ponderous, roly-poly, rotund, heavy-set,
(2) Maneno gani huelezea mtu aliye mnene sana?
• obese, obesity, gross,
(3) Maneno gani huelezea mtu aliye mnene na mfupi?
• dumpy, tubby, stout, stocky, squat, stubby,
(4) Maneno gani huelezea mtu aliye mnene na kupendeza?
• plump, chubby,
(5) Maneno gani huelezea mtu aliye mnene na mwenye nguvu?
• brawny, burly,
(6) Maneno gani hutaja mtu aliye mnene?
• tub, porker,
(7) Maneno gani hutaja mtu akinenepa?
• put on weight, gain weight, fill out, get fat,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kufanyia mtu awe mnene?
• fatten,
(9) Maneno gani huelezea chakula kinachonenepesha?
• fattening,
(10) Maneno gani huelezea mtu aliyenenepeshwa?
• fattened,
(11) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mnene zaidi kuliko mwingine?
• fatter, fattest,
(12) Maneno gani hutaja unene wa mtu fulani?
• weight, bulk,
(13) Maneno gani huelezea sehemu ya mwili iliyo na unene?
• pudgy, flabby, full, thick, ample, podgy,
(14) Maneno gani hutaja tumbo lililo nene?
• paunch, pot belly, beer gut, spare tire, middle-age spread, paunchy,
8.2.3.3 Mtu mwembamba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mtu au mnyama aliye mwembamba.
(1) Maneno gani huelezea mtu aliye mwembamba?
• thin, slight,
(2) Maneno gani huelezea mtu aliye mwembamba sana?
• emaciated, skeletal, be skin and bones, underweight, gaunt,
(3) Maneno gani huelezea mut aliye mwembamba na mrefu?
• lanky, spindly, rangy,
(4) Maneno gani huelezea mtu aliye mwembamba na kupendeza?
• slim, slender, trim, willowy, keep your figure, dapper, svelte,
(5) Maneno gani huelezea mtu aliye mwembamba na kutopendeza?
• skinny, bony, scrawny, scraggy, angular,
(6) Maneno gani huelezea mtu aliye mwembamba na mwenye nguvu?
• lean, wiry,
(7) Maneno gani hutaja mtu aliye mwembamba?
• scarecrow, skeleton, bag of bones,
(8) Maneno gani hutaja mtu akikonda?
• lose weight, slim, shed (ten) pounds, waste away, get thin,
(9) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mwembamba zaidi kuliko mwingine?
• thinner, thinnest,
(10) Maneno gani huelezea uso ulio mwembamba?
• pinched, drawn, gaunt, hollow cheeks,
(11) Maneno gani hutaja tumbo lililo jembamba?
• flat stomach,
(12) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi kuwa mwembamba?
• try to lose weight, watch your weight, watch your figure, diet, be on a diet, go on a diet, slim (v),
8.2.3 Upana na unene
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na maki kubwa. Fikiria kuhusu mifano ifuatayo; karatasi, nguo, kamba, kalamu, nyuzi n.k..
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho na maki kubwa?
• thick, chunky, fat,
(2) Maneno gani huelezea kitu k.m., tawi au kamba, kilicho na maki kubwa?
• thick, stout,
(3) Maneno gani huelezea kitu k.m., nguo au karatasi, kilicho na maki kubwa?
• thick, heavy,
(4) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa na maki kubwa?
• thicken, get thick,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe na maki kubwa?
• thicken,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na maki kubwa zaidi kuliko kingine?
• thicker, thickest,
(7) Maneno gani hutaja ukubwa wa maki ya kitu fulani?
• thickness,
(8) Maneno gani huonyesha ukubwa wa maki ya kitu fulani?
• how thick, be ten centimeters thick,
(9) Maneno gani huelezea sehemu ya kitu fulani iliyo na maki kubwa?
• thickening,
8.2.4.1 Finyu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa finyu -- yaani, kuwa na upana mdogo.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho na upana mdogo?
• finyu, nyembamba, kimefinyaa
(2) Maneno gani huelezea kitu kilicho na upana mdogo sana?
• tight squeeze,
(3) Maneno gani hutaja sehemu iliyopo kitu chenye upana mdogo?
• narrows, narrowing, waist, neck,
(4) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa na upana mdogo?
• narrow (v), get narrower, taper, thin (v),
(5) Maneno gani hutaja tendo la kufinyia kitu fulani?
• narrow (v), taper, thin (v), constrict,
(6) Maneno gani hutaja utaratibu wa kufinya?
• constriction, restriction,
(7) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimefinywa?
• tapered, thinned, constricted, restricted,
(8) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na upana mdogo zaidi kuliko kingine?
• narrower, narrowest, thinner, thinnest,
(9) Maneno gani huonyesha upana ulio mdogo wa kitu fulani?
• how narrow, be only (one inch) wide, be (two inches) (too) narrow,
Share with your friends: |