3.5.1 Kusema
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusema jambo fulani au kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema jambo fulani au kitu fulani?
• say, speak, talk, tell, state, express, declare, proclaim, inform, pronounce, remark on, make a remark
(2) Maneno gani hutaja jambo ambalo limesemwa?
• saying, quote, declaration, tale, speech, profession, remark, statement
(3) Maneno gani hutaja namna ambavyo jambo limesemwa?
• pronunciation
3.5 Mawasiliano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja aina zote za mawasiliano kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kuwasiliana kwa jumla?
• kuwasiliana, mawasiliano
Page
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kusema ukweli.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema ukweli?
• kusema kweli, ukweli, kueleza ukweli, uaminifu, kuwa mwaminifu, mnyofu, mkweli, mwadilifu, muwazi, usahihi, kushuhudia, shahidi, kufunua, ukamilifu
(2) Maneno gani humwelezea mtu asemaye ukweli?
• mkweli, mwaminifu, mwadilifu
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusema ukweli pasipo kuficha kitu chochote?
• honest, to be honest, in all honesty, frank, candid, direct, straightforward, tell someone straight,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusema ukweli pasipo kujali namna ambavyo watu wangine wanajisikia au pasipo kujali hisia za watu wengine?
• forthright, blunt, outspoken, bald, speak your mind, not beat about the bush, make no bones about, not mince your words, call a spade a spade, pull no punches,
(5) Maneno gani hutaja ubora au sifa za kusema ukweli?
• honesty, integrity, truthfulness, scruples,
3.5.1.3.2 Kusema uongo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kusema uongo--yaani kusema jambo ambalo sio la kweli.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema kitu ambacho si cha kweli?
• lie, tell a lie, pervert truth, deceive, tell tales, perjure, make up
(2) Maneno gani hutaja uongo?
• lie, falsehood, fib, white lie, half-truth, perjury, propaganda
(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye anadanganya au anasema uongo?
• liar
3.5.1.3.3 Kukanusha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukanusha alichosema mtu fulani--yaani kusema kwamba jambo alilosema mtu fulani sio la kweli.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukanusha kile mtu fulani alichosema?
• kukanusha, kukana, kutatanisha, kupinga, kubishia, kutokubaliana na, kusema kinyume cha
3.5.1.3.4 Kuweka wazi uongo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka wazi uongo--yaani kufanya jambo kuonyesha kwamba mtu fulani amesema uongo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka wazi uwongo?
• kushuhudia, kuweka wazi, kubainisha uwongo, kujichanganya, kuthibitisha, kutoa ushahidi
3.5.1.3.5 Halisi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kama jambo fulani ni halisi.
(1) Maneno gani huelezea jambo ambalo ni halisi?
• real, actual, genuine,
(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo ni halisi na sio la kufikirika?
• actual, concrete, fact, factual, nonfiction, real, reality, true
(3) Maneno gani huelezea jambo ambalo sio halisi?
• unreal, artificial, imaginary, phony, pretend,
3.5.1.3.6 Kuongeza sifa (kutia chumvi)
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuongeza sifa--yaani kusimulia taarifa, lakini kusema jambo fulani la uongo linalosababisha taarifa kuonekana muhimu zaidi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza sifa au kutia chumvi?
• kuongeza sifa, kutia chumvi
(2) Maneno gani hutaja unachokisema unapokiongezea sifa au unapokitia chumvi?
• exaggeration, overstatement
(3) Maneno gani huelezea kauli iliyoongezwa safi au iliyotiwa chumvi?
• exaggerated, extravagant, melodramatic
3.5.1.3 Kweli
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanaonyesha kama jambo fulani ni la kweli, kama linakubaliana na uhalisia, au kama sio la kweli.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kauli unakubaliana na uhalisia?
• true, truth, accurate, in fact, right, correct
(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani sio la kweli?
• untrue, false, falsehood, wrong, error, inaccurate, incorrect, mistake
Page 3.5.1.4.1 Kuita
Tumia eneo la maana hili kwa maneo yanayohusiana na tendo la kumwita mtu--yaani kusema jambo kwa sauti kubwa kwa sababu unataka mtu ambaye yupo mbali akusikie.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwita mtu?
• call, holler at, yell to, yell at, get someone's attention
(2) Maneno gani hutaja tendo kumpigia mtu simu?
• call, phone (v)
3.5.1.4.2 Kuwasiliana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwasiliana na mtu--yaani kuwasiliana na mtu ambaye yupo mbali kwa kutumia chombo chochote cha mawasiliano kama vile simu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuwasiliana na mtu?
• get in touch with, contact, make contact with, approach, get onto,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuwasiliana na mtu kila wakati?
• be in contact, keep in touch, stay in touch, keep in contact, communicate,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanikiwa kuwasiliana na mtu?
• get hold of, get through, reach,
(4) Maneno gani hutaja njia ambazo watu huzitumia kwa kuwasiliana?
• communication, contact,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kuwasiliana na mtu?
• lose touch, lose contact,
Share with your friends: |