Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page105/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   101   102   103   104   105   106   107   108   ...   206

4.9.4 Muujiza, nguvu ya kiroho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na miujiza--yaani matumizi ya nguvu ya kiroho ili kutenda mema.

(1) Maneno gani hutaja nguvu ya kiroho?

nguvu ya kiroho, nguvu ya kimuujiza, uwezo, yenye nguvu zote, mwenyezi, mwenye uwezo wote, uchawi

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya muujiza?

perform a miracle, produce a miracle, do a miracle

(3) Maneno gani hutaja tukio la muujiza?

miracle, miraculous event, sign, wonder, magic

(4) Maneno gani huelezea muujiza?

miraculous,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye anaweza kufanya miujiza?

mtenda miujiza, nabii

4.9 Dini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na dini na mambo ya kiroho, kwa jumla.

(1) Maneno gani hutaja mfumo wa imani na desturi zinazohusiana na Mungu?

religion, religious system, faith

(2) Maneno gani hutaja mambo yaliyoko nje ya uwezo wetu kama wanadamu?

supernatural, magic, miracle, miraculous, paranormal

(3) Maneno gani huelezea jambo linalohusu dini?

religious, sacred, spiritual

(4) Maneno gani hutaja maeneo yale ya maisha yaliyoko nje ya dini?

mambo ya kawaida, mambo ya dunia

(5) Maneno gani hutaja dunia ya miungu na roho?

spirit world, spiritual realm, the supernatural, the unseen

Page

4.9.5.1 Kujitoa wakfu, kumcha Mungu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujitoa wakfu--yaani, kuwa mtu anayemcha Mungu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hutumia dini yake kwa bidii?

devout, devoted, devotion, committed, pious, religious, zealous, saintly, holy

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hamchi Mungu au hana moyo wa kumwabudu Mungu?

muumini kwa jina tu, uvuguvugu wa kiroho

4.9.5.2 Kusali, kuomba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusali au kuomba--yaani kuongea na Mungu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsali au kumwomba Mungu?

pray, talk to God, beseech

(2) Maneno gani hutaja ombi au sala?

prayer, supplication, intercession, petition, thanksgiving, grace, benediction

(3) Matendo gani au mikao gani huonyesha hali ya kusali?

kuinamisha, kupiga magoti, kukunja mikono

4.9.5.3 Kuabudu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jinsi mtu anavyoonyesha ibada yake kwa Mungu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhusiana na Mungu au viumbe vya kiroho?

(2) Maneno gani hutaja matendo yaliyofanyika katika kumwabudu Mungu?

worship, adore, revere, reverence, lift up your heart, pay homage

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuabudu?

worship, adoration, devotion, homage, service, reverence, veneration, deification, idolization

(4) Matendo gani au mikao gani huonyesha hali ya kuabudu?

bow, kneel, genuflect, prostrate oneself

(5) Aina gani za matendo hutekeleza ibada?

sala, kuimba tenzi, kumsifu Mungu

4.9.5.4 Ibada ya kidini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ibada za kidini.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya ibada ya kidini?

perform a religious ceremony, hold communion

(2) Maneno gani hutaja ibada ya kidini?

kawaida ya ibada za dini, huduma ya kuabudu, huduma ya kanisa, muda wa maombi, mkutano wa maombi, kujifunza Biblia, utaratibu wa ibada, sala

4.9.5.5 Dhabihu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutoa dhabihu--yaani, sadaka, zaka au kitu kitolewacho.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa dhabihu au sadaka?

sacrifice, offer a sacrifice, offer up, burn on the altar, devote, consecrate

(2) Maneno gani hutaja hali ya kutoa dhabihu au sadaka?

sacrifice, offering, devotion, consecration

(3) Maneno gani hutaja kitu kinachotolewa?

sacrifice, offering, burnt offering, votive offering, gift

(4) Maneno gani huelezea dhabihu?

ya kutolewa sadaka, iliyowekwa wakfu, iliyofanywa wakfu

4.9.5.6.1 Mwiko


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mambo yaliyo miiko--yaani, kitu fulani kinachoepukika kwa sababu za kijamii, kidini, au kiutamaduni na siyo kwa sababu ya sheria za nchi.

(1) Maneno gani hutaja sharti la kiutamaduni linaloathiri mwenendo wako?

taboo, prohibition

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo au kitu kiwe mwiko?

make taboo, forbid, prohibit, ban

(3) Maneno gani huelezea jambo au kitu kilicho mwiko?

taboo, forbidden, prohibited, untouchable, inviolable, banned, off-limits, avoided

4.9.5.6 Utakaso wa kidini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na utakaso wa kidini.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtakasa mtu au kitu fulani kwa ajili za kidini?

purify, purification, cleanse, cleansing, wash, washing, sprinkle, sprinkling, baptize, baptism,

(2) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho kimetakaswa?

be pure, undefiled, unpolluted, washed, sprinkled

(3) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho hakijatakaswa?

be impure, defiled, polluted, unwashed

(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho husababisha uchafu?

uchafu, unajisi, kinyaa

4.9.5.7 Wokovu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na lengo au kusudi kuu la dini fulani, kwa mfano katika Ukristo wokovu kutoka katika dhambi, mauti na jehanamu. Kila dini ina imani tofauti kuhusu wokovu. Kusudi letu hapa sio kuhubiri, bali kupata maneno ambayo watu hutumia kuongelea jambo hili.

(1) Maneno gani hutaja jinsi Mungu alivyofanya ili kumwokoa mtu?

save, salvation, sanctify, redeem, justify, regenerate

(2) Maneno gani humtaja mtu anayemwokoa mwingine?

savior

(3) Maneno gani hutaja kile mtu afanyacho ili kuokoka?

kuamini, kutubu, kugeuka (kwa Mungu), kupokea (imani), kufanya kazi, kufanya juhudi



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   101   102   103   104   105   106   107   108   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page