Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page112/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   108   109   110   111   112   113   114   115   ...   206

5.2.3.5 Chakula kilicho mwiko


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea vyakula ambavyo hukatazwa kuliwa kulingana na mila au dini. Usitaje vyakula vyenyewe.

(1) Maneno gani huelezea chakula ambacho kimepigwa marufuku?

prohibited food, taboo food, unclean

(2) Maneno gani huelezea chakula ambacho hakijapigwa marufuku?

kosher

5.2.3.6 Kinywaji (kisicholevya)


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitu vinavyonywewa na watu (isipokuwa vinavyolevya).

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vinywaji kwa jumla?

kinywaji

(2) Aina za vinywaji huitwaje?

maji, maziwa, chai, kahawa, soda, maji ya matunda, maji ya limau, maji ya choya, juisi

5.2.3.7.1 Maandalizi ya kileo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutengeneza pombe na vinywaji vya kulevya.

(1) Maneno gani hutaja maandalizi ya vileo?

kukoroga (pombe), kupika (pombe)

(2) Hatua za kupika pombe ni zipi?

kuumua, kutonesha, kuacha iive

(3) Vyakula gani hutumika katika utayarishaji wa pombe?

mhopi, hamira, mahindi, mtama, viazi, udo, ndizi, asali, mhogo, mchele

(4) Vifaa na vitu gani hutumika kutengeneza au kupika pombe?

distillery, brewery, still, filter

5.2.3.7.2 Mlevi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kunywa vileo na athari anazozipata mnywaji.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kunywa kileo au pombe?

kunywa, kusharabu

(2) Maneno gani humwelezea mtu anayekunywa pombe kupita kiasi?

mlevi, mlevi sugu

(3) Maneno gani hutaja athari za pombe kwa mtu anayeitumia?

kulewa, kulewalewa, chakari

(4) Maneno gani hutaja athari za pombe baada ya ulevi?

kasumba, uchovu wa ulevi, maumivu ya kichwa ya ulevi

(5) Maneno gani hutaja mahali ambapo pombe hunywewa, na watu wake?

baa, kilabu, bwalo, mlinzi wa baa, mwenye baa

5.2.3.7 Kinywaji cha kulevya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja aina za vinywaji ambavyo hulevya.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja kinywaji cha pombe au cha kulevya?

alcoholic beverage, alcohol, liquor

(2) Aina za vileo zinaitwaje?

pombe, divai, wiski (aina ya pombe kali)

(3) Maneno gani hutaja kiasi cha pombe kilicho ndani ya kinywaji?

proof

5.2.3 Aina za vyakula


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na aina za vyakula.

(1) Maneno gani hutaja vyakula vikuu kwa jumla?

nafaka, nyama, mboga, matunda

(2) Maneno gani huelezea vyakula vinavyoliwa na visivyoliwa?

vya kulika, visivyolika

(3) Maneno gani huelezea chakula?

tender, tough, crisp, crispy, raw, stale, fresh

5.2.4 Tumbaku


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutumia tumbaku.

(1) Maneno gani hutaja tumbaku?

tumbaku, sigara, kiko, ugoro, tumbaku wa kunusa, tumbaku cha kutafuna

(2) Maneno gani huelezea njia za kutumia tumbaku?

kuvuta, kunusa, kutafuna

(3) Vifaa gani hutumika katika kutumia tumbaku?

kishika sigara, kiberiti cha sigara, kisahani cha majivu, kisafishia kiko

(4) Maneno gani humtaja mtumiaji wa tumbaku?

mvutaji (sigara)

(5) Tumbaku ina athari gani kwa mtumiaji?

kikohozi cha mvutaji, kansa ya mapafu, utawaliwa

(6) Mabaki ya kuvuta tumbaku ni nini?

majivu, moshi, kichungi

(7) Viambato vya tumbaku ni nini?

lami, bereu, nikotini (sumu ya tumbaku)

5.2.5 Dawa za kulevya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na dawa za kulevya--yaani dawa zisizotumika kama dawa za kuponya bali kama kichocheo. Mara nyingi dawa za kulevya zinaweza kuleta athari mbaya kwa afya ya mtu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja dawa za kulevya kwa jumla?

dawa ya kulevya, kichocheo

(2) Aina za dawa za kulevya zinaitwaje?

bangi, mirungi, afyuni, heroini, kokeini

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutumia dawa za kulevya?

kutumia, kulewa (na madawa)

(4) Vifaa gani hutumika katika matumizi ya dawa za kulevya?

sigara yenye bangi, sindano

(5) Maneno gani humtaja mtumiaji wa dawa za kulevya?

mlevi wa dawa, mtawaliwa

(6) Maneno gani huelezea kiasi cha dawa za kulevya?

kidonge, sigara

(7) Dawa za kulevya zina athari gani kwa mtumiaji?

utawaliwa, kulewa chakari

(8) Maneno gani hutaja kutawaliwa na dawa za kulevya?

be addicted, dependent, be hooked,

(9) Maneno gani hutaja kuhitaji dawa za kulevya?

addiction, habit, dependence,

(10) Maneno gani huelezea dawa inayomfanya mtu alevye au kutawaliwa?

addictive,

5.2.6 Dawa zinzochangamsha mtu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja dawa zinazomchangamsha mtu--yaani vitu vinavyonywewa, kuliwa, au kutafunwa ili kumchangamsha mtu au kuongeza nguvu zake.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja dawa zinazomchangamsha mtu?

stimulant

(2) Aina za dawa zinazomchangamsha mtu zinaitwaje?

coffee, tea, mate, hookah, chewing gum, beetle nut,

Page

5.3.1 Mavazi ya wanaume


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mavazi ya wanaume.

(1) Maneno gani hutaja aina mbalimbali za mavazi ya wanaume?

shati, kaptura, suruali, msuli, kanzu

5.3.2 Mavazi ya wanawake


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mavazi ya wanawake.

(1) Maneno gani hutaja aina mbalimbali za mavazi ya wanawake?

gauni, kanga, blauzi



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   108   109   110   111   112   113   114   115   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page