1.6.5 Maskani ya mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja maskani ya wanyama tu. Fikiria kila aina ya wanyama na maskani yao. Kwa maneno yanayotaja maskani ya wanyama yaliyojengwa na watu, tumia eneo la maana lake 6.3 (ufugaji).
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mahali anapoishi mnyama?
• habitat, the wild
(2) Maneno gani hutaja mahali wanapoishi mamalia?
• tundu la mnyama, pango, kishimo
(3) Maneno gani hutaja mahali pengine ambapo mamalia hufika?
• magaagao ya wanyama, dimbwi wanaponywea wanyama
(4) Maneno gani hutaja mahali wanapoishi ndege?
• kiota, kitulio cha ndege
(5) Maneno gani hutaja maskani ya nyoka?
• kitundu
(6) Maneno gani hutaja maskani ya samaki (nje ya maji, ziwa na bahari)?
• dimbwi la samaki
(7) Maneno gani hutaja maskani ya wadudu?
• kichuguu, mzinga, kifukofuko, nta ya nyuki, masega
(8) Maneno gani hutaja maskani ya buibui?
• kimia cha buibui, utando wa buibui
(9) Maneno gani hutaja maskani ya minyoo?
• tobo la funza, kitundu cha mnyoo
1.6.6 Kundi la wanyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja makundi ya wanyama tu.
(1) Maneno gani hutaja kundi la mamalia fulani?
• kundi (la ng'ombe, kondoo, mbuzi, simba au nyangumi), genge (la mbwa)
(2) Maneno gani hutaja kundi la ndege?
• kundi (la ndege)
(3) Maneno gani hutaja kundi la samaki?
• kundi (la samaki)
(4) Maneno gani hutaja kundi la wadudu?
• bumba (la nyuki), kundi (la nzi), baa (la nzige)
(5) Maneno gani hutaja kundi la wanyama wadogo?
• culture
(6) Maneno gani hutaja kiongozi wa kundi la wanyama?
• alpha male
(7) Maneno gani hutaja wafuasi katika kundi la wanyama?
• harem
(8) Maneno gani hutaja kundi la wanyama ambao bado wananyonya au bado hawajakua?
• brood, clutch (of eggs), kit, litter (of kittens), farrow (of pigs)
(9) Maneno gani mengine yanahusiana na makundi ya wanyama?
• silika ya kundi
1.6.7 Wanyama dume na jike
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wanyama dume na jike. Lugha zingine zina maneno maalumu kwa dume na jike ya aina fulani ya mnyama afugwaye. Pengine kutakuwa na neno kwa dume na si kwa jike ya aina fulani ya mnyama na pengine itakuwa kinyume.
(1) Maneno gani hutaja mnyama dume au jike (yaani kuna aina gani za wanyama dume na jike)?
• male, female, bitch, tom, tomcat, bull, bullock, cow, heifer, ram, ewe, billy goat, nanny goat, boar, sow, stallion, mare, filly, stag, buck, hart, doe, vixen, lioness, tigress, bull elephant, rooster, cock, hen, drake, peacock, peahen
Page 1.7.1 Cha asili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho ni cha asili--yaani kitu kilichoumbwa na Mungu na si kitu ambacho kimetengenezwa au kubadilishwa na watu.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha asili?
• natural, naturally, wild (animals, country), raw (materials), virgin (forest), untamed, organic
1.7 Vitu vya asili, mazingira
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitu vya asili na mazingira--yaani ulimwengu unaotuzunguka. Fikiria maneno yanayotaja jinsi watu wanavyoharibu au kuhifadhi vitu vya asili.
(1) Maneno gani hutaja ulimwengu unaotuzunguka?
• world, nature, environment, environmental
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu mazingira?
• pollute, pollution, pollutant, acid rain, smog, deforestation, global warming, greenhouse effect
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuhifadhi mazingira?
• conserve, conservation, recycle, biodegradable
(4) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa mazingira?
• ecology
(5) Maneno gani humtaja mtu anayesoma au kujaribu kuhifadhi mazingira?
• environmentalist, conservationist, ecologist, Green Party
Page 1 Ulimwengu, uumbaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja au kueleza ulimwengu wa asili tu.
(1) Maneno gani yanarejea katika kila kitu tunachoweza kukiona?
• ulimwengu wa asili, ulimwengu unaoonekana, mbingu na nchi, uumbaji wote
Page 2.1.1.1 Jicho
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jicho.
(1) Maneno gani hutaja jicho?
• eye,
(2) Sehemu za jicho zinaitwaje?
• jicho, mboni ya jicho, nyusi, ukope, vigubiko, tundu la kishimo cha jicho, kichirizi cha machozi
(3) Maneno gani huelezea hali ya macho ya mtu?
• mekundu kwa damu, yenye utando
(4) Macho yana kazi gani?
• see, cry, water,
(5) Maneno gani hutaja kuenenda kwa macho?
• look cross-eyed, roll, flicker, raise, lower, glaze,
(6) Maneno gani hutaja kuenenda kwa kope?
• blink, wink, close, open, squint, open wide (in amazement), bat (eyelids), flutter,
(7) Watu hufanyia nini macho yao?
• kusugua, kukinga
(8) Macho huzalisha au hutoa nini?
• tears,
(9) Maneno gani hutaja utoaji wa macho wakati wa kulala usingizi?
• "mchanga" wa macho
(10) Maneno gani hutaja mboni ya jicho kuwa kubwa au dogo?
• dilate
(11) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na macho?
• optic, retinal,
2.1.1.2 Sikio
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na masikio.
(1) Maneno gani hutaja sikio?
• ear,
(2) Sehemu za sikio zinaitwaje?
• sikio, kiwambo cha sikio, ndewe, nta za masikio
(3) Maneno gani huelezea hali ya masikio ya mtu?
• stick out,
(4) Masikio yana kazi gani?
• hear,
(5) Maneno gani hutaja kuenenda kwa masikio?
• wiggle,
(6) Watu hufanyia nini masikio yao?
• kukuna, kusafisha, kufunika, kudunga, kutoga
(7) Watu hufanyia nini masikio yao ili wasisikie kitu fulani?
• plug your ears, cover your ears, stuff cotton in your ears, stick your fingers in your ears, earplugs
(8) Masikio huzalisha au hutoa nini?
• wax, earwax,
(9) Watu hutumia nini ili wasafishe masikio?
• Q-tip
(10) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na macho?
• aural,
Share with your friends: |