Page 7.5.1.1 Kutenga, kutawanya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kutenga vitu katika makundi, na kutawanya vitu. Kwa jumla tuseme eneo la maana hili linahusu hali ambayo vitu viwili au zaidi vipo pamoja na mtu fulani anavisogeza ili visiwe pamoja.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutenga au kutawanya vitu?
• separate, separation, scatter, disperse, dispersion, dispersal, spread out, spray, move apart, move away from each other, put space between, to space (things), space out, place at intervals, divide, division, blow apart, distribute, sow, strew, sift
(2) Maneno gani hutumika kwa tendo la kutenga watu?
• separate fighting people, disperse troops
(3) Maneno gani huelezea hali ya vitu wakati vimetengeka?
• separation, dispersion, dispersal, the spread of, division
(4) Maneno gani hutaja kundi la vitu amavyo vimetengeka?
• a scattering (of something), Diaspora
(5) Maneno gani huelezea vitu ambavyo vimetawanyika?
• be scattered, thrown apart, resettled, thinly spread, spread out, far flung, flung, dispersed
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuchukua kitu fulani na kukiweka pembeni, kikitengeka na vingine?
• set aside, put aside, separate from the others, keep separate, keep special, reserve, pull out
7.5.1.2 Kuingiza katika kundi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuingiza kitu kwenye kundi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuingiza kitu fulani kwenye kundi?
• kuingiza, kutia ndani, kuweka ndani, kuingiza kati ya, kuambatanisha
(2) Maneno gani hutaja tendo la kutoa kitu fulani kutoka kundi?
• exclude, segregate
7.5.1.3 Maalumu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mwanakundi ambaye ni tofauti au maalumu.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho maalumu?
• special, different, unique
7.5.1 Kukusanya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukusanya vitu kuwa kundi. Kwa jumla tuseme kwamba eneo la maana hili linahusu hali ambayo vitu viwili au zaidi havipo pamoja, na mtu fulani anavisogeza ili viwe pamoja.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukusanya vitu?
• gather, accumulate, amass, assemble, bring together, bunch up, collect, compile, concentrate, consolidate, cumulate, group (v), heap, heap up, herd together, layer (v), mass together, pile, rally, round-up, stack, stack up, load,
(2) Maneno gani hutaja vitu vikikusanyika sehemu moja?
• gather, clump, cluster, collect, congregate, crowd together, flock, form, gang, horde, meet, pile up, swarm, throng,
(3) Maneno gani huelezea vitu ambavyo vimekusanyika?
• gathered, collected, concentrated, crowded, crowding, cumulative, massed together, massing, togetherness, heaped, loaded, piled,
(4) Maneno gani hutaja kundi la vitu ambavyo vimekusanyika?
• gathering, assemblage, bunch, collection, concentration, group, heap, huddle, mass, pile, stack,
7.5.2.1 Kuambatana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuambata vitu--yaani, kuweka kitu fulani, k.m., barabara, bomba au waya kati ya vitu viwili ili watu au vitu viweze kupita.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuambata vitu?
• link, link up, connect, join, network,
(2) Maneno gani hutaja kitu kikiambata vitu viwili?
• link, connect,
(3) Maneno gani hutaja hali ya vitu viwili vikiambatana?
• be joined (together), be connected,
(4) Maneno gani hutaja kitu kinachoambata vitu viwili?
• link, connection, coupling, hookup, network, passageway,
(5) Maneno gani hutaja vitu viwili (k.m., waya, barabara au mito) vikikutana na kuungwa?
• join, meet, converge, merge,
(6) Maneno gani hutaja mahali ambapo vitu viwili (k.m., waya, barabara, au mito) vinakutana na kuungwa?
• joint, connection, junction, intersection,
(7) Maneno gani huelezea kitu kinachoambata vitu viwili?
• connecting,
7.5.2.2 Kushikamana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vitu viwili au zaidi vikishikamana.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuunga vitu viwili kwa kutumia gundi au kitu cha kunata?
• stick, stick down, stick together, glue,
(2) Maneno gani hutaja vitu viwili au zaidi vikishikamana?
• stick, stick together, adhere, cake, cling, cohere, grip, lump,
(3) Maneno gani huelezea kitu kinachonata na vitu vingine?
• sticky, adhesive, gummy, magnetic, tacky,
7.5.2.3 Kuongeza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuongeza kitu fulani na kitu kingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza sehemu au kipande kipya na sehemu au kipande kingine?
• add, add on, put on, append, superimpose,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza kitu fulani na kitu kingine unachokipika?
• add, put in,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuongezea kiasi ya kitu fulani?
• supplement, build on,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuongezea ubora wa kitu fulani?
• give, lend,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuongezea kile kilichosemwa?
• tack on,
(6) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeongezeka?
• ongezeko
(7) Maneno gani huelezea kitu kinachoongezeka?
• extra, supplemental, supplementary,
7.5.2.4 Kuondoa, kuchangua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuondoa sehemu au kipande fulani cha kitu, na kwa kuchangua kitu, au kitu kuchanguka.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuondoa kipande cha kitu fulani?
• remove, removal, take off, detach, tear off, break off, cut off, cut away
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuondoa kipande kutoka ndani ya kitu fulani?
• take out, remove, extract, extraction, cut out, get out, excision, withdraw,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuondoa sehemu kutoka uso wa kitu fulani?
• take off, remove, wipe off, peel off, scrape off, scratch off, rub off
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuondoa maneno kutoka kitabu au muziki kutoka rekodi au CD?
• erase, delete, cross out, rub out
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuondoa kitu fulani?
• removal, extraction,
(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukiondoa?
• removable, temporary (ink), non-permanent,
(7) Maneno gani huelezea kitu ambacho haiwezekani kukiondoa?
• permanent,
(8) Maneno gani hutaja kitu cha majimaji au zana inayotumika katika kuondoa kitu?
• eraser, remover, paint remover,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kuchangua kitu fulani?
• take apart, detach, disunite, disassemble, disjoin, uncouple, unhook, unfasten, pull apart, break up, dismantle, take something to pieces
(10) Maneno gani huelezea kitu fulani baada ya kuchanguliwa?
• apart, detached, disassembled, dismembered, be in pieces,
(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukichangua?
• detachable,
(12) Maneno gani hutaja vitu vikichanguka?
• kuchanguka, kuchanganuka, kuachana
Share with your friends: |