8.1.3.1 Tele
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba vipo vitu fulani vingi au watu wengi.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kiasi kubwa ya kitu fulani ipo?
• a lot of, lots of, a great deal of, a good deal of, a fair bit of, a fair amount of, much, loads of, tons of, masses of, scads of, piles of, heaps of, stacks of, a mountain of, extensive, widespread, big amount, lots and lots,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba idadi kubwa ya vitu au watu ipo?
• a lot of, lots of, many, many of, a large number of, large numbers of, plenty of, loads of, tons of, masses of, scads of, a bunch of, dozens of, numerous, a host of, quite a few, a wide range of, a raft of, multi-, multiple, a multitude of, considerable, goodly number, plethora, profuse, oodles, scores of,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba idadi kubwa sana ya vitu au watu ipo?
• hundreds of, thousands of, millions of, a great many, countless, innumerable, overwhelming, myriad,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba mambo mengi yanatokea?
• flood of, wave of, deluge of, avalanche of, stream, torrent,
(5) Maneno gani huonyesha kwamba mambo mengi mabaya yanatokea?
• spate of, epidemic, rash of, wave, be a hotbed of,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba watu wengi wanafanya jambo fulani?
• in large numbers, in droves, in force, in strength, thick and fast, be dying like flies, be dropping like flies,
(7) Maneno gani huelezea kitu kinachofanyika kwa watu wengi?
• common, popular, widespread, widely,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba mtu fulani anafanya jambo fulani sana au mara nyingi?
• a lot, a good deal, a great deal, quite a bit, plenty, heavy,
(9) Maneno gani huelezea kitu fulani kikiwa na kiasi kubwa ya dutu fulani?
• high in, rich in,
(10) Maneno gani huelezea mtu fulani atenganezaye au kufanya mambo mengi?
• productive, prolific,
(11) Maneno gani hutaja tendo la kutumia au kutoa vitu fulani vingi?
• generous, liberal,
(12) Maneno gani huelezea kiasi au idadi kubwa?
• large, big, high, sizable, considerable, substantial, significant, generous, handsome, hefty,
(13) Maneno gani huelezea kiasi au idadi kubwa sana (au mno)?
• huge, enormous, vast, massive, colossal, goodly, immense, whopping,
8.1.3.2 Chache
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwepo chache ya kitu fulani.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kiasi ndogo ya kitu fulani ipo?
• a little, a bit of, a small amount of, trace, trickle, dab, an element of, a touch of, a hint of, taste of, dearth, grain, hair, inappreciable, inconsequential, inconsiderable, infinitesimal, insignificant, iota, limited, minimum, minute, mite, moderate, modest, modicum, ounce, particle, poor, scant, scanty, scintilla, shred, slight, smidgen, some, speck, spoonful, suggestion, suspicion, tidbit, tinge, tiny, trifle, whit
(2) Maneno gani huonyesha kwamba kiasi ndogo sana ya kitu fulani ipo?
• not much, very little, to speak of, hardly any, scarcely any, almost no, minimal, negligible, precious little, next to nothing, a smattering of, a scrap of, tiny, minute,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba idadi ya watu au vitu ni ndogo?
• few, a small number of, one or two, a handful of, sparse, not many, a couple of,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba idadi ya watu au vitu ni ndogo sana?
• very few,
(5) Maneno gani hutaja kiasi ndogo ya chakula?
• a little, a drop of, pinch, dash, mouthful, in moderation, meager
(6) Maneno gani huelezea kitu kikiwa na kiasi ndogo ya dutu fulani?
• low in,
(7) Maneno gani hutaja kiasi ndogo ya pesa?
• next to nothing, nominal, a drop in the ocean, paltry, miserly, a pittance, peanuts,
(8) Maneno gani hutaja idadi ndogo ya watu ambao ni sehemu ya kundi kubwa?
• a minority of,
(9) Maneno gani huonyesha kwamba watu wachache wanafanya jambo fulani?
• a trickle, in dribs and drabs, in ones and twos,
(10) Maneno gani hutaja tendo la kutumia au kutoa kidogo tu ya kitu fulani?
• dab (v), spoon out, frugal, parsimonious, scrimp, be sparing, stingy, stint,
8.1.3.3 Kundi la vitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kundi la vitu
(1) Maneno gani hutaja kundi la vitu?
• group, collection, lot, cluster, clump, assortment, accumulation, aggregate, bits-and-pieces, nuts-and-bolts, odds-and-ends, stockpile, system, volley, wares
(2) Maneno gani hutaja kundi la vitu ambavyo vimetenganezwa kuwa pamoja?
• set, batch, suit,
(3) Maneno gani hutaja kundi la vitu vinavyofungwa pamoja au kuunganishwa?
• bundle, bunch, sheaf, pack, package, packet, string of,
(4) Maneno gani hutaja kundi la vitu vilivyopo kwenye fungu au rundo?
• pile, stack, heap,
(5) Maneno gani hutaja kundi la vitu vinavyohamishwa pamoja?
• cargo, contents, freight, goods, lading, load,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani ni moja wa kundi fulani?
• member, one of, part of, belong to, go with,
8.1.3 Wingi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno na viambishi vinavyoonyesha kwamba vipo zaidi ya kitu fulani kimoja. Katika baadhi ya lugha, k.m., familia ya lugha zizungumzwazo sehemu za Ulaya na Magharibi ya Asia huonyesha wingi kwa kutumia kiambishi. Lugha zingine, k.m., famili ya lugha zizungumzwazo sehemu za Pasifika, hutumia maneno mawili yanayotenganishwa. Baadhi ya lugha pia zina maneno au viambishi ambavyo huonyesha kwamba vipo viwili tu vya kitu fulani.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba vipo zaidi ya kitu fulani kimoja?
• -s
(2) Maneno gani huonyesha kwamba vipo viwili tu vya kitu fulani?
• pair of
Share with your friends: |