Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba idadi au kiasi ya kitu fulani ni ndogo zaidi kuliko idadi au kiasi ya kingine.
(1) Maneno gani huelezea jambo likiwa na kiasi au idadi ndogo zaidi kuliko jambo lingine?
• less, fewer, not as much, not so much, not as many, not so many, lower, to a lesser degree, to a lesser extent, be in the minority, fewer and fewer, less and less, not more than, at the most,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani lina kiasi au idadi ndogo zaidi kuliko kiasi au idadi nyingine?
• less than, under, below, lower, within, minus,
(3) Maneno gani huelezea kwamba ipo kiasi au idadi ndogo sana zaidi kuliko nyingine?
• much less, far less, far fewer, way below,
(4) Maneno gani huelezea kwamba jambo fulani lina sifa fulani ndogo zaidi kuliko jingine?
• less, not as, not so,
(5) Maneno gani huelezea kwamba jambo fulani linafanyikiwa au linatokea mara chache zaidi?
• not as much, not so much,
8.1.4.2 Kuongezeka
Tumia eneo la maana hili kwa manano yanayohusiana na tendo la jambo kuongezeka kwa idadi au kiasi -- yaani, kuwepo zaidi kuliko mwanzoni.
(1) Maneno gani hutaja tendo la jambo fulani kuongezeka kwa idadi au kiasi?
• increase, go up, rise, grow, climb, gain, escalate, pick up, improve, widen, augment, expand,
(2) Manenog gani huelezea jambo fulani linaloongezeka kwa idadi au kiasi?
• increasing, rising, growing, mounting, escalating, expanding, more and more, cumulative,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuongezeka sana?
• multiply, double, treble, quadruple, proliferate, snowball,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuongezeka haraka sana?
• shoot up, soar, rocket, go through the roof, spiral, take off, jump,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuongezeka polepole?
• accumulate, build up, pile up, collect, gather, mount up,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza jambo fulani?
• increase (vt), raise, put up, push up, drive up, force up, boost, maximize,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza jambo fulani kwa kuingiza au kuweka zaidi?
• add to, strengthen, swell, augment, supplement,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuongezea kazi ambayo mashine fulani inafanya?
• turn up,
(9) Maneno gani hutaja ongezeko la kiasi au idadi?
• increase (n), growth, rise, raise, build-up, upturn, hike, increment, proliferation, addition, supplement,
(10) Maneno gani hutaja ongezeko kubwa?
• leap, surge, explosion, boom, jump,
(11) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linatokea zaidi kuliko awali au kwamba mtu hufanya jambo fulani zaidi kuliko awali?
• increasingly, gain ground, get more and more, become more and more, grow in, gain in,
(12) Maneno gani huelezea jambo ambalo linafanyika na mtu zaidi kuliko awali au hisia inayojisikika na mtu zaidi kuliko awali?
• increased, heightened, greater, higher,
8.1.4.3 Kupungua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la jambo fulani kupungua kwa idadi au kiasi -- yaani, kuwa chini ya kiasi ya au idadi ya awali.
(1) Maneno gani hutaja tendo la jambo fulani kupungua kwa idadi au kiasi?
• decrease, fall, go down, come down, slide, diminish, contract, shrink, lessen, reduce, reduction, depreciate, lose, narrow, slow down, abate, peter out, tail off, waste away,
(2) Maneno gani huelezea jambo fulani linalopungua kwa idadi au awali?
• decreasing, declining, falling, lowering, shrinking, less and less, fewer and fewer,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kupungua haraka sana?
• drop, plummet, plunge, nosedive, slump, collapse, go through the floor,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kupungua polepole?
• dwindle, decline, be on the decline, taper off, drop off, die down, ease off,
(5) Maneno gani hutaja upunguaji wa kiasi au idadi?
• decrease (n), reduction, drop, fall, decline, downturn, loss, cut, slump, collapse,
(6) Maneno gani hutaja tendo la sifa fulani kupungua?
• lessen, subside, wane, ebb, recede,
(7) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linatokea kwaa mtu fulani au kufanyikiwa naye mara chace zaidi?
• decreasingly, lose ground, become less and less, get less and less,
(8) Maneno gani huelezea upunguaji wa jambo fulani kufanyika na mtu fulani au hisia kujisikika na mtu fulani?
• decreased, lowered, lower,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza jambo fulani?
• reduce, lower, decrease, cut, slash, roll back, knock down, halve, minimize, abbreviate, abridge, curtail, dilate, drain,
(10) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza kiasi ya kitu fulani inayotumika au kupunguza kiasi ya jambo fulani inayofanyika?
• reduce, cut down on, scale down, scale back, cut back, trim, pare down, downsize, scrimp,
(11) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza maumivu au hisia mbaya?
• reduce, lessen, relieve, ease, alleviate, deaden, dull, take the edge off, allay, mitigate,
(12) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza kiasi ya kazi ya mashine fulani?
• reduce, lower, turn down,
(13) Maneno gani hutaja tendo la kupunguza kiasi au idadi ya jambo fulani polepole sana?
• erode, eat into, deplete, whittle away,
8.1.4 Zaidi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwepo zaidi kwa kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja kuwepo zaidi kwa kitu fulani kukijumuisha na kiasi iliyopo tayari?
• more, extra, another, added, additional, further, supplementary, spare,
(2) Maneno gani huonyesha kiasi iliyo zaidi kuliko kiasi iliyotajwa tayari?
• more than, over and above, as well as, plus, in addition to, on top of,
(3) Maneno gani huelezea jambo lililo zaidi kuliko lingine katika idadi au kiasi?
• more, greater, higher, to a greater extent, to a greater degree,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba kiasi halisi inazidi kiasi nyingine fulani?
• more, over, above, beyond, greater than, in excess of, upwards of, plus, at least,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kiasi ya jambo fulani kuwa zaidi kuliko kiasi au idadi ya jambo lingine?
• be more than, be greater than, exceed, outnumber, be up on, pass, go past, surpass,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba vitu vingi sana vya jambo fulani vipo kuliko vya jambo lingine?
• many more, much more, far more, far beyond, way beyond, a lot more,
Share with your friends: |