8.1 Kiasi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kiasi au idadi ya kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja kiasi ya kitu fulani?
• amount, quantity, level, volume, percentage, proportion, sum, how much, ($100) worth,
(2) Maneno gani hutaja kiasi ya kitu fulani kinachoweza kuhesabika au kupimika?
• number, how many, numbers, ratio,
(3) Maneno gani hutaja kiasi ya chakula kinachopewa kwa mtu?
• portion, helping, serving, intake, ration, measure,
(4) Maneno gani hutaja kipimo cha kitu fulani?
• quota, load,
(5) Maneno gani hutaja kiasi ya kitu fulani, k.m., mafuta, iliyopo kwa kutumika?
• pool, stock, reserves,
(6) Maneno gani hutaja kiasi ya dawa inayotumika na mgonjwa?
• dose, dosage,
(7) Maneno gani hutaja ukubwa wa shida fulani, k.m., jinai au hasara?
• extent, incidence, level, rate,
Page 8.1.5.1 Baadhi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kiasi au namba isiyojulikana (siyo kurejea kiasi fulani ya jumla).
(1) Maneno gani huonyesha kiasi fulani ya kundi la vitu au watu ambayo siyo yote, yaani, ni baadhi ya vitu au watu hawa?
• some, any, several, a number of,
(2) Maneno gani huonyesha kiasi fulani ya kitu fulani ambayo siyo yote?
• some, any, a certain amount of, a measure of,
8.1.5.2 Bila, hakuna kitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya hakuna kitu au bila -- yaani, hali ya idadi au kiasi ya kitu fulani kuwa sifuri.
(1) Maneno gani hutaja hakuna kitu?
• none, not any, no, nothing, not anything, be nil, bugger all,
(2) Maneno gani hutaja hakuna kitu ya vitu fulani?
• none, not any, no, not one, not a, nothing,
(3) Maneno gani hutaja hakuna mtu?
• no one, nobody,
(4) Maneno gani hutaja hakuna muda?
• never, no time,
(5) Maneno gani hutaja hakuna sehemu?
• nowhere, no place,
(6) Maneno gani hutaja sifuri?
• zero, nil, naught, o,
8.1.5.3 Zote Mbili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwepo kwa mambo yote mawili (au vitu vyote viwili, watu wote wawili n.k.).
(1) Maneno gani hutaja vyote viwili?
• both, the two of, the pair of, each, mutual, share, either, neither,
8.1.5.4 Karibu yote
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kiasi ambayo ni karibu yote -- yaani, zaidi ya nusu lakini siyo yote.
(1) Maneno gani hutaja kiasi ambayo ni karibu yote ya kitu fulani?
• most, almost all, nearly all, the majority, the bulk of, the better part of, the best part of, the lion's share, the biggest slice of the cake,
(2) Maneno gani huelezea jambo linalofanyika na karibu wote?
• generally, broad,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba karibu vyote vya kundi fulani ni ya aina moja?
• mostly, mainly, largely, predominantly, predominate, be in the majority, a preponderance,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani hutokea zaidi kuliko mengine au mtu fulani hufanya jambo fulani zaidi kuliko mengine?
• mostly, mainly, in most cases, most of the time,
(5) Maneno gani hutaja kiasi ambayo ni chini ya nusu?
• minority,
8.1.5.5 Zaidi, kidogo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zaidi -- yaani, kiasi au idadi inayozidi zote; pia kuhusiana na kidogo -- yaani, kiasi au idadi ambayo ni chini ya zote. Zaidi/kidogo inaweza kuhusiana na kiasi au namba ambayo ni kubwa/ndogo zaidi kuliko zingine.
(1) Maneno gani hutaja kiasi inayozidi zote zingine za kitu fulani?
• maximum, most,
(2) Maneno gani hutaja kiasi inayozidiwa na zote zingine za kitu fulani?
• the least, minimum, the fewest, the lowest,
(3) Maneno gani hutaja kundi ambalo ni kubwa zaidi kuliko yote mengine?
• the most,
(4) Maneno gani hutaja kundi ambalo ni dogo zaidi kuliko yote mengine?
• the least,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kiasi fulani kuwa zaidi kuliko ilivyowahi kuwa?
• an all-time high, record high, high water mark,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kiasi fulani kuwa chini zaidi kuliko ilivyowahi kuwa?
• an all-time low, record low, lowest ebb,
8.1.5.6 Karibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na idadi au kiasi kuwa karibu sawasawa na idadi au kiasi nyingine?
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani ni karibu na idadi au kiasi fulani?
• almost, nearly, close to, close on, approaching, nearing, not quite, be pushing, pretty well,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba mtu amekaribia kufika sehemu fulani?
• almost, nearly, just about,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu au jambo fulani limekaribia kufika hali fulani?
• almost, nearly, very nearly, just about, practically, virtually, all but, as good as, to all intents and purposes, nearing, approaching, near to, close to, verging on, bordering on, more or less, pretty much, not quite,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani limekaribia kumalizwa?
• almost, nearly, just about, practically, as good as, more or less, not quite,
(5) Maneno gani huonyesha kwamba mtu amekaribia kufanya jambo fulani?
• almost, nearly, very nearly, come close to, be on the verge of, come within an inch of,
(6) Maneno gani honyesha kwamba jambo fulani limekaribia kutokea?
• almost, be near to, be on the brink of, come within an inch of,
(7) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani ni karibu cha bora au cha baya kabisa kwa sifa fulani?
• almost, nearly, practically, virtually, just about, verging on, bordering on,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kinafanana sana na kingine mpaka kinakaribia kuwa sawasawa nacho?
• almost, practically, virtually,
(9) Maneno gani huonyesha kwamba sifa fulani ya kitu fulani inalingana na sifa ileile ya kingine mpaka vimekaribia kuwa sawasawa (k.m., katika rangi, au sura).
• almost, more or less, practically, virtually, not quite,
(10) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani ni kweli kwa karibu wote/vyote au kwamba jambo fulani limetokea kwa karibu wote/vyote?
• almost, nearly, practically, virtually, pretty well, more or less, just about,
Share with your friends: |