Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page164/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   160   161   162   163   164   165   166   167   ...   206

8.1.7.4 Kubaki, salio


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na salio la kitu fulani -- yaani, sehemu au kiasi inayobaki baada ya sehemu zingine kuchukuliwa. Kitu kinachobaki kwa sababu vyote vingine vimeshatumika au kulika, au vyote vingine vimeharibika au vimechomeka.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kitu kubaki?

left, remain, be left over, survive, be still standing, to spare, to go, in hand,

(2) Maneno gani hutaja kinachobaki, yaani, salio?

the remains, remnants, leftovers, ruins, what is left of, what remains of, the rest, the remainder, the last of, residue,

(3) Maneno gani hutaja sehemu mbaya inayobaki baada ya sehemu zingine nzuri kuchukuliwa?

butt, dregs, leavings, offscourings, rags, scraps, sweepings,

(4) Maneno gani hutaja sehemu ndogo sana inayobaki?

fragment, shadow, trace, vestige

(5) Maneno gani huelezea kinachobaki?

remaining, last, outstanding, spare, leftover, residual, surplus, surviving,

8.1.7 Kutosha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa au kuwa na ya kutosha -- yaani, kuwa na kadiri unavyotaka au kuhitaji.

(1) Maneno gani huelezea jambo ulilona la kutosha?

enough, sufficient, adequate, satisfactory, enough to go round,

(2) Maneno gani huelezea kwamba kiasi iliyopo inatosheleza mahitaji yako?

be enough, do, suffice, cover, last, meet someone's needs, get by, afford to,

(3) Maneno gani huelezea kwamba kitu fulani kina nguvu ya kutosha au kuwepo kwa muda wa kutosha kwa shughuli fulani?

enough, sufficiently

(4) Maneno gani huelezea hali ya mtu fulani kufanya ya kutosha au kwa jambo fulani kufanyikiwa kwa kutosha?

do enough, sufficiently, adequacy, adequately, satisfactorily, sufficiency,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na ya kutosha ya kitu fulani?

have enough, be OK for, be all right for, be well off for, have sufficient,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na ya kutosha ya kitu fulani ili ufanye ulivyopanga?

have the time/money, can afford, can spare, run to,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na zaidi kuliko kiasi inayotosha, lakini siyo kuzidi sana sana?

more than enough, plenty, ample,

(8) Maneno gani hutaja kutokuwa na ya kutosha?

not enough, insufficient, too little, too few, scarce, inadequate, inadequacy, shortage, lack of, be in short supply, be short,

(9) Maneno gani huelezea kwamba hakipo cha kutosha cha kitu kwa shughuli unayoifanya?

not be enough, be running short, not last, won't last,

(10) Maneno gani huonyesha kwamba mtu fulani hana nguvu ya kutosha au hana umri wa kutosha kwa shughuli fulani?

not (strong) enough, not sufficiently,

(11) Maneno gani huelezea hali ya mtu fulani kutofanya ya kutosha au kwa jambo fulani kutotokea kwa kutosha?

not...enough, too little,

(12) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na ya kutosha kwa shughuli fulani?

not have enough, be short of, be short on, go short, be running short of, deficient, be starved of, be lacking in,

(13) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na ya kutosha ili kufanya ulivyopanga?

not have enough, can't afford, be strapped for cash,

8.1.8.1 Tupu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa tupu.

(1) Maneno gani huelezea kitu kitupu?

tupu, wazi, pasipo kitu

(2) Maneno gani huelezea mahali ambapo hakuna mtu hata mmoja?

empty, bare, deserted, desolate, ghost town, wasteland, uninhabited, lonely, vacant, free, unoccupied,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba hakuna mtu yeyote katika mahali fulani?

nobody present, no one here, no one there, not a soul, nary a one,

(4) Maneno gani hutaja kitu kitupu?

empties, blank (n), space, vacuum, the void, vacancy,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kitu kuwa kimejaa lakini wakati wa muda fulani kimepungukiwa mpaka ni tupu?

empty (v), drain,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kufany kitu kiwe tupu?

empty (v), drain, turn out, clear (v), dump out, clean out,

(7) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimefanyiwa kiwe tupu?

emptied, depleted,

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuwa tupu?

emptiness,

(9) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinakaribia kuwa tupu?

almost empty, not quite empty,

(10) Maneno gani hutaja kitu kikiwa ni tupu kiasi?

half empty,

8.1.8 Kujaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya chombo kuwa kimejaa na kitu fulani.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimejaa?

full, full up, bulging, be full to the brim, be bursting at the seams, be full to capacity, be chock-a-block, be packed out, be up to the brim, brimful, brimming, bursting, charged, chock-full, chockablock, jam-packed, jammed, loaded, replete, saturated, soaked, stuffed, supercharged,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kitu kuwa kimejaa kitu fulani?

be full of, be filled with, be crammed with, be stuffed with, be packed with, be packed full of, be crammed full of,

(3) Maneno gani huelezea sehemu ambayo imejaa watu?

crowded, packed, crammed with, be packed out, booked up, fully booked, congested, dense, occupied, throng, thronged, thronging,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kitu fulani kujawa?

fill, fill up,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kujaza kitu fulani?

fill, fill up, cram, pack, stuff, crowd, load, load up, fill to the brim, flood, inject, jam, pump something full, suffuse,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimejawa?

filled,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kujaza tena kitu fulani ambacho kilichokuwa kimo kimetolewa chote?

refill, replenish, top up, top off,

(8) Maneno gani hutaja sehemu ikijaa wanyama au wadudu?

swarm, teem, be teeming with, be swarming with, be crawling with,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kujawa zaidi kuliko kingine?

fuller, fullest,

(10) Maneno gani hutaja hali ya kujalika?

fullness,

(11) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kimejaa kwa kiasi fulani?

how full, be (half) full,

(12) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinakaribia kujalika?

almost full, not quite full

(13) Maneno gani hutaja kitu kikiwa kimejaa kiasi au nusu?

half full,

(14) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimejaa na kufurika?

kufurika



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   160   161   162   163   164   165   166   167   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page