Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page167/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   163   164   165   166   167   168   169   170   ...   206

8.2.4 Pana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa pana -- yaani, neno linaloelezea kitu kilicho mbali kwa kupima upande mmoja mpaka mwingine. Ili kutofautisha kati ya eneo la maana hili na eneo la maana 8.2.3 "upana na unene" fikiria kuhusu mifano ifuatayo; mto, barabara, eneo fulani, bonde, n.k..

(1) Maneno gani huelezea kitu kipana?

pana

(2) Maneno gani hutaja sehemu iliyopo kitu kipana?

widening, wide spot,

(3) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa kipana?

widen, get wider, broaden out,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe kipana?

make something wider, widen, broaden,

(5) Maneno gani hutaja utaratibu wa kusababishwa kuwa pana?

widening, broadening,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimesababishwa kuwa kipana?

widened, broadened,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwa kipana zaidi kuliko kingine?

wider, widest, broader, broadest,

(8) Maneno gani hutaja upana wa kitu fulani?

width, breadth,

(9) Maneno gani hutaja upana wa duara au shimo?

bore, caliber, diameter,

(10) Maneno gani huonyesha upana wa kitu fulani?

how wide, be (ten feet) wide, be (ten feet) across,

8.2.5.1 Chombo kikubwa, ujazo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ujazo wa kitu fulani -- yaani, kiasi inayoweza kubebwa ndani ya chombo fulani.

(1) Maneno gani huelezea chombo kikubwa?

big, large, capacious, voluminous,

(2) Maneno gani huelezea chombo kikubwa sana?

huge, enormous,

(3) Maneno gani hutaja chombo kilicho kikubwa?

tank, tub,

(4) Maneno gani hutaja chombo kikisababishwa kuwa kikubwa?

expand, inflate,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha chombo kiwe kikubwa?

expand, enlarge,

(6) Maneno gani huelezea chombo ambacho kimesababishwa kuwa kikubwa?

expanded,

(7) Maneno gani hutaja hali ya chombo kuwa kikubwa zaidi kuliko kingine?

bigger, biggest,

(8) Maneno gani hutaja ukubwa wa chombo?

volume, capacity, size, dimensions,

(9) Maneno gani huonyesha ukubwa wa chombo?

how big, be (ten liters) in volume, hold, be (ten) cubic inches, be two meters long two meters wide and two meters high, be two by two by two,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kupima ujazo wa kitu fulani?

measure, find the volume,

(11) Maneno gani hutaja kizio cha ujazo?

cubic (inch, foot, yard), milliliter, centiliter, deciliter, liter, decaliter, kiloliter, hectoliter, cup, pint, quart, gallon, fluid ounce, dry ounce, peck, bushel, measure, batch,

(12) Zana gani hutumika kwa kupima uzajo?

measuring cup, measuring spoon,

(13) Maneno gani huelezea utaratibu wa vipimo?

metric, imperial,

(14) Maneno gani hutaja kiasi ya kitu fulani ambayo imeshapimwa kwa kutumia chombo fulani?

bag, bagful, barrel, boatload, bottle, bowl, box, boxful, bucketful, busload, can, carload, glass, handful, jug, mug, pack, packet, planeload, platter, roomful, sackful, scoop, scoopful, spoon, spoonful, tablespoon, tankful, teaspoon, teaspoonful, trainload, tray, truckload

(15) Maneno gani huelezea chombo kidogo?

small,

8.2.5 Eneo kubwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea eneo kubwa.

(1) Maneno gani huelezea eneo kubwa?

big, large, extensive, fair-sized, be a fair size, broad, expansive, wide, wide open,

(2) Maneno gani huelezea eneo kubwa sana?

huge, immense, vast, enormous,

(3) Maneno gani huelezea chumba kikubwa?

spacious, roomy, cavernous, be big inside,

(4) Maneno gani hutaja eneo lililo kubwa?

expanse,

(5) Maneno gani hutaja eneo likisababishwa kuwa kubwa?

expand, spread,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha eneo liwe kubwa?

expand,

(7) maneno gani huelezea eneo ambalo limesababishwa kuwa kubwa?

expanded,

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuwa kubwa zaidi kuliko jingine?

bigger, biggest, roomier,

(9) Maneno gani hutaja ukubwa wa eneo fulani?

area, acreage, size, square footage, extent,

(10) Maneno gani huonyesha ukubwa wa eneo fulani?

how big, be (ten acres) in size, cover, extend over,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kupima eneo?

survey,

(12) Maneno gani hutaja kizio cha kipimo cha eneo?

acre, hectare, square (inch, foot, yard, mile, meter, kilometer)

(13) Zana gani hutumika kwa kupima eneo?

rod,

(14) Maneno gani huelezea eneo dogo?

small, narrow (plot of ground), cramped, poky,

(15) Maneno gani hutaja ukubwa wa kuzunguka eneo fulani?

circumference, around,

8.2 Kubwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho ni kikubwa.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikubwa?

big, large, biggish, bulky, fair-sized, be a fair size, good-sized, be a good size, bulky, grand, imposing, sizable, substantial,

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikubwa sana?

huge, enormous, massive, colossal, great, giant, gigantic, great big, be a whopper, be quite a size, astronomical, elephantine, mammoth, monstrous, monumental, prodigious, stupendous, tremendous, vast,

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho ni kikubwa

mass, giant,

(4) Maneno gani hutaja kitu kikisababishwa kuwa kikubwa?

get bigger, expand, grow, swell up, stretch, inflate, increase in size, swell, mushroom,

(5) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu fulani kikisababishwa kuwa kikubwa?

branch, excrescence,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu fulani kiwe kikubwa?

extend, stretch, enlarge, blow up, magnify, expand, inflate, augment,

(7) Maneno gani hutaja utaratibu wa kitu fulani kusababishwa kuwa kikubwa?

enlargement, expansion, extension, growth, inflation, increase (n), magnification,

(8) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimesababishwa kuwa kikubwa?

enlarged, swollen, inflated,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kuwa kikubwa zaidi kuliko kingine?

bigger, biggest, larger, largest, greater, greatest,

(10) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikubwa zaidi kuliko vingine vya kitu kilekile?

outsized, giant, extra large,

(11) Maneno gani hutaja ukubwa wa kitu fulani?

size, dimensions, magnitude,

(12) Maneno gani huonyesha ukubwa wa kitu fulani?

how big, measure (10 meters), be 10 meters long/wide/high,

(13) Maneno gani hutaja tendo la kupima ukubwa wa kitu fulani?

measure,

(14) Maneno gani hutaja kizio cha ukubwa?

cubic (inch, foot, yard),

(15) Zana gani hutumika kwa kupima ukubwa wa kitu fulani?

ruler, tape measure

(16) Maneno gani huelezea utaratibu wa vipimo?

metric

(17) Maneno gani huelezea kitu ambacho siyo kikubwa wala kidogo?

medium, average, medium-sized, average-sized, in between,

(18) Maneno gani hutaja hali ya kitu kuwa kikubwa kwa upande mmoja au kikomo kimoja na siyo vyote?

flare, spread, lopsided, fan out,

(19) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikubwa mpaka siyo kizuri?

gross, outsized, overgrown, oversized, unwieldy,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   163   164   165   166   167   168   169   170   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page