Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page186/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   182   183   184   185   186   187   188   189   ...   206

8.4.6.2 Muda uliopita


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muda uliopita au kipindi cha nyuma.

(1) Maneno gani hutaja muda uliopita?

past, before, in the past, in years gone by, in the times of our fathers, in our father's/grandparent's/ancestor's time, was (being/doing/happening), lately

(2) Maneno gani huelezea jambo lililokuwepo au lililotokea katika muda uliopita?

earlier, foregoing,

(3) Maneno gani huelezea jambo lililokuwepo au lililotokea katika muda uliopita?

the distant past, long ago,

8.4.6.3.1 Sasa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sasa.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio fulani lipo sasa?

now, right now, nowadays, at this time, at the present time, currently, already,

(2) Maneno gani huelezea tukio liliyopo sasa?

current, present, present-day,

(3) Wewe husema nini unapotaka mwingine aanze kufanya jambo fulani sasa?

Go! Now!

8.4.6.3 Muda uliopo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muda uliopo.

(1) Maneno gani hutaja muda uliopo?

present, now, right now, is (being/doing/happening), the present day, today,

8.4.6.4.1 Karibu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tukio likitokea hivi karibuni -- yaani, litatokea badaaye lakini baada ya muda mfupi.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio fulani litatokea hivi karibuni?

soon, sooner, almost, approach, close, directly, imminence, imminent, impending, near, presently, quickly, shortly, about to, in a little while, not long, won't be long, almost here, just around the corner, in the near future, about to happen, any minute (now), in a minute, in a moment,

8.4.6.4.2 Bado


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tukio kutotokea bado.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba tukio halijatokea bado?

not yet, not now, still need to wait, it will be awhile (still), it will take some time, not quite here, almost

8.4.6.4.3 Mwishowe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tukio kutokea mwishowe.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani lilitokea mwishowe?

eventually, in the end, finally, end up, at last, in time

8.4.6.4.4 Moja kwa moja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tukio kutokea moja kwa moja -- yaani, bila muda wowote kupita kabla ya kutokea.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba mtu anafanya jambo fulani moja kwa moja?

immediate, right away, in no time at all

(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani lilitokea moja kwa moja?

immediately, instantly, this instant, sudden, suddenly, right away, right now, at once, without any time going by, without delay, no sooner,

(3) Maneno gani huelezea jambo linalotokea moja kwa moja?

immediate, instant, instantaneous,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba mtu anafanya jambo fulani moja kwa moja bila kuacha nafasi kufikiri?

then and there,

8.4.6.4 Muda ujao


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muda ujao.

(1) Maneno gani hutumika kutaja muda ujao?

future (n), soon, in the near future, in the distant future, in our children's time, will (be/do/happen), shall, would

(2) Maneno gani huelezea jambo litakalokuwepo au litakalotokea badaaye?

future (adj), coming, forthcoming, upcoming, in the offing,

8.4.6 Wakati wenye hali fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kipindi kilicho sehemu ya kipindi kirefu zaidi.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja sehemu ya kipindi kirefu?

phase, aspect,

Page

8.4.6.5.1 Changa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo changa -- yaani, neno linaloelezea jambo hai ambalo limeishi kwa muda mfupi tu.

(1) Maneno gani huelezea mtu au mnyama aliye mchanga?

young, little, small,

(2) Maneno gani huelezea mtu aliye mdogo (wa umri) kuliko mwingine?

younger, junior,

(3) Maneno gani hutaja kaka mdogo au dada mdogo?

younger brother, younger sister, little brother, little sister, kid brother, kid sister,

(4) Maneno gani huelezea mmea ulio mchanga?

green, immature, young,

(5) Maneno gani huelezea mtu anayeonekana kuwa mdogo (wa umri) au kutendea kama mdogo (wa umri)?

youthful, well-preserved,

8.4.6.5.2 Kizee, kisicho changa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kizee--maneno yanayoelezea vitu vyenye uhai ambavyo vimekuwepo kwa muda mrefu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu au mnyama ambaye ni mzee?

old, elderly, aged, aging, ancient, be getting on, not be as young as you were, patriarchal, senior,

(2) Maneno gani huelezea mmea ambao umezeeka?

old, mature,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anamzidi mwingine umri?

older, elder,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anawazidi wote umri?

oldest, eldest,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kukaribia kufikisha umri fulani?

be pushing, be getting on for,

8.4.6.5.3 Mpya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kipya--maneno yanayoelezea vitu ambavyo vimekuwepo kwa muda mfupi tu.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kipya?

mpya, mpya kabisa

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimetengenezwa sasa hivi?

new, brand new, fresh,

(3) Maneno gani huelezea chakula ambacho ni kipya?

fresh, raw,

(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeuzika kwa muda mfupi tu?

new, brand new, recent, latest, be just out, be hot off the press,

(5) Maneno gani huelezea shirika ambalo limekuwepo kwa muda mfupi?

new, young,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimegundulika sasa hivi?

new, newly discovered, fresh,

(7) Maneno gani huelezea maarifa au hisia ambayo haijawahi kukutokea?

new, newfound,

(8) Maneno gani huelezea wazo jipya au njia mpya ya kufanya jambo fulani?

new, new-fangled, avant-garde, contemporary, forward-looking, fresh, futuristic, go-ahead, be in its infancy, innovative, inventive, modern, ultra-modern, move with the times, novel, original, originality, pioneering, present-day, progressive, revolutionary, up-to-date, up-to-the-minute, ahead of your time,

(9) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amefika mahali muda si mrefu au ameanza kazi mpya?

new, newcomer, new arrival, be new to, fresh, green, stranger,

(10) Maneno gani huelezea kitu au mtu ambaye amechukua nafasi ya aliyemtangulia?

new, fresh,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha kitu cha zamani kiwe kama ni kipya?

renew, renewal, freshen, modernize, modernization, recondition, reconditioning, refresh, refurbish, refurbishing, rejuvenate, rejuvenation, renovate, restore, update, bring something up to date,

(12) Maneno gani huelezea kitu cha zamani, lakini kimefanywa kionekane kipya?

as good as new, renewed, freshened, modernized, reconditioned, refreshed, refurbished, rejuvenated, renovated, restored,

(13) Maneno gani hutaja kitu ambacho ni kipya?

novelty, innovation, latest, original,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   182   183   184   185   186   187   188   189   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page