Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page42/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   38   39   40   41   42   43   44   45   ...   206

3.2.3 Kujua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja matokeo ya kufikiri.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujua jambo fulani?

know, understand, have information

(2) Maneno gani hutaja hali ya kujua namna ya kufanya jambo fulani?

know how to

(3) Maneno gani hutaja hali ya kutokujua jambo fulani?

not know, be ignorant, be unaware of

(4) Maneno gani hutaja hali ya kujua jambo fulani kidogo?

be aware of, be acquainted with, know a little, know about

(5) Maneno gani hutaja hali ya kujua jambo fulani kikamilifu?

knowledgeable, know (something) thoroughly, know well, know all about, familiar with

(6) Maneno gani hutaja kile kinachofahamika kuhusu mada fulani?

information, body of knowledge, (what is) known

(7) Maneno gani hutaja kile kisichofahamika kuhusu mada fulani?

unknown

(8) Maneno gani hutaja kila kitu au mambo yote ambayo mtu anayafahamu?

knowledge

(9) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo linaweza kufahamika?

knowable

(10) Maneno gani huelezea jambo ambalo haliwezi kufahamika?

unknowable

3.2.4.1 Kuelewa vibaya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wakati mtu haelewi mada au maana ya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuelewa vibaya jambo fulani?

kuelewa vibaya, kuelewa visivyo, kutofahamu, kutoelewa, kutoelewana

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuelewa jambo fulani tofauti kuliko mtu mwingine yeyote yule?

understand differently, give a different interpretation

3.2.4.2 Kufahamika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo huelezea jambo fulani ambalo ni rahisi kulielewa.

(1) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo linaweza kueleweka?

understandable

(2) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo ni rahisi kulielewa?

obvious, transparent, clear, easy to understand, evident

(3) Maneno gani huelezea uhusiano unaoeleweka kati ya vitu viwili au mambo mawili?

relevant, pertinent, clear, clearly, obvious,

3.2.4.3 Tatanisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo huelezea jambo fulani ambalo ni gumu kulielewa.

(1) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo haliwezi kueleweka?

not understandable, inscrutable, unfathomable, incomprehensible, inconceivable

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo ni gumu kulielewa?

vague, oblique, unclear, not well worded, cryptic, hard to understand, difficult to understand, puzzle, puzzling, riddle

(3) Maneno gani huelezea uhusiano usioeleweka kati ya vitu viwili au mambo mawili?

obscure, shrouded in mystery, mysterious,

3.2.4 Kufahamu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuelewa mada au maana ya jambo fulani?

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujua au kufahamu jambo?

understand, understanding, comprehend, have/gain insight

(2) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kuelewa jambo fulani?

understand, perceive, realize, see, recognize, recognition, figure out

3.2.5.1.1 Amani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumwamini mtu fulani--yaani kuamini kwamba mtu fulani ni mwaminifu na hawezi kukufanyia kitu kibaya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwamini mtu fulani?

trust, believe in, put your trust in, have confidence in,

(2) Maneno gani hutaja hisia ambazo unaweza kumwamini mtu fulani?

trust, confidence, faith, blind faith,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye unaweza kumwamini?

trustworthy, responsible, trusted,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila wakati anawaamini watu wengine?

trusting,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kutokumwamini mtu?

not trust, distrust, be suspicious of, be suspicious of, view someone with suspicion,

(6) Maneno gani hutaja hisia ambazoo huwezi kumwamini mtu?

distrust, mistrust, suspicion,

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hawezi kuaminika?

untrustworthy, can't be trusted, not to be trusted,

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila wakati hawezi kuwaamini watu wengine?

distrustful, mistrustful,

3.2.5.1 Kuamini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo hutaja tendo la kuamini kwamba jambo fulani ni kweli au sahihi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuamini kwamba jambo fulani ni kweli au sahihi?

believe, faith, trust, accept, confidence, give credence to, consider, count on, rely on, reliance, depend on, dependence, swear by, take for granted, bet on, bank on, buy, take at face value, store, stock, take someone's word for it, cling to, be convinced, be dogmatic, follow, heed, receive, think something is true

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuamini kwamba mtu fulani ni mkweli?

believe in, have confidence in, have faith in, put your trust in, take your word for, pin your hopes on, give the benefit of the doubt

(3) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambaye anaweza kuaminika?

believable, convincing, indubitable, undeniable, indisputable, incontrovertible, credible, trustworthy, faithful, dependable, to be depended on, probable, persuasive, plausible, authoritative, reliable, have a ring of truth, sounds right, certain, convincing, sure

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza zaidi imani katika jambo fulani (na labda hakuna sababu ya msingi kuongeza imani katika jambo hilo)?

presumption, credulous, gullible, superstitious, unquestioning

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuamini jambo fulani ambalo watu wengine hawaliamini?

belief, superstition, old wives' tale

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuamini jambo fulani ambalo sio la kweli?

illusion, fallacy, myth, delusion, mistaken belief, misconception, live in a fantasy world, swallow

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye anaamini?

believer, follower

(8) Maneno gani hutaja jambo fulani au kitu fulani ambacho mtu anakiamini?

belief

(9) Maneno gani hutaja sababu ya mtu kuamini jambo fulani?

evidence, grounds, basis



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   38   39   40   41   42   43   44   45   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page