Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Page 3.3.2.1 Kubali kufanya jambo fulani



Download 2.8 Mb.
Page47/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   43   44   45   46   47   48   49   50   ...   206

Page

3.3.2.1 Kubali kufanya jambo fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukubali kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja kukubali kufanya jambo fulani?

agree to do something, accept, approve a plan, consent to, give your consent, grant someone's request, jump at the chance, jump at the opportunity, OK something, give your OK, say yes, give something the thumbs up, take on,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kukubali kufanya jambo fulani?

agreement, consent,

(3) Watu husemaje wakiwa wanakubaliana kufanya jambo fulani?

All right, Yes you can, Sure, Of course, Help yourself, Be my guest,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba unafanya jambo ambalo mtu amekuomba ulifanye?

at someone's request, at the request of,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kukubali kufanya jambo fulani baada ya mara ya kwanza kukataa?

give in, bow to, accede to,

3.3.2.2 Kukataa kufanya jambo fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukataa kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukataa kufanya jambo fulani?

refuse, refusal, flatly refuse, refuse point-blank, not agree to, will not, say no, decline, shake your head, turn down, dig your heels in, slam the door in someone's face, draw the line at, have none of

(2) Watu husemaje wakiwa wanakataa kufanya jambo fulani?

not likely, nothing doing, no way, and that's that

(3) Maneno gani hutaja tendo la kukataa kutoa kitu fulani?

refuse, deny, withhold

3.3.2.3 Kuombea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwombea mtu--yaani kusema jambo fulani kwa mtu kwa sababu unataka afanye jambo fulani zuri kwa mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwomba mtu afanye jambo fulani kwa mtu mwingine?

kuombea, maombezi, mateteo, mnenezi, mnenea, mtetezi

(2) Maneno gani humtaja mtu anayemwombea mtu mwingine?

intercessor, go-between, intermediary, mediator, peacemaker

3.3.2.4 Utayari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa tayari kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa tayari kufanya jambo fulani?

willing, acquiescent, agreeable, compliant, disposed, fain, free, game, kindly, morale, offer, readily, ready, ungrudging, volition, volitional, voluntary, volunteer, will, willful

(2) Maneno gani hutaja tendo la kukosa nia ya kufanya jambo?

siyo radhi, bila radhi, kutokutaka, kutokupenda, kujikalifu, kujishurutisha, kutokubali

3.3.2 Kusihi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuomba jambo fulani--yaani kuomba kitu fulani au jambo fulani, au kumwomba mtu afanye jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema kitu ili kupata kitu kutoka kwa mtu mwingine?

kusihi, kutoa haja, maombi, kuomba, kudai, matakwa, kutaka sana, kuuliza, kuagiza, kujipatia

(2) Maneno gani hutaja jambo ambalo limesemwa wakati mtu akiomba jambo fulani?

appeal (n), petition (n), request (n), solicitation, question

(3) Maneno gani humtaja mtu anayeomba jambo fulani?

petitioner, suppliant

(4) Maneno gani maalumu hutumika na watu wanapotaka kuomba jambo fulani kwa unyenyekevu?

please, if you wouldn't mind, would you mind?

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuomba kitu kutoka kwa mtu ikiwa kuna mahitaji makubwa ya kile kitu?

kulalama, kutetea, nasaha, kunasihi, kuhitaji kabisa, udhuru, kuomba sana, kuleta hoja

(6) Maneno gani hutaja kile kilichosemwa wakati mtu anasihi au kujitetea?

plea, entreaty

(7) Maneno gani humwelezea mtu anayesihi au kujitetea?

importunate

3.3.3.1 Kupendekeza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kupendekeza jambo--yaani kusema kwamba jambo fulani linaweza kuwa nzuri.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupendekeza jambo fulani kwa mtu?

suggest, make a suggestion, float, recommend, propose, propound, submit

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupendekeza rasmi jambo kwa mtu ambaye yupo kwenye mamlaka?

propose, recommend, put forward, put something before someone, submit, present,

(3) Watu hutumia maneno gani wanapopendekeza jambo fulani?

I suggest, can I suggest, can I make a suggestion, let's, how about, what about, why don't you, you could always, we may as well, we might as well,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumpendekeza mtu kwa kazi fulani?

suggest, recommend, nominate, propose, put someone's name forward,

(5) Maneno gani hutaja jambo fulani ambalo mtu anapendekeza?

suggestion, proposal, recommendation, proposition, submission

3.3.3.2 Kushauri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumpa mtu ushauri, kwa mfano kupendekeza kwamba mtu afuate njia ya hekima.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa shauri kwa mtu?

kumpa (mtu) shauri, nasaha, kuarifu, kushauri

(2) Watu hutumia maneno gani wanapotoa ushauri?

if I were you, you should do something, you ought to, you'd be better off, take my advice, take it from me, you'd be well advised to do something, on no account, you'd better, I would,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuomba shauri?

kuomba shauri, kupata shauri, kutafuta shauri

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kilichoshauriwa na mtu?

take someone's advice, follow someone's advice, listen to advice, act on someone's advice, accept advice, adopt,

(5) Maneno gani hutaja ushauri ambao mtu ameutoa?

advice, tip, recommendation, guidance, counseling, counsel, instructions, idea, proposal, charge,

(6) Maneno gani humtaja mtu anayeotoa ushauri?

advisor, counselor, consultant, guru, mentor, coach,

(7) Maneno gani hutaja kundi la watu ambao wanatoa ushauri?

council, board, committee, advisory (board),

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuhitaji ushauri?

need advice, don't know what to do,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kutokujua kitu cha kushauri?

don't know what to tell you

(10) Maneno gani hutaja tendo la kutokukubali ushauri?

refuse advice, ignore advice

(11) Maneno gani hutaja tendo la kutoa ushauri wakati mtu hataki kupewa ushauri?

meddle, kibitz, kibitzer,

(12) Maneno gani huelezea ushauri mzuri au mbaya?

good, wise, bad, bum steer, advisable, helpful, constructive, positive,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   43   44   45   46   47   48   49   50   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page