Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page59/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   55   56   57   58   59   60   61   62   ...   206

3.4.2.4.2 Kuwa na woga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na woga--yaani kuwa na wasiwasi na kutishika kwamba jambo baya linaweza kutokea, ili kwamba ushindwe kutulia.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujisikia wasiwasi au woga?

be nervous, be on edge, have butterflies (in your stomach), be on pins and needles,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kuwa na woga?

nerves, nervousness, tension, unease, stage fright,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia woga?

nervous, apprehensive, edgy, fidgety, flustered, ill at ease, jittery, restless, tense, uneasy, uneasily, uptight

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuwa na woga sana?

agitated, be a bundle of nerves, excited, have the jitters, be jittery, jumpy, nervous wreck, panicky, be in a state,

(5) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila mara huwa na woga?

nervous, high-strung, of a nervous disposition,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kuwa na woga?

make someone nervous, fluster, unsettle, unnerve, psych out, put someone on edge,

(7) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kuwa na woga?

strain,

(8) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kuwa na woga?

tense, strained, uneasy, nail biting, charged, nerve-racking

(9) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kutokuwa na woga?

reassure, reassuring, reassurance, reassuringly,

3.4.2.4.3 Soni, haya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia soni au haya--yaani kukosa raha kwa ajili ya watu wengine kwa sababu unafikiri wanaweza wakafikiri vibaya kuhusu wewe ikiwa unasema au kufanya jambo (k.m., kwa kujisikia woga kuongea, kwa kujiona hufai kufanya alichopaswa kufanya, au kwa kujiona sio mwema mbele ya wengine).

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia soni au haya?

be shy, feel shy,

(2) Maneno gani hutaja hisia za soni au haya?

shyness, inhibition

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anaona soni au haya?

shy, timid, uncomfortable, bashful, coy, diffident, reserved, withdrawn, introverted, inhibited

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kupata soni au haya?

inhibit, intimidate, make you feel uncomfortable,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kupata soni au haya?

intimidation,

(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kuwa na soni au haya?

inhibiting, intimidating, uncomfortable,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na soni au haya?

come out of your shell, come out of yourself, open up

(8) Maneno gani hutaja tendo la kumsaidia mtu asijisikie soni au haya?

bring someone out of their shell, bring someone out, put someone at ease,

3.4.2.4 Kuwa na hofu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hofu--yaani kujisikia vibaya kwa sababu unafikiri jambo baya linaweza kukutokea.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hofu?

feel afraid, be afraid, fear (v), for fear of, have a horror of,

(2) Maneno gani hutaja hisia za hofu?

fear (n), fright, alarm, foreboding, horror, panic (n), terror, trepidation,

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayejisikia hofu?

afraid, fearful, frightened, alarmed, panicky, quaking, scared, skittish, weak-kneed,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuogopa sana au kuwa na hofu kubwa?

terrified, terror, panic, panic-stricken, petrified, scared stiff, scared out of your wits, scared to death,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuogopa ghafla kwa sababu kuna jambo ambalo limetokea?

get a fright, panic (v), go white as a sheet, nearly jump out of your skin,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuogopa kwa muda mrefu?

phobia, have a phobia about, live in fear, dread (n), dread (v),

(7) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu aogope?

kuogofya, kuogopesha, kutia hofu, kuhofisha, kutishia, kushtua, kushtusha, kugutusha, kufadhaisha, kuwinga, kuhofia

(8) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kuogopa?

scare (n), terror, horror, alarmist,

(9) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kuogopa?

frightening, frightful, alarming, blood-curdling, chilling, creepy, dreadful, eerie, fearsome, forbidding, hair-raising, scary, spine-chilling, spooky, terrifying,

(10) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni rahisi kutishiwa?

scare easily, timid, be of a nervous disposition,

(11) Maneno gani humwelezea mtu ambaye haogopi?

brave, bravely, bravery, courage, courageous, courageously, fearless, fearlessly, unafraid,

(12) Dalili au ishara gani zinaonyesha kwamba mtu anaogopa?

tremble, quail, quake, shake, shiver, shudder, heart pounds, teeth chatter, be paralyzed with fear, freeze, cower, crouch, cringe, jump, flinch, wince, shrink, slink, stampede, turn tail, turn white, blanch, cry out, goose-flesh, goose-pimples, goose-bumps,

3.4.2.5 Kuchanganyikiwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuchanganyikiwa--yaani kuwa na hofu na kutokuwa na mashaka kuhusu maana ya jambo fulani au nini cha kufanya.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuchanganyikiwa?

be confused, be in a muddle,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kuchanganyikiwa?

confusion, bewilderment, mystification, perplexity,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia kuchanganyikiwa?

confused, baffled, befuddled, bemused, mystified, perplexed, puzzled, stupefied, unsure,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amechanganyikiwa sana?

bewildered, mixed-up

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kuchanganyikiwa?

confuse, baffle, befuddle, bewilder, distract, flummox, fluster, mystify, nonplus, perplex, puzzle (v), stupefy, throw,

(6) Maneno gani hutaja jambo fulani ambalo husababisha mtu kuchanganyikiwa?

distraction, puzzle (n), mystery,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kuchanganyikiwa?

confusing, puzzling, bewildering, baffling

(8) Maneno gani hutaja kuchanganya jambo fulani na jambo lingine?

confuse, mix someone up with, mix people up, get something mixed up with, get things mixed up,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   55   56   57   58   59   60   61   62   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page