Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomtaja mtoto wa nje ya ndoa.
(1) Maneno gani humtaja mtoto aliyezaliwa na mwanamke ambaye hajaolewa?
• mtoto wa nje ya ndoa, mwana wa haramu, mwana haramu
(2) Maneno gani humwelezea mwanamke ambaye ana mtoto wakati hajaolewa?
• kupata mtoto nje ya ndoa
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mtoto pasipo baba?
• kuwa mtoto wa haramu
(4) Maneno gani humtaja mwanamke (ambaye ameolewa) ambaye ana mtoto kwa mwanaume mwingine (mwanaume ambaye si mume wake)?
• (no words in English)
4.1.9.6 Kumlea mtoto asiye wako
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumpanga au kumlea mtoto asiye wako.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumchukua mtoto asiye wako na kumfanya wa kwako?
• kupanga mtoto, kumkubali mtoto na kumtunza, uchaguo
(2) Maneno gani humtaja mtoto anayelelewa na mtu asiye mzazi wake?
• mtoto wa kupanga, mwana wa kupanga
(3) Maneno gani huwataja wazazi wa mtoto asiye wako wanapomfanya wa kwako?
• adoptive father, adoptive mother, foster parent
4.1.9.7 Asiye na undugu
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayowataja watu ambao hawahusiani kwa damu wala kwa ndoa.
(1) Maneno gani hutumika kwa kutaja watu wasiohusiana kwa damu wala kwa ndoa?
• wasio ndugu, wasiohusiana
4.1.9.8 Familia, ukoo
Tumia eneo la maana hili kwa ajili ya maneno ambayo hutaja makundi ya kijamii yaliyoundwa na watu wenye undugu.
(1) Maneno gani hutaja kundi la baba yako, mama yako na watoto wao?
• familia, jamaa, ndugu wa karibu
(2) Maneno gani huwataja watu wanaoishi nyumbani kwako?
• kaya
(3) Maneno gani hutaja makundi ya watu walio ndugu zako?
• ukoo, kabila, mbari, taifa, jamii, jamaa
(4) Maneno gani huelezea mambo ya familia yako?
• family, domestic, run in the family,
4.1.9.9 Taifa, mbegu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mbegu au taifa tofauti tofauti za watu--makundi makubwa wa watu duniani wenye rangi au umbo tofauti.
(1) Maneno gani hutaja taifa au mbegu wa mtu fulani?
• race, color, ethnic group, racial, racially, ethnic, ethnicity,
(2) Maneno gani hutaja taifa au mbegu wa mtu fulani kutokana na rangi ya ngozi yake?
• yellow, brown, black, white, red,
(3) Maneno gani hutaja taifa au mbegu wa mtu fulani kutokana na mahali ambapo mababu yake walitoka?
• Aborigine, African, Arab, Asian, American Indian, Caucasian, Hispanic, Indian, Latin American, Native American,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuchangamana watu wanaotoka mbegu au taifa mbalimbali?
• integration, segregation, multiracial, interracial, cosmopolitan, multicultural, mixed,
4.1.9 Undugu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja mahusiano ya familia kwa jumla, siyo kwa maana maalumu. Kwa maneno maalumu, tumia eneo la maana lake.
(1) Maneno gani hutumika kwa kuonyesha kwamba watu wawili ni ndugu?
• kuwa ndugu na, kutoka familia moja
(2) Maneno gani hutaja uhusiano kati ya washirika wa familia?
• undugu, uhusiano wa kindugu
(3) Maneno gani humtaja mshirika wa familia mmoja au kundi kubwa zaidi la ndugu?
• ndugu, ndugu kwa damu, mkwe, jamaa
(4) Maneno gani hutaja makundi ya watu wanaohusiana kindugu?
• familia, ukoo, mlango, kabila
(5) Maneno gani hutaja kizazi kimoja?
• kizazi, rika
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza na mtu fulani ili ugundue jinsi unavyohusiana naye?
• (none in English)
Page 4.2.1.1 Kualika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuwaalika watu ili wakutane pamoja--yaani kusema kitu fulani kwa mtu kwa sababu unataka kukutana naye.
(1) Maneno gani hutumika kwa tendo la kusababisha watu wakutane pamoja?
• kualika, kukaribisha, kukutanisha, kukusanyisha, kuita kwenye mkutano
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachosemwa au kinachoandikwa unapomwalika mtu fulani?
• mwaliko
(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye amealikwa?
• invited guest,
4.2.1.2 Kukuta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumkuta mtu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkuta mtu bila kusudi?
• kukutana na (mtu fulani), kuona kwa bahati
4.2.1.3 Kukutana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukutana.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukutana na mtu fulani?
• kukutana pamoja, kuwa pamoja, mahali pa kukutana
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukutana katika kikundi?
• kuwa na mkutano, kukutana, kukusanyika
4.2.1.4.1 Kukaribisha, kupokea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumkaribisha mgeni.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkaribisha mtu ambaye amefika sasa hivi?
• kumkaribisha, kumpokea
(2) Salamu gani hutumika katika kumkaribisha mgeni?
• Hello. Welcome. Come in.
4.2.1.4.2 Kuonyesha ukarimu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwonyesha mgeni ukarimu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwonyesha mgeni ukarimu?
• kuonyesha ukarimu
(2) Maneno gani humwelezea mwenyeji mzuri?
• gracious hostess, hospitable
(3) Maneno gani humwelezea mwenyeji mbaya?
• inhospitable
4.2.1.4 Kutembelea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtembelea mtu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutembelea eneo la watu fulani ili kuwasalimia?
• kuzuru, kumtembelea mtu, kwenda kumwona, kusalimu, kuamkia
(2) Maneno gani hutaja tukio la kumtembelea mtu fulani?
• kumtembelea, mahojiano, miadi, muda pamoja na (fulani)
(3) Maneno gani hutaja mapatano ya kutembeleana?
• kuweka miadi, makubaliano ya kutembeleana
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutembelea mahali usiku kucha?
• kukaa usiku kucha, kukaa na (fulani)
(5) Maneno gani humtaja mtu anayemtembelea mwingine?
• mgeni, mwenye kuzuru, mgeni wa nyumbani
(6) Maneno gani humtaja mtu anayetembelewa nyumbani kwake?
• mwenyeji, mwenye nyumba
(7) Maneno gani humtaja mgeni ambaye anakaa muda mrefu, lakini halipi na hasaidii kazi?
• freeload, freeloader, sponge, sponger,
Share with your friends: |