4.2.4 Kucheza ngoma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kucheza ngoma.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kucheza ngoma?
• dance,
(2) Aina za dansi au ngoma zinaitwaje?
• ngoma ya jadi, msowero, dansi, dansi katika mraba, bale (dansi yenye maigizo)
(3) Sehemu za dansi au ngoma yenyewe huitwaje?
• hatua, kuongoza, kufuatisha
(4) Maneno gani huwataja watu wanaocheza ngoma?
• mchezaji ngoma, mwenzi wa kucheza ngoma, mstari wa kucheza pamoja
(5) Watu hucheza ngoma wapi?
• batobato, ukumbi
4.2.5 Mchezo wa kuigiza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mchezo wa kuigiza.
(1) Maneno gani hutaja aina fulani ya mchezo wa kuigiza?
• drama, play, skit, comedy, tragedy, musical, melodrama, parody, suspense, film, movie, cinema, show,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuigiza?
• act, enact, reenact, go on stage,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuigiza mtu fulani ndani ya mchezo?
• play a part, portray, role, part,
(4) Maneno gani huwataja watu wanaoigiza?
• mwigizaji, mwelekezaji
(5) Maneno gani huwataja waigizaji muhimu au mashuhuri sana?
• star, co-star, star in, play the lead,
(6) Maneno gani huwataja waigizaji wote pamoja?
• cast,
(7) Maneno gani huonyesha kwamba mwigizaji fulani anaigiza katika mchezo wa kuigiza fulani?
• star (v), feature, with, be in, appear in,
(8) Maneno gani humtaja mtu anayeandika maigizo?
• playwright, play writer, dramatist
(9) Sehemu za igizo huitwaje?
• onyesho (la kwanza, la pili, ...), kituo (pumziko), kupiga makofi
(10) Maneno gani hutaja mahali ambapo igizo hufanyika?
• theater, cinema, stage, set, on location
(11) Maneno gani hutaja vitu vinavyotumika kwenye igizo?
• prop, scenery, backdrop, curtain
(12) Maneno gani hutaja tendo la kuigiza kwa kutumia hisia zinazozidi kiasi?
• overact, ham it up,
Page 4.2.6.1.1 Mchezo wa karata
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mchezo fulani wa karata. Kama hamchezi michezo ya karata katika utamaduni wenu, unaweza kutumia eneo la maana hili kutaja maneno yanayohusiana na mchezo fulani unaochezwa katika utamaduni wenu. Pia mnaweza kuongeza maeneo ya maana kwa michezo mingine katika utamaduni wenu.
(1) Mchezo huo huitwaje?
• card game, poker,
(2) Shindano moja la mchezo huo linaitwaje?
• hand
(3) Kundi la mashindano linaitwaje?
• game
(4) Mchezaji wa mchezo huu anaitwaje?
• player,
(5) Timu zinaitwaje?
• partners,
(6) Matukio ya mchezo ni nini (yaani mchezo huo huchezwa vipi)?
• shuffle cards, deal cards, play, lead, follow suit, trump, call, take a trick,
(7) Vifaa gani hutumika katika kuchezea mchezo huo?
• card, deck, suit, heart, diamond, club, hand, trick, spade, kitty,
4.2.6.1.2 Bao
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mchezo fulani. Mchezo wa bao ni mfano mmoja tu. Kama bao haichezwi kwenu, elezea mchezo mwingine. Kwa kila mchezo wa kwenu, ongeza eneo lingine (4.2.6.1.3, 4.2.6.1.4, n.k.).
(1) Mchezo huo huitwaje?
• bao, mchezo wa bao
(2) Shindano moja la mchezo huo linaitwaje?
• shindano, mechi
(3) Maneno gani hutaja watu wanaposhindana bao kwa wengi?
• mashindano
(4) Mchezaji wa mchezo huo huitwaje?
• mchezaji bao, mchezaji wa bao
(5) Kila upande wa mchezo huo huitwaje?
• mchezaji mmoja, mchezaji mwingine
(6) Mchezo huo huchezwa vipi?
• kula, kuliwa hadi kufungwa goli, kwa kuzunguka
(7) Vifaa gani hutumika katika kuchezea mchezo huo?
• ubao, arita
4.2.6.1 Mchezo wa mashindano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja michezo ya mashindano.
(1) Maneno gani hutaja michezo ya mashindano?
• game
(2) Aina za michezo ya mashindano zinaitwaje?
• karata
(3) Aina ya michezo iliyochezeka kwenye bao zinaitwaje?
• bingo, blackjack, bridge, cards, checkers, chess, charades, craps, dice, dominoes, gin, hearts, jacks, lotto, mahjongg, marbles, Monopoly, Parcheesi, poker, roulette, solitaire,
(4) Aina za michezo ya watoto zinaitwaje?
• catch, hide-and-seek, hopscotch, leapfrog, mumblety-peg, tag,
(5) Sehemu za michezo zinaitwaje?
• ubao, dadu, karata, kisanamu (cha sataranji)
(6) Maneno gani hutaja tendo la kucheza mchezo?
• play,
(7) Maneno gani huwataja watu wachezao michezo ya mashindano?
• mchezaji, mshindani
(8) Maneno gani hutaja tendo la kucheza dhidi ya mtu mwingine?
• play against, be against, versus,
(9) Maneno gani huwataja watu unaocheza dhidi yao?
• opponent, opposition, rival,
4.2.6.2.1 Mpira wa miguu, soka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mpira wa miguu.
(1) Mchezo mwenyewe unaitwaje?
• football, soccer,
(2) Maneno gani hutaja mechi moja?
• match
(3) Sehemu za mechi zinaitwaje?
• half,
(4) Mtu anayeshiriki katika mchezo anaitwaje?
• forward, fullback, goalie, guard, halfback, striker, sweeper, wing,
(5) Kundi la wachezaji linaitwaje?
• team
(6) Kundi la timu mbalimbali linaitwaje?
• ligi
(7) Kiongozi wa timu fulani anaitwaje?
• coach, to coach a team, captain, to captain a team
(8) Wasaidizi wa timu fulani wanaitwaje?
• coach, referee,
(9) Wachezaji hufanya nini?
• pass, score,
(10) Vifaa gani hutumika katika mchezo?
• net, ball,
(11) Mahali ambapo mchezo huchezewa panaitwaje?
• field,
(12) Sehemu za uwanja zinaitwaje?
• line, out of bounds,
Share with your friends: |