Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page142/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   138   139   140   141   142   143   144   145   ...   206

7.2.2.5 Kwenda chini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda chini au kwenye mahali pa chini zaidi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda chini polepole au kwa kusudi?

move down, go down, lower oneself, climb down, jump down, descend, descent

7.2.2.6 Kugeuka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugeuka au kubadilisha mwelekeo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kugeuka?

turn, change direction/course, deviate, go off at an angle, swerve,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kugeuka na kwenda kwa mwelekeo wa kinyume?

turn around, reverse direction, retreat, go back, retire to the rear

7.2.2.7 Kwenda kwa duara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuendelea kubadilisha mwelekeo mpaka unapokabili tena mwelekeo wa awali (yaani kwenda kwa duara, kuzunguka kitu fulani, au kuzunguka kama mhimili wa dunia).

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa duara?

move in a circle, curve, circulate, turn around, swing, cycle

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzunguka kitu fulani?

move around, surround, encircle, revolve, swivel, pivot

(3) Maneno gani hutaja hali ya kuzunguka kama mhimili wa dunia?

kuzunguka, mzunguko, mhimili

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuvingirisha kitu juu ya ardhi?

kuvingirisha, kuviringisha, kufinginyisha, kubingirisha, kwa magurudumu, kwa magogo, kwa chao

7.2.2.8 Kusogea mbele na nyuma


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusogea mbele na nyuma.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusogea mbele na nyuma?

kwenda mbele na nyuma, kusogeasogea, kupiga nyuma na mbele

(2) Maneno gani hutaja kitu kilichosogezwa nyuma na mbele kwa haraka sana?

mtikiso, kuchekecha, kutetema

(3) Maneno gani hutaja tendo la kujitikisa?

shake, shiver, wiggle, wriggle, squirm, writhe

7.2.2.9 Kwenda moja kwa moja bila kugeuka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda moja kwa moja bila kubadilisha mwelekeo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda moja kwa moja?

go straight, in a straight line, direct, as the crow flies

7.2.2 Kwenda kwa mwelekeo mmoja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda kwa mwelekeo mmoja ukilinganisha na mkao wa mwili wa mtu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa mwelekeo mmoja?

head (in a direction), go (in a direction)

(2) Maneno gani yanataja mwelekeo wa mwendo wa mtu?

mwelekeo

7.2.3.1 Kusogea mbali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kusogea mbali na kitu au mahali.

(1) Maneno gani huelezea tendo la kusogea mbali na kitu au mahali fulani?

kutoka, kuondoka, kusogea mbali na, kujiepusha, kukwepa, kukaa mbali

7.2.3.2.1 Kuja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumwendea mtu msemaji.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwendea mtu msemaji?

njoo, kuja

(2) Watu husemaje wanapotaka mtu aje?


7.2.3.2 Kwenda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda mbali na mtu msemaji.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda mbali na mtu msemaji?

kwenda (sehemu nyingine), kuondoka, kumuacha, kutoka sehemu hiyo

(2) Watu husemaje wanapotaka mtu aende mbali?


7.2.3.3.1 Kufika, kuwasili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuwasili au kufika katika eneo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuwasili au kufika katika eneo?

kufika, kuwasili, kutua, kuingia

7.2.3.3 Kuondoka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujiondoa kutoka eneo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuondoka mahali fulani?

leave, depart, departure, go away, withdraw, take your leave, scram, skedaddle, beat it, set out, hit the road, quit (a place), absent yourself, slip away, vacate, make yourself scarce,

7.2.3.4.1 Kutoka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutoka nje ya kitu, kama vile nyumba au eneo.

(1) Maneno gani hutajaq tendo la kutoka nje ya kitu au eneo fulani?

kutoka nje, kuhama, kujitenga, kuondoka

(2) Maneno gani hutaja penyo au mahali ambapo kitu kinaweza kutoka nje?

exit, outlet, vent, mouth, opening, way out

7.2.3.4 Kuingia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuingia ndani ya kitu, kama vile nyumba au eneo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuingia ndani ya eneo fulani?

kwenda ndani, kuingia, kupeleka ndani, kuwasili

(2) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa kati ya kitu?

move inwards,

7.2.3.5 Kupita


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupita, iwe kupita juu ya kitu iwe kupitia ndani ya kitu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupita kitu?

move past, move by, bypass, go around, go by, stop by, zoom by, zip by

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupita kitu au mtu ambaye anaenda kwa mwelekeo huohuo?

pass

(3) Maneno gani hutaja tendo la kwovateki kitu au mtu ambaye anaenda kwa mwelekeo huohuo?

come up with, catch up with, overtake

(4) Maneno gani hutaja tendo la kupita juu ya kitu fulani?

move over, walk over, run over, overrun

(5) Maneno gani hutaja tendo la kupitia ndani ya kitu fulani?

pass through

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuvuka kitu, kama vile mto, barabara, mlima, au mpaka?

kuvuka, kwenda ng'ambo ya, kutataga, mvuko, mpito, kivuko



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   138   139   140   141   142   143   144   145   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page