Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page141/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   137   138   139   140   141   142   143   144   ...   206

7.2.1.6 Imara, geugeu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jinsi ilivyo rahisi kwa mtu au kitu kuondolewa au kusogezwa.

(1) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kwenda au kusogea?

movable, mobile, mobility, portable, loose, fluid, free,

(2) Maneno gani huelezea kitu kisichoweza kwenda au kusogea?

fixed, immovable, stuck, jammed, stiff, won't budge, can't budge something, can't move, immobile, paralyzed, stranded, entangled, caught, bound, permanent, rooted, entrenched, established, settled, set,

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni rahisi kukisogeza?

unsteady, shaky, easily moved, unstable, unsettled, rickety, tottering, wobbly

(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni vigumu kukisogeza?

steady, firm, stable,

7.2.1.7 Kwenda au kusogea kwa kupiga kelele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kupiga kelele wakati unapotembea au kusogea.

(1) Maneno gani hutaja sauti zinazotolewa wakati unatembea au kusogea?

bang, buzz, chug, clack, clang, clank, clatter, click, clink, clump, clunk, crackle, crash, creak, crunch, fizz, gurgle, hiss, howl, patter, ping, purr, putter, roar, rumble, rustle, screech, splash, splutter, squelch, swish, thud, thump, thunder, wheeze, whine, whir, zing

7.2.1 Namna za mwendo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jinsi mtu anavyokwenda.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja jinsi mtu anavyokwenda?

gait

7.2 Kusogea, kwenda


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusogeza mwili mzima kwenda eneo lingine.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kusogeza mwili mzima kwenda eneo lingine?

move, movement, change position, maneuver, jockey for position, budge

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kusogea au kwenda?

stir, make a move

(3) Maneno gani huelezea kitu kinachosogea au kinachoenda?

moving, be in motion

Page

7.2.2.1 Kwenda mbele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda mbele--yaani kwenda kwa mwelekeo ambao mtu anakabili.

(1) Maneno gani huelezea tendo la kwenda mbele?

kwenda mbele, kusonga mbele

7.2.2.2 Kwenda nyuma


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda nyuma--yaani mtu anakabili mwelekeo mmoja, lakini anaenda kinyume.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda nyuma wakati mtu anakabili mbele?

move back, back up, move backwards, move in reverse

7.2.2.3 Kwenda kwa upande


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda upande--yaani mtu anakabili mwelekeo mmoja, lakini anaenda au anasogea kwa upande wake.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa upande?

kwenda kwa upande, kwenda upandeupande, kwenda upande, kuacha nafasi, kwenda pembeni, kutoka njiani

7.2.2.4 Kwenda juu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda juu au kwenye mahali pa juu zaidi.

(1) Maneno gani hutaja kwenda juu?

kwenda juu, kwenda juu kiwimawima, kupandisha, kuinua, kupanda, kupaa

(2) Maneno gani hutaja tendo la kwenda juu hewani?

rise, ascend, gain height,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kwenda juu hewani kwa haraka?

fly up, soar, shoot up,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kupanda kitu (k.m., mlima)?

climb, scale, clamber, shin up, shinny up,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kupanda ndani ya kitu (k.m., gari)?

climb onto, get on, mount, embark, hop onto, jump onto,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kupanda juu ya kitu (na kufika upande mwingine)?

climb over

(7) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa jua au mwezi angani?

come up, rise,

(8) Maneno gani hutaja ndege inapopanda juu?

kupaa

(9) Maneno gani hutaja tendo la kwenda juu?

rise (n), ascension, ascent,

(10) Maneno gani humtaja mtu anayeenda juu?

climber, mountaineer, mountain climber, rock-climber,

(11) Maneno gani hutaja mchezo wa kupanda milima?

climbing, mountaineering, go climbing, rock-climbing,

7.2.2.5.1 Kuanguka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kitu kuanguka--yaani kitu kwenda chini kwa sababu ya uvutano wa dunia.

(1) Maneno gani hutaja kuanguka?

fall, drop, fall on,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka kutoka mahali pa juu bila kusudi?

fall off, take a fall, tumble, be thrown,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka kutoka mahali pa juu sana?

plunge, plummet,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka kutoka mkao wa kusimama?

fall down, fall over, have a fall, fall flat on your face, collapse, topple over, keel over, go head over heels, fall headlong,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kukaribia kuanguka?

trip, slip, stumble, lose your balance, lose your footing, keep your balance, stay up,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka kutoka juu ya kitu?

fall from, fall out, come off,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka?

fall (n), avalanche,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka polepole?

sink slowly, float down, drift down, settle,

(9) Maneno gani hutaja kitu kama mvua au majani yanapoanguka au yanapodondoka?

fall, drop, come down, parachute,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kitu kianguke?

drop,

(11) Maneno gani hutaja kitu kuanguka au kudondoka kwenye upande wake?

fall over, topple over, tip over,

(12) Maneno gani hutaja jengo linapoanguka?

fall down, collapse, fall in, cave in,

(13) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu aanguke?

knock down, push over, trip, knock someone to the ground, bring down,

(14) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kianguke?

knock over, upset, tip over, overturn,

(15) Maneno gani hutaja maji yanapodondoka?

cascade, cataract, pour, precipitate, shower,

(16) Maneno gani hutaja tendo la kuanguka katika maji?

sink, fall overboard, plunge into, fall into, plop, plunk,

(17) Maneno gani hutaja mvuto unaosababisha vitu kuanguka?

gravity,

(18) Maneno gani hutaja hali ya kuzuia kitu kisianguke?

hold up, prop up, brace,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   137   138   139   140   141   142   143   144   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page