Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page147/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   143   144   145   146   147   148   149   150   ...   206

7.3.1.2 Kudaka


Tumia eneo la maana hili kwa vitenzi vinavyotaja tendo la kudaka kitu kilichoangushwa au kurushwa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kudaka kitu kilichoangushwa au kurushwa?

kudaka, kukoroweza

7.3.1.3 Kutikisa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kusogeza kitu mbele na nyuma.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutikisa kitu?

kutikisa, kutukutiza, kusuka, kutetemesha, kupunga, kutukusha, kuning'iniza, kushtusha, kutatarisha, kayamba, kupepeta, kuwayawaya, kupembeza

7.3.1.4 Kuangusha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kugonga kitu ili kianguke chini na kugonga chombo fulani ili kimwage vilivyomo ndani yake.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kugonga kitu ili kianguke?

knock down, topple

(2) Maneno gani hutaja tendo la kugonga chombo fulani ili kimwage vilivyomo ndani yake?

knock over, tip over, spill, dump

7.3.1.5 Kuweka kiwima


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka wima kitu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka wima kitu?

kuweka kiwima, kusimamisha, kusimikisha

7.3.1 Kubeba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kubeba kitu--yaani kuchukua kitu na kukishika wakati wa kujisogeza.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kubeba kitu kwa jumla?

carry, bear, tote

(2) Maneno gani hutaja tendo la kubeba kitu kwa njia maalumu?

pack, carry in the arms, carry on the shoulders, shoulder (v), carry on a pole, cradle,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kubeba kitu kizito sana?

lug, haul, cart

(4) Maneno gani hutaja tendo la kubeba vitu vingi?

be loaded (down) with, overloaded, be laden with, be weighed down with, under the weight of

(5) Maneno gani humtaja mtu anayebeba mizigo?

hamali, mshukuzi, mpaguzi

(6) Maneno gani hutaja kitu kinachobebwa?

load, burden, armful,

(7) Maneno gani hutaja kitu kinachoweza kubebwa?

portable

(8) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kubeba vitu?

pack, backpack, stretcher, carrying pole,

7.3.2.1 Kuweka mbele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka kitu mbele yako au mbele ya kitu kingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu mbele yako au mbele ya kitu kingine?

kuweka mbele, kukabilisha, kuelekeza

7.3.2.2 Kuweka nyuma


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka kitu nyuma yako au nyuma ya kitu kingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu nyuma yako au nyuma ya kitu kingine?

kuweka nyuma

7.3.2.3 Kuweka pembeni


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka kitu pembeni yako.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu pembeni yako?

put aside, put to the side, put beside, put next to you, push aside, push to the side, move aside, move to the side

7.3.2.4.1 Kutundika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kutundika kitu, na kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho kimetundika.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutundika kitu?

hang, hang up, suspend

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimetundika?

dangle, hanging

7.3.2.4 Kuinua juu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka kitu juu yako au juu ya kitu kingine, au kusogeza kitu juu zaidi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuinua kitu?

lift, lift up, raise, put up, hoist, pull up, elevate, erect, uplift, heighten, jack up, pick up, levitate,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuinua kitu juu ya kitu kingine?

put above, place over

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu juu ya kitu kingine?

kuweka chunguchungu, kulundika, kupanganya, kuomekaza, kuandikanya

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kuinua vitu?

lever, fulcrum, elevator, lift, jack, hoist, crane,

7.3.2.5 Kushusha kitu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka kitu chini yako au chini ya kitu kingine, au kusogeza kitu chini zaidi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kushusha kitu?

lower, lower away, move (something) down, drop it down a peg

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu chini ya kitu kingine?

put under, put underneath

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kitu kianguke?

kuangua, kubwaga, kuchopoka, kuchurupuka

7.3.2.6 Kuingiza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka kitu ndani ya kitu kingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuingiza kitu katika kitu kingine?

kuingiza, kupenya, kutia ndani, kutia, kupenyeza, kupiga sindano, kupita kati ya, kubokoa, kugagamiza, kutumbuza, kutoboa, kuzua, kuchoma, kutoga, kudunga, njumu, kujaza, kuziba, kushindilia

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu ndani ya penyo au kitu laini?

stick, ram, drive, plunge, thrust

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu ndani ya eneo dogo?

force, stuff, squeeze, jam, cram, pack, wedge in

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu ndani ya penyo au eneo dogo?

put in/into/inside, slide something into, tuck in/into/under, insert

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu katika maji?

immerse, submerge

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu katika maji kwa muda mfupi?

dip, dunk

7.3.2.7 Kutoa kitu kutoka kitu kingine


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kutoa kitu kutoka kitu kingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa kitu kutoka kitu kingine?

kutoa, kuondoa, kuondosha, kung'oa, kukongoa, kuzindua, kuchopoa, kuvura, kufyonza, kunyonya, kuamwa, kukama, kukamua, kusongoa, kuchimbua, kuomoa

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutoa kitu kutoka ardhini?

root out, uproot, dig out, pull up, weed out, grub up, rake out

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutoa maji kutoka kitu?

pour, dip out, wring out, wring from, squeeze out, suck out, pump, milk, soak up, absorb, absorbent

(4) Maneno gani hutaja tendo la kupindua chombo ili vilivyomo ndani yake vitoke?

pour, dump, spill

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu kutoka kitu kingine?

pull out, draw out, pluck, tear out

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu kutoka kitu kingine?

push out, eject, squeeze out, expel



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   143   144   145   146   147   148   149   150   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page