Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page157/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   153   154   155   156   157   158   159   160   ...   206

8.1.1.1.2 Mbili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na namba mbili.

(1) Maneno gani hutaja mbili?

two, second, two times, two-fold, double (v), twins, brace, dichotomy, deuce, dual, dyad, twain, yoke, in pairs, in twos, two by two, by twos, two at a time, two apiece, two each, both, either, neither,

(2) Maneno gani hutaja watu wawili wanaofanya mambo kwa pamoja?

couple, pair, duo, twosome, duet,

(3) Maneno gani hutaja vitu viwili vinavyotumika kwa pamoja?

pair, twin,

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika na watu wawili?

for two, double, two-man,

(5) Maneno gani hutaja kitu kilicho na sehemu mbili au vipande viwili?

double (adj), couplet, duplex,

(6) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika kwa mambo mawili?

dual, twofold,

(7) Maneno gani huonyesha kwamba idadi ya kitu ni mara mbili ya kitu kingine?

twice, double, twice as much (as), two times as much (as), two times what, double what,

(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kinatokea au kufanyika mara mbili?

twice, twice over, two-time,

8.1.1.1 Namba kamili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na namba kamili (moja, mbili, tatu) -- yaani, namba zinazotumika kuhesabu.

(1) Namba za kuhesabu zinaitwaje?

moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba, nane, tisa, kumi, kumi na moja, kumi na mbili ...

(2) Vigawe vya kumi vinaitwaje?

kumi, ishirini, thelathini, arobaini, hamsini, sitini, sabini, themanini, tisini

(3) Vigawe vya mia vinaitwaje?

mia moja, mia mbili, mia tatu, mia nne, mia tano, mia sita, mia saba, mia nane, mia tisa

(4) Vigawe vya elfu vinaitwaje?

elfu moja, elfu mbili, elfu tatu, elfu nne, elfu tano, elfu sita, elfu saba, elfu nane, elfu tisa, elfu kumi, ... laki

(5) Namba zinazozidi elfu moja zinaitwaje?

million, billion, trillion, quadrillion

(6) Maneno gani hutaja vigawe vya namba za desimali (ushuria)?

tarakimu, makumi (miongo), mamia, maelfu, mamilioni ...

(7) Maneno gani hutaja makundi ya namba?

dazeni (fungu la kumi na mbili), korija (fungu la ishirini), mamia, maelfu

(8) Maneno gani hutaja namba kubwa sana?

huge number, myriad, zillion, jillion, umpteen, googolplex,

(9) Maneno gani hutaja namba isiwe na mwisho?

infinity, infinite, boundless, endless, limitless,

8.1.1.2 Namba za mpango


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na namba za mpango (ya kwanza, ya pili, ya tatu) -- yaani, namba zinazotumika kuonyesha nafasi ya kitu fulani katika mfuatano, k.m., "mtoto wa kwanza"

(1) Namba za mpango zinaitwaje?

first, second, third, fourth, fifth, sixth, seven, eighth, ninth, tenth, eleventh, twelfth, thirteenth, hundredth, thousandth,

8.1.1.3 Idadi ya mara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tukio lilitokea mara ngapi. Inawezekana kwamba namba hizi zinaweza kuwa kielezi (kama Kiingereza) au katika lugha zingine zinaweza kuwa kitenzi (k.m., kufanya kitu mara mbili).

(1) Maneno gani huelezea mara ngapi jambo fulani limetokea? ("Ameanguka mara tatu.")

once, one time, single time, twice, two times, three times, thrice, four times, many times

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo limetokea mara fulani?

two-time, three-time,

(3) Maneno gani hutaja kufanyia jambo mara fulani (yaani, kufanyia jambo fulani mara moja/mbili/n.k.)?

(none in English)

8.1.1.4 Kuleta wingi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuleta wingi kwa kitu fulani.

(!) Maneno gani huelezea kitu ambacho kiasi yake ni mara mbili au tatu zaidi kuliko kitu kingine?

single (portion, scoop), double (adj), triple, quadruple, quintuple, two-fold, three-fold, four-fold,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba kiasi ya kitu ni mara mbili au tatu zaidi kuliko kitu kingine?

twice as much (as), two times as much (as), two times what, double what,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kitu kuongezeka mara mbili au tatu?

double (vi), triple, quadruple,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanyia kitu kiongezeke mara mbili au tatu?

double (vt), triple, treble, quadruple,

8.1.1.5 Kundi likihesabika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kundi la vitu au watu lenye namba fulani (solo, jozi, watu watatu, peke yake, n.k.).

(1) Maneno gani hutaja kundi la namba fulani?

single, duo, duet, trio, quartet, quintet, sextet, twins, triplets, quadruplets, quintuplets, sextuplets, twosome, threesome, foursome, fortnight, decade, century, millennium, dozen, score, gross,

(2) Maneno gani huonyesha kwamba mtu mmoja tu amefanya jambo fulani?

alone (adv), solo,

(3) Maneno gani hutaja kundi la watu, vitu, au mambo mawili?

pair, couple, couplet, brace, dichotomy, deuce, dual, dyad, twain, yoke,

(4) Maneno gani hutaja kundi la watu, vitu, au mambo matatu?

trilogy, trinity, triple, triumvirate, triune,

(5) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kinafanyika katika makundi ya namba fulani?

singly, one by one, two by two, three by three, by ones, by twos, by threes, in pairs, in threes, one at a time, two at a time, three at a time,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba wote wanahitaji kupata namba fulani ya kitu?

one apiece, two apiece, three apiece, one each, two each, three each,

8.1.1.6 Sehemu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya kitu.

(1) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu kwa jumla?

sehemu, kipande

(2) Maneno gani hutaja sehemu fulani ya kitu?

nusu, theluthi (sehemu ya tatu), robo (sehemu ya nne), moja/sehemu ya tano, moja/sehemu ya sita, moja/sehemu ya saba, themuni (sehemu ya nane), moja/sehemu ya tisa, moja/sehemu ya kumi

(3) Maneno gani hutaja tendo la kugawa kitu fulani katika sehemu?

halve, quarter (v), bisect, trisect, (divide/cut/fold) in half, in two,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   153   154   155   156   157   158   159   160   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page