Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page158/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   154   155   156   157   158   159   160   161   ...   206

8.1.1.7 Mifuatano ya namba


Tumia eneo la maana hili kwa mifuatano ya namba mingine ambayo bado haijatajwa katika maeneo ya maana mengine.

(1) Maneno gani hutaja kitu kinachotenganezwa na namba fulani ya sehemu au vipande?

duplex, tandem, tripartite,

8.1.1 Namba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na namba. Kila lugha ina neno kwa 'moja', na pia neno kwa 'mbili'. Pengine namba hizi zina maneno maalumu. Kwa hiyo, tumeingiza eneo la maana kwa 'moja' na lingine kwa 'mbili'. Pamoja na hayo eneo la maana lipo kwa namba zikiwa mfuatano (moja, mbili, tatu...). Lugha nyingi ina mfuatano zaidi ya moja wa namba (ya kwanza, ya pili, ya tatu...). Kwa hiyo tumeingiza eneo la maana kwa kila aina ya mfuatano uliopo kwenye lugha za dunia, kwa jumla. Ikiwepo kwamba lugha yako ina aina ya mfuatano wa namba mwingine uuingize katika eneo la maana 8.1.1.7 'mifuatano wa namba'.

(1) Maneno gani hutaja namba inayoandika?

number, figure, digit, numeral,

(2) Maneno gani hutaja namba ya watu au vitu?

toll, statistics,

(3) Maneno gani huelezea aina za namba mbalimbali?

even, odd, positive, negative, infinite, cardinal, ordinal, whole, fraction, decimal,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuandika namba kwa mfuatano wa vitu?

number (v), numbered,

(5) Maneno gani huonyesha kwamba kuna namba fulani ya kitu fulani?

number (v),

8.1.2.1 Hisabati


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisabati na sayansi ya namba.

(1) Maneno gani hutaja hisabati?

mathematics, math, arithmetic, geometry, algebra, calculus, trigonometry, statistics,

(2) Maneno gani hutaja kugundua kiasi au idadi ya kitu fulani?

calculate, work out, figure out, make, figure, compute, solve,

(3) Maneno gani huonyesha jawabu la mlinganyo?

is, equals, get,

(4) Maneno gani hutaja jawabu la mlinganyo wa kihisabati?

answer, solution,

(5) Maneno gani hutumika kwa kuongelea hisabati?

problem, equation, square root, squared, graph, axis,

(6) Maneno gani hutaja mtu ambaye anasoma hisabati sana?

mathematician, statistician,

(7) Zana au vifaa gani hutumika kwa kufanya hisabati?

calculator, computer, abacus, slide rule,

8.1.2.2 Kujumlisha namba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujumlisha namba mbili?

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujumlisha namba mbili?

add, addition,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kujumlisha mfuatano wa namba?

add up, tally (v), total (v),

(3) Maneno gani hutumika kwa milinganyo ya kujumlisha?

plus, and, added to,

(4) Maneno gani huonyesha jawabu la mlinganyo?

makes,

(5) Maneno gani hutaja jumla?

total (n), total (adj), sum, tally (n), grand total, subtotal, gross, aggregate, amount,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba namba fulani ni jumla?

altogether, in total, in all, all told,

(7) Maneno gani huonyesha kwamba idadi ya kundi la vitu imefika jumla fulani?

come to, amount to, total (v), reach, add up to, make, bring the number to, bring the total to, number (v),

8.1.2.3 Kutoa namba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutoa namba fulani kutoka namba nyingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa namba fulani kutoka nyingine?

subtract, take, take away, deduct, subtraction,

(2) Maneno gani hutumika kwa milinganyo ya kutoa namba katika hisabati?

minus, subtracted from, from, less,

(3) Maneno gani huonyesha jawabu la mlinganyo wa kutoa namba?

leave, be left with,

(4) Maneno gani hutaja jawabu la mlinganyo wa kutoa namba?

remainder, difference,

8.1.2.4 Kuzidisha namba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzidisha namba kwa nyingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzidisha namba kwa nyingine?

kuzidisha, mara

(2) Maneno gani hutumika kwa milinganyo ya kuzidisha namba katika hisabati?

multiplied by, times,

(3) Maneno gani huonyesha jawabu la mlinganyo wa kuzidisha namba?

makes,

(4) Maneno gani hutaja jawabu la mlinganyo wa kuzidisha namba?

product,

8.1.2.5 Kugawanya namba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugawanya namba kwa nyingine.

(1) Maneno gani hutumika kwa tendo la kugawanya namba kwa nyingine?

divide, division,

(2) Maneno gani hutumika kwa milinganyo ya kugawanya namba katika hisabati?

divided by, into, go into,

(3) Maneno gani huonyesha jawabu la mlinganyo wa kugawanya namba?

times,

(4) Maneno gani hutaja jawabu la mlinganyo wa kugawanya namba?

quotient,

8.1.2 Kuhesabu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhesabu -- yaani, kusema namba katika taratibu yao, au kutumia namba ili kugundua kiasi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema namba katika taratibu yao?

kuhesabu

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuhesabia idadi ya kitu?

count, count up, at the last count, keep count, keep track, keep a tally of, enumerate, enumeration,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusema kiasi au idadi ya kitu fulani bila kujua kamili au hasa?

estimate, assess, reckon,

(4) Maneno gani hutaja kupima kiasi ya kitu mara ya pili?

kukadiri tena, kuhesabu tena

(5) Maneno gani hutaja tendo la kukosa unapohesabu?

miscalculate, miscount, lose count,

(6) Maneno gani hutaja idadi au kiasi ya kitu fulani kinachohesabika?

calculation, sum, estimate, estimation, count (n),

(7) Maneno gani hutaja tendo la kukipa kila kitu kwenye mfuatano namba yake?

number, assign a number, count off

(8) Maneno gani huelezea kiasi kisichoweza kuhesabika?

isiyokuwa na idadi, isiyohesabika, bila namba



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   154   155   156   157   158   159   160   161   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page