Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page80/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   76   77   78   79   80   81   82   83   ...   206

4.2.6 Burudani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na burudani.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mambo watu wafanyayo ili kufurahisha?

burudani, burudiko, tamasha, michezo, mapumziko

4.2.7 Kucheza (hasa kwa watoto)


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kucheza.

(1) Maneno gani hutumika kumaanisha kucheza (hasa kwa watoto)?

kucheza, kujifurahisha, mzaha, kucheza michezo, kuchachawa, kuchezacheza

(2) Maneno gani hutaja vitu watu wanavyochezea?

mwanasesere (doli), kitoto, mpira, fumbo la kuchezea, tiara

(3) Maneno gani huwataja watu wanaocheza?

wacheza, wachezaji, mwenzi wa kucheza

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayecheza?

wa kuchezacheza, utundu, kurukaruka, wa michezo, kuchangamka, uchezaji

(5) Watu huchezea wapi?

uwanja wa kucheza, kiwanja cha michezo

4.2.8.1 Kuwa siriasi, kutocheka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa siriasi--yaani kutocheka na kutotania.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa siriasi (yaani kutocheka na kutotania)?

serious, earnest, sober, solemn, somber, stodgy,

4.2.8 Ucheshi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ucheshi.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja ucheshi kwa jumla?

ucheshi, utani, tabia ya kuchekesha, uchekeshaji, kupumbaza, mzaha, kufanya mzaha, ubishi, purukushani

(2) Maneno gani hutaja uwezo wa mtu wa kufanya mzaha?

uwezo wa kufanya mzaha, kisa cha kuchekesha, werevu wa ucheshi

(3) Maneno gani hutaja kilichosemwa kwa kucheckesha?

mzaha, neno la ubishi, lenye maana mbili, kuchezea maneno, kitendawili, mazungumzo matamu, kubishana kwa ucheshi, jibu kwa kudakiza, masihara, dhihaka

(4) Maneno gani hutaja kilichofanyika kwa kuchekesha?

mzaha, kufanya mzaha, kitimvi, mchezo wa upuzi, mambo ya kishamba, upumbavu, mchezo wenye ghasia, utundu, utani

(5) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho ni cha kuchekesha?

humorous, funny, hilarious, hysterical, silly, comical, ludicrous, amusing, comic, absurd, facetious, droll, laughable, zany,

(6) Mtu anayefanya mizaha huitwaje?

mchekeshaji, mcheshi, mfanya mizaha, mbishi, mpumbavu

(7) Maneno gani hutumika kwa tendo la kufanya mizaha?

kufanya mzaha, kuwa mcheshi, kufanya ubishi, kubishana, kuchekesha, kumchezea (fulani), mabishano ya ucheshi, kudanganya, kutoa maneno ya kuchekesha, kutania

(8) Maneno gani huelezea hali ya mtu ya ucheshi?

mwenye akili ya kuchekesha, mcheshi, wa mzaha, hodari wa ubishi, hodari wa ucheshi, kukejeli

(9) Maneno gani humwelezea mtu anayefanya mizaha?

mtu wa ucheshi, mwepesi wa mizaha, mtu wa utani mwingi, hodari

(10) Maneno gani huonyesha aina ya mzaha ambao mtu anaufanya au kusema?

mwenye kuchekesha, mwenye utani, mwenye masihara, kwa ubishi, kwa mchezo, kutomaanisha sana

4.2.9.1 Muda huru


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muda huru (yaani kutokufanya kazi).

(1) Maneno gani hutaja muda ambao hupaswi kufanya kazi?

free time, spare time, time off, time out, leisure time,

4.2.9 Likizo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na likizo.

(1) Maneno gani hutaja likizo?

holiday, vacation, trip, honeymoon

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuchukua likizo?

go on a holiday, take a holiday, go on vacation, take a vacation, go on a trip

(3) Maneno gani hutaja wakati ambao inaruhusiwa kutokwenda kazini au shuleni?

holiday, vacation, break, leave, day off

(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye yuko kwenye likizo?

holidaymaker, vacationer, tourist

(5) Maneno gani hutaja wakati ambao hulazimishwi kufanya kazi?

free time, spare time, time off, time out, leisure time,

Page

4.3.1.1 Mbaya, mwovu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwenendo mbaya au mwovu, na kwa maneno yanayoelezea mtu mwovu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mbaya au mwovu?

bad, base, carnal, corrupt, dangerous, decadent, degenerate, depraved, dishonorable, evil, felonious, foul, heinous, immoral, improper, impure, iniquitous, low-minded, low, miscreant, nasty, nefarious, no good, reprobate (adj), sinful, sinister, terrible, unethical, unholy, unjust, unrighteous, vile, villainous, wicked,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mbaya kabisa?

twisted, sick, perverted, depraved, terrible,

(3) Maneno gani humtaja mtu mbaya au mwovu?

miscreant, reprobate (n), scoundrel, sinner, black sheep, villain, knave,

(4) Maneno gani humtaja mtu mbaya sana au mwovu sana?

monster, pervert,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo baya?

sin (v), behave badly, misbehave, do wrong, be up to something, get into, indulge in, commit, stoop

(6) Maneno gani hutaja uwezo wa kuwa mbaya?

sinfulness, depravity, evil (n), iniquity,

(7) Maneno gani hutaja jambo baya ambalo mtu amefanya?

sin (n), misbehavior,

(8) Maneno gani huelezea jambo baya ambalo mtu amefanya?

bad, blameworthy, sinful, wrong,

(9) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapanga kufanya jambo baya?

calculating, scheming,

(10) Maneno gani huelezea mahali ambapo watu wabaya wanaenda mara kwa mara?

seedy, sleazy, haunt, den of iniquity,

(11) Maneno gani hutaja tendo la mtu kuanza kuwa mbaya au mwovu?

go bad, go wrong, turn to crime, fall, fall into sin,

(12) Maneno gani hutaja mtu fulani anaposababisha mtu mwingine awe mbaya?

tempt, corrupt, pervert, turn,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   76   77   78   79   80   81   82   83   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page