Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page88/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   84   85   86   87   88   89   90   91   ...   206

4.4.2.2 Hatari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hatari--yaani vitu na matukio yanayotaka kuharibu, au kusababisha maumivu au kifo.

(1) Maneno gani hutaja hatari?

hatari, baa, kuhatarisha, kutia hatarini, eneo la hatari, ya hatari, yenye kudhuru

(2) Maneno gani huelezea kitu kilicho na hatari?

dangerous, threatening, life threatening,

(3) Maneno gani huelezea kitu kisicho na hatari?

safe, harmless, out of harm's way

4.4.2.3 Ajali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ajali--yaani jambo baya linalotokea bila mtu wowote kutaka litokee au kusababisha litokee.

(1) Maneno gani yanataja ajali?

accident, mishap

(2) Maneno gani yanataja ajali kubwa?

balaa, ajali kubwa, kwa ajali kubwa

(3) Maneno gani hutaja ajali ya magari?

accident, crash, wreck, pile-up, collision

(4) Maneno gani hutaja tendo la kupata ajali?

have an accident, be involved in an accident, crash

(5) Maneno gani huelezea tukio la ajali?

accidental

4.4.2.4 Maafa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maafa.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja maafa kwa jumla?

disaster, catastrophe, tragedy, calamity, crisis, emergency

(2) Maneno gani hutaja maafa ya asili?

natural disaster, 'act of God'

(3) Maneno gani huelezea tukio linalosababisha maafa?

disastrous, catastrophic, tragic

(4) Kuna aina gani za maafa?

maradhi, dhoruba, baa la njaa, baa la wadudu, moto wa kuteketeza msitu, magonjwa ya mlipuko, ukame, mafuriko

4.4.2.5 Kutenganisha, upweke


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomtaja mtu akiwa na hali ya upweke.

(1) Maneno gani yanataja hali ya upweke?

peke yake, mkiwa, yatima, ya pekee, ya kukaa peke yake, upweke, pweke, pasipo mwenzi, mtu ambaye hajaoa, kapera, mseja, useja, kutenganisha

4.4.2.6 Kuteseka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mateso--yaani kusikia vibaya sana kwa sababu ya kitu fulani ambacho kimekutokea.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuteseka?

suffer, ache for someone, be afflicted with, agonize, endure, feel horrible, have a hard time, be hurting, be in pain, feel pain, feel rotten, undergo, go through, put up with, be subjected to, be in the grip of, be in the throes of,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuteseka kwa sababu ya kitu ambacho umefanya wewe mwenyewe?

suffer, pay for, pay the penalty for, count the cost, cost someone dearly, stew in your own juice, know to your cost, find out to your cost, at a cost to,

(3) Maneno gani hutaja hisia za kuteseka?

suffering, ache, affliction, agony, distress, misery, pain, torment (n), torture (n),

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayeteseka?

suffering, tormented,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu fulani ateseke?

distress (v), give someone a hard time, hurt, inflict, put someone through, subject to, torment (v), torture (v),

(6) Maneno gani hutaja kitu ambacho kinamsababisha mtu ateseke?

adversity, hardship, hell, injury, tormenter, torturer,

(7) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinasababisha mtu ateseke?

agonizing, distressing, hard, hurtful, painful, tormenting, torturing,

(8) Maneno gani hutaja jambo ambalo ni vigumu mno kulikubali?

unbearable, unbearably, intolerable, intolerably, unendurable,

(9) Maneno gani humtaja mtu anayeteseka?

sufferer, casualty, victim,

(10) Maneno gani humtaja mtu anayeonekana kufurahia mateso?

masochist, martyr, be a glutton for punishment,

4.4.2 Taabu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mambo mabaya ambayo yanatokea katika maisha.

(1) Maneno gani hutaja mambo mabaya ambayo yanatokea katika maisha?

trouble, adversity, difficulty, hardship

(2) Kuna aina gani za taabu?

be in need, be in pain, be injured, harm, be in distress, suffer persecution, be in danger, social unrest, anarchy

(3) Je, mambo gani yanasababisha taabu?

vita, njaa, gumba, ukame, baa, msiba, kifo, mauti, ufu, mateso, vurugu, hali ya utawala huria au kutokuwepo na serikali

4.4.3.1 Mjasiri


Tumia eneo hili kwa maneno yanayomwelezea mjasiri--yaani mtu ambaye haogopi kitu cha hatari.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha ujasiri?

show courage, be brave, dare, brace yourself, embolden, face (v), buck up,

(2) Maneno gani humwelezea mjasiri?

courageous, brave, bold, adventurous, assured, audacious, confident, cool under fire, daring, dauntless, doughty, fearless, gallant, gutsy, heroic, intrepid, never-say-die, plucky, spunky, stout, stouthearted, undaunted, valiant, valorous

(3) Maneno gani hutaja uwezo wa kufanya jambo la ujasiri?

courage, bravery, assurance, audacity, boldness, confidence, firmness, fortitude, gallantry, grit, guts, heroism, manliness, nerve, pluck, spunk, valor, fighting spirit,

(4) Maneno gani humtaja mtu mwenye ujasiri?

hero, heroine, daredevil,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na ujasiri wa kutosha ili uweze kufanya jambo fulani?

be brave enough to do something, dare, have the guts to do something, have the nerve to do something, pluck up the courage to do something, have the courage of your convictions,

4.4.3.2 Woga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kusikia oga--yaani kuogopa kufanya jambo fulani kwa sababu unafikiri kwamba jambo baya linaweza likakutokea.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kusikia woga?

be cowardly, be a coward, act cowardly, have a yellow streak,

(2) Maneno gani hutaja hisia za woga?

cowardice,

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayesikia woga?

cowardly, chicken, chickenhearted, fainthearted, gutless, lily-livered, pusillanimous, sissified, spineless, weak-kneed, wimpy, yellow, yellow bellied,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu asikie woga?

unnerve,

(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinamsababisha mtu asikie woga?

daunting,

(6) Maneno gani humtaja mwoga?

coward, milksop, sissy, wimp, yellow-belly

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuwa mwoga?

lose your nerve, get cold feet, not dare, chicken out, not have the guts, not have the nerve,

(8) Watu huonyeshaje kwamba wanasikia woga?

cower,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   84   85   86   87   88   89   90   91   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page