Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page84/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   80   81   82   83   84   85   86   87   ...   206

4.3 Mwenendo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja mwenendo wa mtu kwa jumla.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuenenda kwa namna fulani?

behave, act, conduct yourself, be, acquit yourself, bear, comport, deal, deport, devote, lead, live, occupy, order your steps, practice,

(2) Maneno gani hutaja namna mtu anavyoenenda?

behavior, antics, conduct, character, manner, demeanor, characteristic, air, bearing, behavior, carriage, comportment, course, custom, dealing, deportment, doings, etiquette, existence, life, manners, mien, trait, way of life, the way someone acts,

Page

4.3.4.1 Kumtendea mabaya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtendea mabaya mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja kumtendea mabaya mtu mwingine?

kutendea mabaya, kudhuru, kuumiza, kukwaza, kuumiza hisia za mtu

(2) Maneno gani hutaja kujitendea mabaya?

harm yourself, cut your own throat, be your own worst enemy, shoot yourself in the foot, rebound on, come back to haunt you,

(3) Maneno gani huelezea kitu kinachomdhuru mtu fulani?

harmful, damaging, be bad for,

(4) Maneno gani huelezea kitu kinachodhuru afya ya mtu fulani?

harmful, poisonous, toxic, noxious,

(5) Maneno gani hutaja kitu ambacho hakimdhuru mtu yeyote wala kitu chochote?

harmless, innocuous, do no harm,

4.3.4.2.1 Kumzuia au kumpinga mwingine


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumzuia mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumpinga mtu fulani?

kuzuia, kupinga, upinzani, uadui

4.3.4.2 Kusaidia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsaidia mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsaidia mtu?

kusaidia, msaada, kunusuru, nusura, kutegemeza

(2) Maneno gani hutaja matendo yanayofanyiwa kusaidia?

help (n), assistance, support (n), aid (n),

(3) Mtu anayemsaidia mwingine anaitwaje?

msaidizi, kundi la kutegemeza

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayemsaidia mtu mwingine?

helpful, accommodating, cooperative, obliging,

4.3.4.3.1 Kushindana na


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushindana na mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kushindana na mtu mwingine?

kushindana na, kugombeana na

(2) Maneno gani hutaja shindano?

competition, contest, championship, tournament, conflict, rivalry,

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye unashinadana naye?

competitor, opposition, rival,

4.3.4.3 Kushirikiana na


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushirikiana na mtu mwingine ili kutekeleza jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi pamoja na mtu mwingine ili kutekeleza jambo fulani?

cooperate with, work together, side-by-side, jointly, collaborate, partnership, alliance, join together, team up, help each other

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho watu wanafanya pamoja?

joint,

4.3.4.4.1 Ubinafsi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwa na ubinafsi.

(1) Maneno gani humwelezea mtu aliye na ubinafsi?

self-centered, selfish,

(2) Maneno gani hutaja hali ya ubinafsi?

kuwa na ubinafsi, uchoyo

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa na ubinafsi?

selfishness,

4.3.4.4.2 Kumtumia mtu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtumia mtu ili ujifaidie bila kumsaidia.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtumia mtu fulani?

use someone, take advantage of, exploit, take liberties, manipulate, wrap/twist someone around your little finger,

4.3.4.4 Asiye na ubinafsi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomwelezea mtu ambaye hutenda kwa ajili ya wengine, jinsi ya kutokuwa na ubinafsi--yaani kutenda kwa kuwatakia mema wengine, pasipo kuhusika na faida ya binafsi.

(1) Maneno gani humwelezea mtu asiye na ubinafsi?

altruistic, selfless, unselfish, thinks of others, self-sacrificing, benevolent, Good Samaritan

4.3.4.5.1 Kutegemeza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumjalia mtu kwa mahitaji yake ya kila siku, kama vile kutoa kwa ajili ya wazazi wazee ambao hawawezi kupata fedha wenyewe kwa mahitaji yao.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumpatia mtu fulani yale anayoyahitaji?

kutegemeza, kusaidia, kuauni, kufadhili

(2) Maneno gani hutaja hali ya kumhitaji mtu mwingine atoe kwa ajili ya mahitaji yako?

depend on, dependent, rely on

(3) Maneno gani humtaja mtu anayetoa kwa ajili ya mahitaji ya mwingine?

provider, means of support, supplier

(4) Maneno gani hutaja vitu ambavyo vinatolewa?

provisions, support (n), supply (n)

4.3.4.5.2 Kumtunza mtu, kumjalia mtu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtunza au kumjalia mtu mwingine--yaani kumfanyia mema mtu mwingine, kwa sababu anahitaji jambo an hawezi kulifanya mwenyewe.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtunza mtu mwingine?

kujali, kuhurumia, kutunza, kumkidhia mtu haja zake

(2) Mtu anayemtunza mwingine anaitwaje?

mtunzaji

4.3.4.5.3 Kukabidhi kwa kutunzwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukabidhi kitu kwa kutunzwa na mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa kitu na kumpa mtu mwingine ili akitunze?

entrust to the care of, assign, commend, commit, trust with

4.3.4.5 Kushirikishana na


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushirikishana na watu wengine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kushirikishana na wengine?

kushirikisha, kushirikishana na, kuchangia, kumpa fulani, ukarimu, kuwa mkarimu

(2) Maneno gani hutaja watu wawili (au zaidi) wanapofanya jambo fulani, na mtu mmoja anakifanya kwanza, halafu mtu mwingine anakifanya?

take turns, take it in turns, share, alternate,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   80   81   82   83   84   85   86   87   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page