Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page117/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   113   114   115   116   117   118   119   120   ...   206

5.7.2 Kuota ndoto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuota ndoto.

(1) Maneno gani hutaja kuota ndoto?

to dream (v), a dream (n), have a dream

(2) Watu hufanya nini wakati wanapoota ndoto?

talk in your sleep, walk in your sleep

(3) Ndoto nzuri huitwaje?

sweet dreams, pleasant dreams

(4) Ndoto mbaya huitwaje?

jinamizi, ndoto mbaya

5.7.3 Kuamka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuamka kutoka usingizini.

(1) Maneno gani hutaja kuamka?

wake up, come to, awaken, come out of a deep sleep, be startled out of sleep

(2) Maneno gani hutaja tendo la mtu mmoja kumwamsha mwenzake?

wake (someone) up, get (someone) up, rouse

(3) Mtu hufanya nini kumwamsha mwenzake?

call, shake, dump water on him

(4) Mtu husema nini anapomwamsha mwenzake?

Time to get up. Rise and shine. Hey, sleepyhead.

(5) Watu hutumia njia gani kujiamsha wenyewe?

alarm clock, wake up call, rooster

(6) Watu hufanya nini baada ya kuamka?

get up, get out of bed

(7) Maneno gani huelezea hali ya kutokuwa usingizini?

kuwa macho

(8) Maneno gani hutumika kwa kushindwa au kutoweza kulala?

toss and turn, couldn't sleep, lay awake, insomnia, insomniac, sleep disorder

(9) Maneno gani hutumika kwa kutohitaji au kutotaka kulala?

stay awake, be alert, stay up

5.7 Usingizi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kulala usingizi.

(1) Maneno gani hutumika kwa tendo la kulala usingizi?

be asleep, sleep

(2) Maneno gani hutumika kwa usingizi mzuri?

sleep well, sleep peacefully

(3) Maneno gani hutumika kwa usingizi mbaya?

sleep poorly, sleep badly, sleep fitfully

(4) Maneno gani hutumika kwa usingizi mfupi au wa kuwasha?

light sleep, doze, half asleep

(5) Maneno gani hutumika kwa usingizi mrefu?

be in a deep sleep, be really out, sleep deeply, sleep soundly, sound asleep

(6) Maneno gani hutumika katika kusinzia wakati wa mchana?

nap, take a nap, rest, take a rest

(7) Maneno gani hutaja kulala mahali ambapo si kawaida, kwa mfano kwenye nyumba wa mtu mwingine au nje?

sleepover, sleep outside, sleep under the stars, camp, campout, bivouac

(8) Maneno gani hutumika kutaja tendo la kukojoa wakati ukiwa usingizini?

wet the bed

(9) Maneno gani hutaja tendo la kuongea usingizini?

talk in your sleep

5.8 Kusimamia nyumba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na usimamizi au utunzaji wa nyumba.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutunza au kusimamia nyumba?

kusimamia nyumba, kutunza nyumba

(2) Maneno gani humtaja mtu anayesimamia nyumba?

mtunzanyumba, msimamizi wa nyumba, mtunzaji wa nyumba

(3) Maneno gani humtaja mtumishi katika nyumba?

mtumishi, msaidizi wa nyumbani, mtumishi wa nyumbani

5.9 Kuishi, kukaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuishi mahali.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuishi mahali fulani?

kuishi, kukaa, kuwa na makazi, maskani, makao

(2) Maneno gani humtaja mtu anayeishi katika nyumba?

myenyeji, mkaaji, mwenyenyumba, mkazimwenza (katika nyumba), mkazi

(3) Maneno gani hutaja kuishi mahali kwa kipindi kifupi?

camp, migrate

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapenda kukaa nyumbani?

homebody,

Page

5 Maisha ya kila siku


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maisha ya kila siku nyumbani.

(1) Maneno gani hutaja maisha ya kila siku?

life, routine, homemaking,

Page

6.1.1.1 Mtaalamu, mzoefu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mtaalamu--yaani, mtu anayeweza kufanya jambo fulani vizuri.

(1) Maneno gani humtaja mtaalamu?

expert, professional, master, craftsman, specialist, old hand, old-timer, the best we have, leader in his field, on the cutting edge, senior, graduate, doctor, consultant, trainer, teacher, is degreed, has a degree

(2) Maneno gani hutaja maarifa au uwezo wa mtaalamu?

expertise, knowledge, expert knowledge, experience, ability, craftsmanship, training, understanding, proficiency

(3) Maneno gani humwelezea mtaalamu?

the best we have, leader in his field, on the cutting edge, master (craftsman), expert (machinist), leading (scholar), degreed (scholar), foremost (expert), knowledgeable, experienced, able (seaman), well-trained, proficient, capable, clever, skilled, skillful,

(4) Maneno gani humtaja mtu asiye mtaalamu au mzoefu?

student, apprentice, trainee, novice, jack-of-all-trades, greenhorn, beginner, new recruit, plebe, freshman

(5) Maneno gani humwelezea mtu asiye mtalaamu au mzoefu?

kutojua, bila uzoefu

6.1.1 Mfanyakazi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mfanyakazi.

(1) Maneno gani ya kawaida humtaja mtu anayefanya kazi?

worker, laborer

(2) Maneno gani humtaja mtu anayefanya kazi katika mahali maalumu?

butler (house), field hand, farm hand (fields), ranch hand (ranch)

(3) Maneno gani humtaja mtu anayefanya kazi kwa mtu mwingine?

hired hand, employee, servant, hireling, slave,

(4) Maneno gani humtaja mtu anayefanya kazi kwa siku moja au kwa siku chache?

day laborer, temporary help, casual worker

(5) Maneno gani humtaja mtu anayefanya kazi kwa masaa machache kwa siku, au kwa siku nzima?

part-time worker, full-time worker

(6) Maneno gani humtaja mtu anayefanya kazi na nyenzo au mnyama maalumu?

seremala (kwa mbao), mchungaji (kwa mifugo)



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   113   114   115   116   117   118   119   120   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page