Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page113/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   109   110   111   112   113   114   115   116   ...   206

5.3.3 Nguo za kimila


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nguo za kimila.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja nguo za kimila au za jadi kwa jumla?

nguo za jadi, nguo za kimila

(2) Maneno gani hutaja majina ya aina mbalimbali za nguo za jadi?

shuka

5.3.4 Nguo kwa matukio maalumu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nguo au mavazi maalum kwa ajili ya shughuli maalum. Ni muhimu kufikiria mavazo ambayo hutumika maalum katika mila na desturi ya jamii hiyo, k.m. kwa ajili ya sherehe, kwa ajili ya kazi, na kadhalika. Mifano miwili (kwa kazi na kwa mahafali) imetolewa hapo chini, lakini mifano mingine mingi inawezekana.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mavazi yanayotumika kwa ajili ya shughuli maalum kwa jumla?

nguo za michezo, nguo za kazi

(2) Aina gani ya mavazi huvaliwa kwa ajili ya kazi?

bwelasuti, miwani ya usalama, glavu za kazi, buti, kimori

(3) Aina gani ya mavazi huvaliwa wakati wa mahafali?

majoho

5.3.5 Nguo kwa ajili ya watu maalumu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha au kuelezea mavazi kwa ajili ya watu maalumu. Ni muhimu kufikiria watu maalumu katika maeneo mbalimbali katika mila ya jamii hiyo. Mifano mbalimbali imetolewa hapo chini, lakini mifano mingine mingi inawezekana.

(1) Aina gani ya mavazi maalumu huvaliwa na polisi au wanajeshi?

uniform, dress uniform, fatigues, camouflage, helmet, beret, cap, gasmask, braid,

(2) Aina za sare zinaitwaje?

police uniform, military uniform, nurse's uniform, band uniform

(3) Aina gani ya mavazi maalumu huvaliwa na wanadini?

habit (nun), cowl (monk), robe

(4) Aina gani ya mavazi maalumu huvaliwa na mfalme au mtemi?

purple cloth, crown, royal robes

(5) Aina gani ya mavazi maalumu huvaliwa na madaktari?

makoti meupe

5.3.6 Sehemu za mavazi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu za mavazi.

(1) Maneno gani hutaja sehemu mbalimbali za mavazi?

pindo la nguo, ukosi

(2) Maneno gani hutaja sehemu za viatu?

sole, shoelace, bootlace, eye, tongue, toe, heel, insole, strap, buckle, thong

(3) Maneno gani hutaja sehemu za kofia?

brim, peak, ribbon

(4) Vitu gani hutumika kuambatanisha sehemu mbalimbali za nguo?

belt buckle, button, buttonhole, clasp, cuff-link, lace, snap, zip, zipper,

5.3.7 Kuvaa nguo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuvaa nguo.

(1) Maneno gani hutaja kuvaa nguo?

wear, have on, be clothed, clad, shod,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka nguo mwilini?

to dress, get dressed, put on, clothe, get into, throw on, jump into, don, tuck in, button, zip, tie

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuvua nguo toka mwilini?

vua nguo

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutokuvaa nguo fulani?

barefoot, shoeless, shirtless, hatless, unshod, topless,

5.3.8 Kuwa uchi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa uchi--yaani kutokuvaa nguo yoyote. Pia taja maneno yanayotaja jinsi mtu anavyojisikia anapokuwa uchi.

(1) Maneno gani hutaja kuwa uchi au kutokuvaa nguo?

uchi, utupu, kutokuvaa nguo

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutokuvaa nguo za kutosha?

dress immodestly, immodest, impropriety, indecent

(3) Maneno gani hutaja kutotaka kuwa uchi?

modest, propriety, decent

(4) Maneno gani hutaja kujihisi vibaya endapo utakuwa uchi?

shame, embarrassed, blush

5.3.9 Mtindo wa mavazi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mitindo ya mavazi.

(1) Maneno gani huelezea mtindo wa mavazi ya mtu?

style, stylish, in style, fashion, out of fashion, modern, traditional, old-fashioned

5.3 Mavazi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mavazi.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mavazi au nguo kwa jumla?

mavazi, nguo

(2) Maneno gani huelezea mavazi?

shabby,

Page

5.4.1 Mapambo kwenye mwili, mapambo ya vito vya thamani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitu kama mapamba ya vito vya thamani au vinavyotumika katika kupamba mwili.

(1)Maneno gani hutaja mapambo kwenye mwili au mapambo ya vito?

jewelry, accessory, ornament

(2) Maneno gani hutaja aina za mapambo?

earring, necklace, brooch, hairclip, comb, belt, hat, glasses, sunglasses, handkerchief,

(3) Maneno gani hutaja mapambo yanayovaliwa kwenye mikono?

ring, bracelet, watch, armband, cuff link, bangle,

(4) Maneno gani hutaja mapambo yanayovaliwa kwenye miguu?

anklet,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kujipamba kwa vito vya thamani au mapambo mengine?

kupamba, kuremba

5.4.2 Vipodozi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vipodozi--yaani vitu vinavyowekwa kwenye ngozi yako na kukufanya kuwa na mwonekano mzuri. .

(1) Maneno gani hutaja vipodozi?

cosmetics, make-up,

(2) Maneno gani hutaja aina za vipodozi?

lipstick, cream, powder, blusher, eyeliner, eyeshadow, foundation, mascara, rouge, nail polish, moisturizer, eye pencil, lotion, ointment,

(3) Maneno gani hutaja kuweka vipodozi?

put on makeup, apply cosmetics, make up, powder your nose

(4) Maneno gani hutaja kutumia vipodozi?

have on, wear,

(5) Maneno gani humwelezea mtu anayetumia vipodozi?

made-up,

5.4.3.1 Kuchana nywele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuchana nywele zako?

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchana nywele?

kuchana



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   109   110   111   112   113   114   115   116   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page