6.2.1.2.2 Kulima muhogo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima muhogo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima muhogo?
• cassava
6.2.1.2 Kuotesha au kulima mazao yanayotokana na mizizi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuotesha au kulima mazao yawekayo chakula katika mizizi k.m., kazisukari, karoti, muhogo, vitungu shaumu, tangawizi, liki, viazi, myugwa, ua la tanipu, na kiazi kikuu. Ikiwa mazao maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake. Imeshafanyika kwa viazi, na muhogo, kwa sababu haya ni kawaida duniani pote.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mazao yawekayo chakula katika mizizi?
• root, uproot
6.2.1.3 Kuotesha au kulima mboga za majani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima mboga za majani, k.m., asparaga, maharage, brokoli, kabeji, mchadi, matango, bilinganya, tikiti, njegere, pilipili hoho, mboga, mchicha, boga, nyanya, n.k. Ikiwa mboga za majani maalumu zinalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mboga za majani?
• vegetable garden, hoe, pick
6.2.1.4.1 Kuotesha zabibu, kulima zabibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima zabibu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima zabibu?
• grape, pick, vine, vineyard, prune, winepress, cluster, wine, grape juice
6.2.1.4.2 Kulima ndizi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima ndizi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima ndizi?
• banana, stalk, flower, finger, hand, bunch, pulp, prune, leaf, leaf stem, stem
6.2.1.4 Kuotesha au kulima matunda
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima matunda, k.m., maembe, ndizi, maparachichi, mapapai, mananasi, n.k. Ikiwa matunda maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake. Imeshafanyika kwa zabibu, na ndizi kwa sababu matunda haya ni kawaida duniani kote.
(1) Maneno gani hutaja kuotesha au kulima matunda?
• pick, press, juice, fruit juice
6.2.1.5.1 Kuotesha miwa, kulima miwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima miwa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima miwa?
• sugarcane, press, juice, pulp, boil, sugar
6.2.1.5.2 Kuotesha tumbaku, kulima tumbaku
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima tumbaku.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima tumbaku?
• tobacco, leaf, dry, rack, cut
6.2.1.5 Kuotesha nyasi, kulima nyasi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima nyasi, k.m., tabaka la juu la udongo, nyasi kavu, majani ya kulisha ng’ombe, mwanzi, mafunjo, miwa, na tumbaku. Ikiwa nyasi maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake. Imeshafanyika kwa miwa, na tumbaku kwa sababu nyasi hizi ni kawaida duniani pote.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima nyasi?
• sod, hay, alfalfa, mow, haystack, bale
6.2.1.6 Kuotesha maua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha maua. Ikiwa maua maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha maua?
• bustani
6.2.1.7.1 Kuotesha nazi, kulima nazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima mnazi au nazi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mnazi au nazi?
• coconut, husk, shell, copra, milk, dry
6.2.1.7.2 Kuotesha kahawa, kulima kahawa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima mkahawa au kahawa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mkahawa au kahawa?
• bean, dry, grind
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha miti. Ikiwa miti maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake. Imeshafanyika kwa mnazi, na kahawa kwa sababu miti hii ni kawaida duniani pote.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha miti?
• kuotesha mche, kupogoa (matawi), kupandikiza chipukizi
6.2.1 Kuotesha mazao, kulima mazao
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima mazao kwa jumla. Ikiwa mazao maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana linigine kwa ajili yake (tumia namba 6.2.1.4, 6.2.1.5 n.k.).
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mazao?
• kulima
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachooteka?
• crop, produce (n),
6.2 Kilimo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kilimo--yaani, kufanya kazi na mimea.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kufanya kazi na mimea kwa jumla?
• kilimo
Page 6.2.2.1 Kusafisha shamba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafisha shamba.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusafisha shamba?
• kusafisha (shamba), kuchoma (majani), kufyeka, kung'oa (mizizi au magugu)
6.2.2.2 Kulima shamba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kulima shamba.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kulima shamba?
• kulima, jembe, plau
Share with your friends: |