Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page122/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   118   119   120   121   122   123   124   125   ...   206

6.2.2.3 Kuweka mbolea shambani


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka mbolea shambani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka mbolea shambani?

kuweka mbolea shambani, kutia rotuba shambani, mbolea, samadi, kuongeza rotuba

6.2.2 Maandalizi ya mashamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maandalizi ya ardhi kwa ajili ya mazao.

(1) Maneno gani hutaja maandalizi ya mashamba?

prepare field, clear field

(2) Shamba ambalo limeandaliwa linaitwaje?

kuandaa shamba

6.2.3 Kupanda shamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupanda shamba.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupanda mbegu shambani?

cultivate, plant, seed (a field), sow seed,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupanda shamba?

kupanda (mbegu)

(3) Maneno gani hutaja vitu vinavyopandwa?

seed, seedling, cutting

6.2.4.1 Kufyeka nyasi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufyeka nyasi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufyeka nyasi?

cut grass, mow, scythe, clip

(2) Vifaa gani hutumika katika kufyeka nyasi?

fyekeo, mashine ya kukatia majani, panga, mikasi

6.2.4.2 Kung'oa mimea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kung’oa mimea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kung'oa mimea?

kung'oa, kuchimbua

(2) Maneno gani hutaja tendo la kung'oa magugu?

kupalilia, kung'oa magugu, dawa ya kuua magugu

6.2.4.3 Kumwagilia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwagilia.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongeza maji kwenye mimea na mashamba?

to water, irrigate, irrigation

(2) Vifaa na mashine gani zinatumika kumwagilia mimea?

ndoo, dumu, mpira ya maji, bomba

6.2.4.4 Kukatia mimea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukatia mimea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukatia mimea?

trim, prune, cut back, thin

(2) Vifaa gani hutumika katika kukatia mimea?

kisu (cha kupogolea), mikasi (ya kupogolea)

6.2.4.5 Kutotunza mimea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutotunza mimea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutotunza mimea?

kuacha magugu yakue

6.2.4 Kutunza shamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutunza shamba.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutunza shamba?

kutunza (shamba), kupalilia, dawa ya kuua wadudu

(2) Maneno gani hutaja tendo la kulinda shamba ili ndege wasilivamie?

scarecrow,

Page

6.2.5.1 Malimbuko


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja malimbuko au mazao ya kwanza ambayo watu watayavuna.

(1) Maneno gani hutaja malimbuko?

malimbuko, mazao ya kwanza

6.2.5.2 Uhaba wa mavuno


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uhaba wa mavuno.

(1) Maneno gani hutaja uhaba wa mavuno?

crop failure, poor harvest

(2) Uhaba wa mavuno unasababishwa na nini?

drought, blight, disease, locusts, insect plague, storm, exhausted soil, bad seed

(3) Matokeo ya uhaba wa mavuno ni nini?

njaa

6.2.5.3 Kukusanya mimea pori, kuchuma


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchuma mazao ya mimea ya porini, yaani mimea isiyolimwa. Katika utamaduni wa kuwinda-kuchuma inawezekana eneo la maana hili liongezwe sana.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchuma mimea ya porini?

kuchuma, kukusanya

6.2.5.4 Uzao wa mmea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mazao au nyenzo zinazotolewa na mimea na kutumika kwa malengo mbalimbali. Ni lazima kufikiria aina mbalimbali za mimea ili kuamua ni mazao au nyenzo gani zinazotolewa na kila aina ya mmea.

(1) Mazao gani ya mimea hutumika katika kujengea?

wood

(2) Mazao gani ya mimea hutumika kwa ajili ya paa la jengo au nyumba?

thatch, shingle

(3) Mazao gani ya mimea hutumika kwa kamba, nyuzi na utembo?

hemp, cotton

(4) Mazao gani ya mimea hutumika kwa kemikali au element?

sap, rubber

(5) Mazao gani ya mimea hutumika kwa ajili ya kuwasha moto?

mbao, kuni

6.2.5 Mavuno


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvuna mavuno. Kama kuna mavuno maalumu na kuna maneno mengi yanayotaja tendo la kuyavuna, anzisha eneo la maana maalumu kwa ajili yake, k.m. 'Kuvuna mpunga' au 'Kuvuna nazi'. Kama kuna mavuno zaidi kama hiyo moja, anzisha eneo moja kwa kila aina ya mavuno (tumia namba 6.2.5.6, 6.2.5.7 n.k.).

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvuna?

harvest, reap, gather in the harvest

(2) Maneno gani maalumu hutumiwa kwa tendo la kuvuna kila zao?

harvest maize, harvest rice, harvest yams, harvest beans, pick fruit, pluck an apple, dig potatoes, pull carrots, cut vegetables

(3) Maneno gani hutaja kitu kinachovunwa?

crop, harvest, yield

(4) Vifaa na mashine gani zinatumika katika kuvuna mavuno?

harvester

(5) Mambo gani hufanyika shambani baada ya kuvuna mavuno?

kuachwa bila kupanda

(6) Maneno gani huelezea zao ambalo liko tayari kuvunwa?

ripe

(7) Maneno gani hutaja muda wa kuvuna?

harvest, harvest time

6.2.6.1 Kupepeta nafaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupepeta nafaka--yaani kutenga makapi kutoka nafaka.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupepeta nafaka?

kupepeta



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   118   119   120   121   122   123   124   125   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page