6.6.2 Kufanya kazi na madini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na madini.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na madini?
• mineral, miner
6.6 Kazi, shughuli
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kazi au shughuli.
(1) Maneno gani hutaja kazi au shughuli ya mtu?
• occupation, job, living, work, employment, profession, trade
(2) Watu ambao hufanya kazi za kilimo mbalimbali wanaitwaje?
• farmer, palm tree climber
(3) Watu ambao hufanya kazi za ufugaji mbalimbali wanaitwaje?
• shepherd, herdsman,
(4) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za kuwinda au kuvua samaki wanaitwaje?
• hunter, fisherman, honey gatherer
(5) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za uganga au udaktari wanaitwaje?
• doctor, nurse, medicine man, midwife, medical technician, pharmacist, herbalist, witchdoctor
(6) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za gesti au hoteli wanaitwaje?
• hotel owner, concierge, porter, desk clerk
(7) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za utawala wanaitwaje?
• business man, secretary, treasurer, accountant
(8) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za utengenezaji au uzalishaji wanaitwaje?
• mechanic, potter, tailor, weaver, blacksmith
(9) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za ujenzi wanaitwaje?
• carpenter, bricklayer
(10) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za biashara wanaitwaje?
• storekeeper, shopkeeper, trader, merchant
(11) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za upishi au utenganezaji wa vyakula wanaitwaje?
• cook, butcher, baker, restaurant owner, waiter
(12) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za siasa wanaitwaje?
• president, MP, congressman, senator, legislator, cabinet member, minister, ambassador, civil servant, lawyer, lobbyist, tax collector, customs officer
(13) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za kuangalia watoto au kutunza watoto wanaitwaje?
• homemaker, children's caretaker, nursery worker, nurse (for children), nanny
(14) Watu ambao hufanya kazi za dini mbalimbali wanaitwaje?
• pastor, priest, clergyman, diviner
(15) Watu ambao hufanya kazi za usafiri mbalimbali wanaitwaje?
• chauffeur, driver, truck driver, cab driver, porter, loader, mover, dispatcher, captain of ship, sailor, pilot, copilot, navigator, steward, stewardess
(16) Watu ambao hufanya kazi mbalimbali za polisi au jeshi wanaitwaje?
• policeman, guard, watchman, soldier, officer
(17) Mtu ambaye anafanya kazi zake vizuri sana huitwaje?
• expert, skilled worker, master craftsman, leader in his field, specialist
(18) Maneno gani hutumika katika tendo la kupata kazi?
• look for a job, find a job, find employment, job hunting
(19) Maneno gani hutimka katika tendo la kufanya kazi?
• do a job, make a living, perform a task
Page 6.6.3.1 Ukataji miti
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ukataji wa miti--yaani kuangushia miti na kuikatakata.
(1) Maneno gani hutaja ukataji wa miti?
• lumbering, forestry, lumber industry
(2) Shughuli au hatua za ukataji wa miti ni zipi?
• harvest lumber, cut down, chop down, to log, wood cutting, clear cut, fell a tree
(3) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi ya kukata miti?
• lumberjack, woodcutter
(4) Maneno gani hutaja miti iliyokatwa au iliyoangushiwa?
• tree, timber
(5) Bidhaa za ukataji wa miti ni zipi?
• timber, log
(6) Vifaa gani hutumika katika ukataji wa miti?
• saw, ax, logging truck
6.6.3.2 Mbao za kujengea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mbao za kujengea.
(1) Maneno gani hutaja mbao za kujengea?
• lumber, wood, grain, beam, board, plank, plywood, shavings, splinter, pole, post, rod
(2) Maneno gani huelezea kitu kinachotenganezwa na mbao?
• wooden
6.6.3.3 Kufanya kazi na karatasi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na karatasi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na karatasi?
• paper industry
(2) Maneno gani hutaja karatasi?
• paper, sheet, page, card, cardboard
6.6.3 Useremala, kufanya kazi na mbao
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na mbao.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na mbao?
• carpentry, to saw, to plane, to hammer, to nail, to chisel, sharpen, fit, carve, drive a screw, to screw, hollow out a log, chop in pieces
(2) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi na mbao?
• carpenter
(3) Seremala hutumia nyenzo gani?
• wood, sawdust, shavings, chips
(4) Seremala hutumia vifaa gani?
• saw (n), saw kerf, saw horse, plane (n), hammer (n), nail (n), chisel (n), mortise and tenon, screwdriver, screw (n), sawhorse
(5) Seremala hufanya kazi wapi?
• carpentry shop
6.6.4.1 Kamba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na kamba au ugwe.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na kamba au ugwe?
• cordage, knot, lashing, macramé,
(2) Maneno gani hutaja kitu kikifumua?
• unravel, come unraveled, be all unraveled, ravel
6.6.4.2 Kufuma kikapu na mkeka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufuma vikapu, mikeka, na vitu vingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufuma?
• weave,
(2) Vitu gani hufumika?
• basket, mat, net, hat
(3) Nyenzo gani hutumika katika kufuma?
• reed, palm leaf, rope, string
(4) Maneno gani hutaja vitu vilivyofumwa?
• network, weaving
Share with your friends: |