6.4 Kuwinda wanyama na kuvua samaki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvua samaki na kuwinda wanyama--yaani kukamata na kuua wanyama wa pori.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kuwinda wanyama wa porini kwa jumla?
• kuwinda, kuvua, kutega
Page 6.5.1.1 Nyumba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na nyumba ambayo watu huishi ndani yake.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja nyumba ambayo watu huishi ndani yake, kwa jumla?
• dwelling, house, home, abode, habitation, residence, homestead, settlement, compound, place
(2) Kuna aina gani za nyumba?
• bungalow, mansion, duplex, apartment
(3) Maneno gani hutaja maelezo kuhusu mahali ambapo nyumba ipo?
• address
(4) Maneno gani hutaja sehemu ya ndani ya nyumba?
• inside, indoors, indoor, interior
6.5.1.2 Aina za nyumba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja aina za nyumba na sifa zao.
(1) Kuna aina gani za nyumba?
• rectangular, round, one story, two story, duplex, bungalow, apartment, apartment building, flat, duplex, ranch style, mansion, castle, man's house, wife's house,
(2) Nyumba nzuri sana inaitwaje?
• palace, mansion, sprawling (place)
(3) Nyumba mbaya sana inaitwaje?
• dump, run down place, shack, hut, log cabin
(4) Nyumba ya muda inaitwaje?
• tent, shelter, hut, camp
(5) Majengo gani mengine yanahusika nyumba na kujengwa karibu nayo?
• choo, jikoni, gereji, banda la vijana
6.5.1.3 Eneo, Kiwanja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na eneo ambalo ni mali ya mtu au kiwanja ambacho kinatumika kwa kujengea nyumba.
(1) Maneno gani hutaja eneo ambalo ni mali ya mtu fulani?
• land, property, piece of property, plot, section, estate, site, building site
(2) Maneno gani huelezea mipaka ya kiwanja cha mtu?
• mpaka
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuingia eneo au kiwanja cha mtu fulani bila ruhusa?
• trespass, trespasser
(4) Maneno gani humtaja mtu anayemiliki eneo au kiwanja?
• landowner, landlord, owner
(5) Maneno gani humtaja mtu anayeuza eneo au kiwanja?
• real estate agent
(6) Maneno gani hutaja hati mali inayoonyesha mmiliki wa eneo au kiwanja?
• title, deed
6.5.1.4 Uwanja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya nje ya nyumba, kiwanja cha nyumba, eneo linalozunguka nyumba, kizuizi kinachotenganisha nyumba moja na nyingine, na mlango wa kuingia kwa eneo linalozunguka nyumba.
(1) Maneno gani hutaja eneo linalozunguka jengo?
• premises, grounds, compound,
(2) Maneno gani hutaja eneo linalozunguka nyumba?
• yard, front yard, back yard, patio, courtyard, garden, driveway, sidewalk, outside,
6.5.1.5 Ua, ukuta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uzio, ukuta, ua wa miti iliyooteshwa, au kizuizi kinachotenganisha nyumba moja na nyingine, geti, na kuingia kwa kupitia ua au ukuta
(1) Maneno gani hutaja uzio au ukuta?
• wall, fence, hedge
(2) Maneno gani hutaja lango au geti?
• gate, gateway, entrance,
(3) Maneno gani hutaja eneo lililozungushiwa uzio?
• enclosure,
(4) Maneno gani huelezea eneo lililozungushiwa uzio?
• walled, enclosed,
6.5.1 Majengo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na majengo na vitu vikubwa au viunzi vikubwa vingine ambavyo hujengwa na watu.
(1) Kuna aina gani za majengo?
• building, structure, construction, kitchen house, bathhouse, outhouse, latrine, outbuilding, bank, elevator, gallery, garage, gazebo, hospital, library, lighthouse, mausoleum, museum, outbuilding, observatory, pavilion, pyramid, rotunda, skyscraper, tabernacle, tower,
(2) Aina gani za majengo hutumika na wanyama?
• barn, shed, hen house, coop, kennel, pound, doghouse, stable,
(3) Aina gani za majengo hutumika kwa kazi na kwa kutengenezea vitu?
• office, factory, shop, laboratory, plant, greenhouse,
(4) Aina gani za majengo hutumika kwa kutunzia vitu?
• barn, granary, grain silo, warehouse, storehouse, safe, shed, treasury,
(5) Aina gani za majengo hutumika kwa kuuzia vitu?
• store, shop, shopping center, mall, kiosk, supermarket,
(6) Aina gani za majengo hutumika na serikali?
• courthouse, Parliament house, government headquarters, castle, palace,
(7) Aina gani za majengo hutumika na polisi.
• police station, jail, prison, jailhouse, cell,
(8) Aina gani za majengo hutumika na jeshi?
• military base, guardhouse, barracks, fort, blockhouse, bomb shelter, watchtower, lookout, bunker,
(9) Aina gani za majengo hutumika na wasafiri?
• station, railroad station, bus station, gas station, petrol station, rest area, parking lot
(10) Aina gani za majengo hutumika na wasafiri kwa kulala?
• hotel, motel, inn, hostel, lodge,
(11) Aina gani za majengo hutumika na wasafiri kwa kula?
• restaurant, bar, pub, tavern,
(12) Aina gani za majengo hupatikana kwenye uwanja wa ndege?
• hangar, control tower, terminal,
(13) Aina gani za majengo hutumika kwa mikutano?
• assembly hall, auditorium, center, hall, community center,
(14) Aina gani za majengo hutumika kwa kuangalia michezo na maonyesho?
• theater, cinema, stadium, amphitheater, arena, ballpark, bullring, coliseum, racetrack, hippodrome,
(15) Aina gani za majengo hutumika kwa shule?
• school, schoolhouse, university, library, dormitory, conservatory,
(16) Aina gani za majengo hutumika katika dini?
• church, synagogue, mosque, temple, shrine, cathedral, monastery, convent, cloister, nunnery, abbey, chapel, parsonage, sanctuary, basilica, pagoda, tabernacle,
(17) Aina gani za majengo hutengenezwa ili kuwakumbusha watu kuhusu kitu fulani au mtu fulani?
• monument, megalith, mound, obelisk, ziggurat,
(18) Maneno gani huelezea aina za majengo tofauti tofauti?
• enclosed, open, multi-story, high-rise,
Share with your friends: |