Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page134/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   130   131   132   133   134   135   136   137   ...   206

6.8.1.5 Mali, miliki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mali au miliki--vitu unavyovimiliki.

(1) Maneno gani hutaja kitu fulani kinachomilikiwa?

possession,

(2) Maneno gani hutaja vitu unavyovimiliki?

property, wealth, riches, belongings, real estate

6.8.1 Utajiri, kupata mali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na utajiri au kupata mali.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na utajiri?

have, possess, own

(2) Maneno gani hutaja mali ya mtu?

possessions, property

(3) Maneno gani humtaja mtu anayemiliki kitu fulani?

mwenye mali

6.8.2.1 Kuzalisha mali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzalisha mali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzalisha mali?

kuzalisha (mali)

6.8.2.2 Kuleta faida


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuleta faida.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuleta faida?

kupata faida, kuleta faida, kufaidika, kufaidisha

(2) Maneno gani hutaja faida?

faida

6.8.2.3 Kupoteza mali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupoteza mali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupoteza mali?

kupoteza (mali), hasara, kupata hasara

6.8.2.4 Wekevu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa wekevu--yaani hali ya kutotumia pesa sana.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutotaka kutumia pesa?

wekevu

(2) Maneno gani hutaja hali ya kupunguza kiasi ya fedha unayotumia?

economize, tighten your belt, budget, scrimp and save, on a shoestring, skimp by on, scrape by

6.8.2.5 Mroho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mroho (kwa pesa na mali).

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutaka fedha zaidi na zaidi?

greedy, greed, grasping, materialistic

6.8.2.6 Kukusanya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukusanya vitu vinavyokuvutia. Katika baadhi ya tamaduni, watu wanakusanya vitu maalumu au vyenye thamani ambavyo hawa wanavifikiria vinapendeza au vinavutia, (k.m., sanaa, stempu, sarafu, vitabu, au vitu vya kale).

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukusanya vitu?

collect, acquire,

(2) Maneno gani humtaja mtu akusanyaye vitu fulani?

collector,

(3) Maneno gani hutaja vitu ambavyo vimekusanya na mtu fulani?

collection, set,

6.8.2.7 Kuchuma pesa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchuma pesa kwa sababu ya kazi unayoifanya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchuma pesa?

earn, be paid, get paid, make, get, be on, gross,

(2) Maneno gani hutaja pesa inayobaki baada ya ushuru kuchukuliwa?

take home, net, clear,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuchuma pesa ya kutosha kwa kulipia mahitaji yako?

earn a living, make a living, support yourself, earn your keep,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuchuma pesa nyingi?

make good money, be highly paid, be well paid, make a fortune, rake it in,

(5) Maneno gani hutaja pesa unayoichuma?

pay, salary, wages, earnings, income, wage,

(6) Maneno gani humtaja mtu ambaye anachuma pesa?

the breadwinner, wage-earner, salaried, on a salary,

6.8.2 Kukusanya mali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukusanya mali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukusanya mali?

kukusanya (mali)

6.8.3.1 Kutolea, kuchangia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtolea mtu kitu fulani, na umiliki wa hicho kitu unabadili kutoka mtu mmoja kwenda mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtolea mtu kitu fulani?

kutolea, kupa, kutoa

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumtolea mtu kitu fulani kwa urasmi?

allocate, allot, award, confer, grant, present,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwatolea maskini kitu fulani?

give, give away, donate, go to, make a donation, subscribe to,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumtolea mtu fulani vitu vingi?

be generous, lavish something on, shower,

(5) Maneno gani humtaja mtu atoleaye?

giver, benefactor, donor, philanthropist,

(6) Maneno gani hutaja kitu kinachotolewa?

gift, present, prize, reward,

(7) Maneno gani hutaja kitu fulani kinachotolewa kwa maskini?

charity, donation, handout,

6.8.3.2 Mkarimu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mkarimu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mkarimu?

ukarimu, mkarimu

6.8.3.3 Choyo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mchoyo.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kukataa kugawa utajiri?

choyo, bahili, mnyimivu

(2) Maneno gani humwelezea mtu akataaye kugawa utajiri?

stingy, avaricious, parsimonious, miserly

(3) Maneno gani humtaja mtu akataaye kugawa utajiri?

miser

6.8.3.4 Kuombaomba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuombaomba--yaani, maskini kuwaomba wengine kwa chakula, pesa, au vitu vingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuombaomba?

kuombaomba, ombaomba, fukara

(2) Maneno gani humtaja mtu anayeombaomba?

beggar, mendicant, scrounger, parasite, panhandler, bum

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumpa kitu mwombaji?

give alms,

(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho mtu fulani amempa mwombaji?

alms, contribution, charity,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   130   131   132   133   134   135   136   137   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page