Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page136/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   132   133   134   135   136   137   138   139   ...   206

6.8.5.4 Kulipia deni


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kulipia deni.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kulipia deni?

kulipa deni

6.8.5.5 Mpe, maingizo ya fedha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maingiza ya fedha--yaani kama shirika linalokopesha pesa, k.m. benki, linafanya kazi na pesa yako, kwa hiyo linadaiwa nawe.

(1) Maneno gani hutaja maingiza ya fedha?

akaunti

6.8.5 Kukopa, kuazima


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukopa au kuazima kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukopa kitu fulani?

borrow, have the use of

(2) Maneno gani hutaja tendo la kukopa pesa?

kukopa, kukopesha

(3) Maneno gani hutaja kukodisha au kupangisha kitu fulani?

rent, hire, lease, charter

(4) Maneno gani hutaja pesa ambayo imekopwa?

loan, mortgage, debt

6.8.6.1 Vima vya pesa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vima vya pesa.

(1) Vima vya pesa ni nini?

shaba, shilingi

6.8.6 Pesa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na pesa.

(1) Maneno gani hutaja pesa?

pesa, fedha, hela

6.8.7 Uhasibu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uhasibu--yaani mambo ya kutunza mahesabu ya fedha.

(1) Maneno gani hutaja uhasibu?

uhasibu, mhasibu

6.8.8 Ushuru


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ushuru.

(1) Maneno gani hutaja ushuru?

ushuru, kodi, mtoza ushuru

(2) Maneno gani hutaja tendo la kudai ushuru?

to tax, charge tax, levy taxes, taxation, impose

(3) Maneno gani hutaja tendo la kudaiwa ushuru?

owe tax

(4) Maneno gani hutaja tendo la kulipia ushuru?

pay taxes

(5) Maneno gani hutaja sehemu ya serikali ambayo inatawala ushuru?

Internal Revenue Service

6.8.9.1 Kuiba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuiba kitu fulani--yaani kuchukua kitu fulani kisicho chako.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuiba kitu fulani?

steal, filch, help yourself to, lift, nick, pinch, purloin, rip off, rustle, take, walk off with,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuiba kitu fulani ambacho hakina thamani sana?

pilfer, snitch, swipe, petty larceny,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuiba kitu fulani kutoka nyumba fulani au duka fulani?

burgle, burglarize, hold up, knock over, loot, rob (a bank), shoplift,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuiba kitu fulani kutoka mtu mwenyewe?

rob, mug, pickpocket, pick someone's pocket, snatch someone's purse,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuiba pesa kutoka kazini kwako?

embezzle, misappropriate, have your fingers in the till, embezzlement, corruption, abscond with the money, skim profits,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuiba gari?

carjacking, hijack, hijacked, hijacking, piracy,

(7) Wezi hufanya nini ili waibe vitu?

break in, break down the door, case a joint, crack a safe, pick a lock,

(8) Maneno gani hutaja jinai ya kuiba?

stealing, burglary, larceny, robbery, shoplifting, theft,

(9) Maneno gani hutaja tendo lenyewe la kuiba?

banditry, break-in, breaking and entering, embezzlement, hold-up, jewel heist, job, misappropriation, mugging, purse snatching, pick pocketing, pilferage, pilfering, racketeering, raid, robbery, snatch, stick-up, theft,

(10) Maneno gani humtaja mtu anayeiba?

bandit, burglar, cutpurse, embezzler, gangster, highwayman, hijacker, kleptomaniac, mugger, pickpocket, pilferer, pirate, plunderer, purse-snatcher, robber, bank robber, train robber, shoplifter, stealer, thief, jewel thief,

(11) Maneno gani humwelezea mtu anayeiba?

light-fingered, thieving,

(12) Maneno gani hutaja kitu kinachoibwa?

loot, the goods, stolen goods, haul, hot items, tainted money

(13) Maneno gani huelezea kitu kinachoibwa?

hot, pirated, stolen,

(14) Wezi wanafanyia nini vitu vilivyoibwa?

fence stolen goods, launder money, bury treasure

(15) Wezi hutumia zana au vifaa gani?

gun, knife, pick, safe cracking tools, skeleton key, mask, gloves, get away car

(16) Maneno gani hutaja tendo la kumkamata mwizi?

kukamata, kufumania

6.8.9.2 Kupunja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumpunja mtu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumpunja au kumdanganya mtu?

kupunja, kudanganya

6.8.9.3 Kupokonya fedha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupokonya fedha--yaani kumlazimisha mtu kulipa pesa mara kwa mara kwa njia ya kumtisha.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupokonya fedha?

kupokonya, ulanguzi

6.8.9.4 Kuchukua kwa nguvu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchukua kwa nguvu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchukua kitu fulani kwa nguvu?

kuchukua kwa nguvu, kunyakua, kunyang'anya, kupora, kuteka nyara

6.8.9.5 Rushwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na pesa ambayo imepewa kwa mtu ili amwue au kumsaliti mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa rushwa kwa mtu?

rushwa, kutoa rushwa, kula rushwa

(2) Maneno gani hutaja pesa iliyopewa kwa mtu ili amwue au kumsaliti mtu mwingine?

murder money, blood money, cursed money

6.8.9.6 Kufanya magendo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya magendo--yaani, kusafirisha au kuchukua kitu fulani kwa siri mpaka nchi nyingine, kitu ambacho siyo halali au bila kulipia ushuru.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya magendo?

smuggle, smuggling

(2) Maneno gani humtaja mtu afanyaye magendo?

smuggler

(3) Maneno gani hutaja kitu kilichofanyiwa magendo?

contraband



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   132   133   134   135   136   137   138   139   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page