7.2.4.3 Kuruka angani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafiri angani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusafiri angani?
• travel by air, fly, aviation
(2) Kuna aina gani za ndege (za usafiri)?
• airplane, plane, aircraft, balloon, glider, kite
(3) Maneno gani humtaja mtu anayeendesha ndege (za usafiri)?
• rubani
(4) Ndege hutua wapi?
• kiwanja cha ndege
7.2.4.4 Kusafiri katika anga za juu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafiri katika anga za juuu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusafiri katika anga za juu?
• space travel, voyage, orbit
(2) Maneno gani hutaja gari linalosafiri katika anga za juu?
• spacecraft, spaceship, rocket, space shuttle, space station, satellite, flying saucer
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayesafiri katika anga za juu?
• mwana anga, mtaalamu wa anga
(4) Maneno gani hutaja tendo la kurusha roketi?
• lift off, lift-off, blast off, launch, launch pad, countdown, mission control
(5) Maneno gani hutaja gari la anga za juu linapotua?
• land, reenter, reentry
7.2.4.5 Kuhamia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhama kutoka nyumbani kwako na nchi yako, na kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhamia kila mwaka--yaani kuhamia kila mwaka kwa maeneo yaleyale kwa ajili ya hali ya hewa na kiwango cha chakula.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhamia nyumba?
• kuhamia, kuhamia kwenye nyumba mpya
(2) Maneno gani hutaja sherehe au tafrija wakati wa kuhamia kwenye nyumba mpya?
• housewarming
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuondoka kutoka nyumba?
• leave, move out, leave home, run away, vacate
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuhamia kwenye nchi mpya?
• emigrate, immigrate
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuhama na kurudi kila mwaka (hasa kwa wanyama kama nyumbu)?
• migrate
7.2.4.6 Njia
Tumia eneo la maana hlii kwa maneno yanayohusiana na njia unayotumia kufika mahali fulani.
(1) Maneno gani hutaja njia ya kutoka mahali fulani na kwenda mahali pengine?
• way, how to get, route, directions,
(2) Maneno gani hutaja njia ya mkato?
• shortcut,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumwambia mtu njia ya kufika?
• tell someone the way, give someone directions, show someone the way, direct,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kumwuliza mtu njia ya kufika?
• ask someone the way, ask for directions,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kupata njia ya kufika?
• find your way, navigate,
(6) Mtu husemaje kama anamtaka mwingine amwambie njia ya kufika?
• can you tell me the way to, do you know the way to, how do I get to, can you direct me to, is this the way to,
7.2.4.7 Kupoteza njia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupoteza au kuacha njia.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupoteza au kuacha njia?
• be lost, not know where you are, get lost, lose your way
7.2.4.8 Ramani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ramani--yaani mchoro wa dunia au sehemu ya dunia.
(1) Maneno gani hutaja ramani?
• map, chart, atlas
(2) Kuna aina gani za ramani?
• road map, street map, contour map, geographical map, political map
(3) Mfano wa dunia unaitwaje?
• tufe
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza ramani?
• draw
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutumia ramani?
• read a map, look for something on the map, find something on the map, trace a route
(6) Maneno gani hutaja alama katika ramani?
• symbol, legend, contour line, longitude line, latitude line, parallel
(7) Maneno gani hutaja uhusiano kati ya eneo la ramani na eneo la ardhi halisi yenyewe?
• scale, large scale, small scale, projection
(8) Vifaa gani vinatumika katika kupata mahali fulani?
• compass, sextant
7.2.4 Kusafiri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kusafiri--yaani tendo la kwenda masafa marefu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwenye safari?
• go on a journey, journey, trip, passage, tour
(2) Maneno gani hutaja kwenda kutoka eneo moja kwa eneo lingine?
• travel, move from place to place, move around, voyage
(3) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kutoka eneo moja kwa eneo lingine, halafu kurudi kwenye eneo la kwanza?
• circulate, go on a circuit, circumnavigate
(4) Maneno gani hutaja tendo la kwenda mahali pasipojulikana ili kugundua ni nini iliyopo?
• explore
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuhama bila kukusudia kurudi tena?
• kuhama, kuhamia, kugura, mhajiri, mkimbizi, mtoro, safari ndefu
(6) Maneno gani hutaja tendo la kusafiri kwenda nchi nyingine?
• go abroad, go overseas
(7) Maneno gani humtaja mtu anayesafiri?
• traveler, passenger, tourist
(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amesafiri sana?
• well traveled, cosmopolitan,
(9) Maneno gani hutaja mahali ambapo msafiri anaweza kulala na kula?
• hotel, motel, inn, campground, restaurant
7.2.5.1 Kutangulia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kwenda kwanza au kutangulia mtu mwingine.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kutangulia mtu?
• kutangulia, kwenda kwanza, kuongoza, kufikisha, mtangulizi, kutakadamu, kwenda mbele
(2) Maneno gani humtaja mtu anayetangulia?
• leader, van, vanguard,
Share with your friends: |