7.2.3.6 Kurudi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kurudi mahali fulani--yaani kurejea mahali ambapo umeshaondoka kutoka hapo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kurudi sehemu uliyoondoka?
• kurudi, kurejea, kuendelea nyuma, kurudia, kurudia hali ya kwanza, kurudisha, kurejesha, kurejeza, marejeo
7.2.3 Kwendea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwendo wa kwendea au wa kukaribia kitu au mahali fulani. Maneno katika eneo la maana hili yataje tendo la kuelekea mahali fulani, lakini siyo lazima kwamba mtu ameshafika mahali hapo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuelekea mahali fulani?
• move toward, go toward, head toward, go in the (general) direction of
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukaribia kitu?
• approach, move near, come near, move in on
(3) Maneno gani hutaja vitu viwili vinapoelekeana?
• converge, be on a collision course
(4) Maneno gani hutaja mahali mtu anakoelekea?
• destination, goal
Page 7.2.4.1.1 Gari
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vitu vinavyotumika katika kwenda mahali pengine.
(1) Kuna aina gani za magari?
• vehicle, car, auto, truck, motorcycle, bicycle, cycle, bus, taxi
(2) Aina gani za magari zinatumika kwa watoto au kwa ajili ya mchezo?
• tricycle, scooter, skateboard, roller-skates, roller blades, ice-skates
(3) Wanyama wanavuta magari ya aina gani?
• mkokoteni wa ng'ombe
(4) Maneno gani hutaja mwendo wa gari?
• drive, cycle, pedal, ride
(5) Sehemu za gari zinaitwaje?
• chassis, body, engine, brake, gas pedal, brakes, gear, steering wheel, windshield, windshield wiper, horn,
(6) Sehemu za baiskeli zinaitwaje?
• handle bars, kick stand, bike bell, tire pump
(7) Sehemu za gurudumu au tairi zinaitwaje?
• wheel, tire, rim, spokes, hub, axle,
7.2.4.1.2 Reli
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na reli.
(1) Maneno gani hutaja reli?
• railroad, railway, station
(2) Maneno gani hutaja gari moshi au treni?
• train, railroad car, engine, caboose, freight train, passenger train, locomotive, freight car, trolley, streetcar
(3) Maneno gani hutaja njia ya reli?
• tracks, railroad tracks, rail, tie, bed
(4) Maneno gani hutaja tendo la kwenda katika gari moshi au treni?
• ride, ride the rails, go on the train
(5) Maneno gani humtaja mtu anayeendesha gari moshi au treni?
• engineer, conductor, station master
7.2.4.1 Kusafiri kwa nchi kavu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafiri kwa nchi kavu.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kusafiri kwa nchi kavu?
• kusafiri kwa njia ya barabara, kusafiri kwa nchi kavu, njia ya nchi kavu, njiani
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuwasha na kuendesha gari?
• start, accelerate, pull out
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuzima na kuegesha gari?
• stop, brake, park
7.2.4.2.1 Meli, mashua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na meli na mashua.
(1) Kuna aina gani za meli na mashua?
• ship, boat, canoe, raft, life raft, lifeboat, ship's boat, surfboard, submarine,
(2) Sehemu za meli na mashua zinaitwaje?
• bow, stern, starboard, port, deck, gunwale, below decks, mast, spar, crow's nest, figurehead, rudder, helm, superstructure,
(3) Vifaa gani vinatumika katika meli na mashua?
• oar, paddle, sail, rigging, plank, compass, signal flag
(4) Maneno gani hutumika katika tendo la kuendesha meli au mashua?
• kupiga kafi, kupeleka kwa makasia, kuendesha kwa makasia, kupiga makasia, mpiko, kupiga pondo, kutia nanga, kung'oa nanga
(5) Maneno gani humtaja mtu anayetumia meli au mashua?
• sailor, captain
7.2.4.2.2 Kuogelea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuogelea.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuogelea?
• kuogelea, kutembea majini, kutota, kutosa majini, kuogelea chini ya maji
7.2.4.2.3 Kupiga mbizi, kuzamia majini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwendo katika maji.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupiga mbizi kwenye maji.
• dive, plunge, belly flop, jump in
(2) Maneno gani hutaja tendo la kushuka chini ya sehemu ya juu ya maji?
• sink, go down, go under, submerge
(3) Maneno gani hutaja mwendo ukiwa chini ya sehemu ya juu ya maji?
• run submerged, swim underwater
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuja kwenye sehemu ya juu ya maji?
• rise to the surface, surface (v), float to the surface
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuzamia majini?
• drown
7.2.4.2 Kusafiri kwa njia ya majini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafiri kwa njia ya majini.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusafiri kwa njia ya majini?
• sail, ship (v), cross (the river, lake)
(2) Maneno gani hutaja tendo la kupanda katika mashua au meli?
• embark
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuondoka kwenye mashua au meli?
• set sail, sail off
(4) Maneno gani hutaja tendo la kufika kwenye mashua au meli?
• land, make land, landfall
(5) Maneno gani hutaja tendo la kushuka kutoka mashua au meli?
• kuondoka mashua, kushuka pwani, kuteremka pwani, mshuko
(6) Maneno gani hutaja mashua au meli inapogonga nchi kavu?
• run aground, shipwreck, maroon
(7) Maneno gani hutaja mahali ambapo mashua au meli inaweza kwenda?
• waterway, sea-lane
(8) Maneno gani hutaja mahali ambapo mashua au meli inalenga kufikia (yaani inapoweza kuegesha)?
• harbor, port, landing, dock, wharf, water break
Share with your friends: |