Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page145/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   141   142   143   144   145   146   147   148   ...   206

7.2.5.2 Kufuata


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumfuata mtu.

(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kumfuata mtu?

kufuata, kwenda nyuma ya, kuandama, kuandamia, mfuasi

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumfuata mtu kwa karibu?

be on someone's tail, be on someone's heels, tailgate, be right behind,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumfuata mtu kwa mbali?

follow at a distance,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa mwendo sawasawa na mwingine ambaye unamfuata?

keep up, keep pace, stay up with,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa kasi inayomzidi mtu ambaye anakufuata?

pull ahead,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa kasi inayomzidi mtu ambaye unamfuata?

gain on,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa mwendo usiomzidi mtu ambaye unamfuata?

lag behind, fall behind, straggle,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kufikia mtu ambaye unamfuata?

catch up with, overtake

7.2.5.3 Kuongoza kwa kuonyesha njia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwongoza mtu--yaani kumwonyesha mtu aende wapi kwa kumtangulia.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwongoza mtu kwa kumwonyesha njia?

guide, lead, show, usher, shepherd, take the lead, lead on, lead the way, show the way, show someone to a place, blaze a trail, conduct, escort, precede, go before, marshal,

(2) Maneno gani humtaja mtu anayemwongoza mwingine kwa kumwonyesha njia?

guide, leader, pilot, point man, usher

7.2.5.4 Kuongozana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitu viwili au zaidi vinavyoongozana.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongozana?

go together,

(2) Maneno gani hutaja vitu vingi vinapoongozana?

crowd, flock, flood, hail, parade, pelt, pour, rain, roll, shower, stream, swarm, teem, throng, troop,

7.2.5 Kufuatana, kusindikiza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda pamoja na mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda pamoja na mtu mwingine?

kufuatana, kusafiri pamoja, kwenda na mtu, kusindikiza, kuambatana

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye unasafiri pamoja naye?

companion, traveling companion, fellow travelers/passengers, escort (n), tour group

(3) Maneno gani hutaja jinsi mtu anavyotembea pamoja na mtu mwingine?

arm in arm, side by side, in step with, out of step with, single file

(4) Maneno gani hutaja kundi la magari au mashua zinazoenda pamoja?

msafara

7.2.6.1 Kukamata


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumkamata mtu ambaye anajaribu kutoroka.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkamata mtu?

catch, catch up with, capture, get, corner, hunt down, nab, seize, seizure, trap,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumkamata mtu na kutomwachisha?

capture, round up, take someone prisoner, recapture

(3) Maneno gani hutaja polisi wanapomkamata mhalifu?

arrest, get, take someone into custody, apprehend, detain,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumkamata mnyama?

catch, trap, snare, capture, round up,

7.2.6.2 Kuzuia kitu kisiende


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumzuia mtu au kitu kisiende au kusogea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumzuia mtu asiende au kusogea?

prevent, immobilize, keep, restrain, control, quarantine, restrict,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumzuia mtu asiende au kusogea kwa njia ya kumshika?

hold, hold down, restrain, pin someone down, seize,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumzuia mtu asiende au kusogea kwa njia ya kumfunga na kamba?

handcuff, shackle, tie up, bind, binding,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumzuia mtu asiende kwa njia ya kumfungia ndani ya kachumba kadogo?

lock up, cage, confine, contain, corral, shut up, trap

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumzuia mtu asiende kwa njia ya kuziba njia yake?

block, check, hem in, blockade, get in the way,

(6) Vitu gani hutumika katika kumzuia mtu asiende?

handcuffs, shackles, restraint, cage, restraint,

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anazuiliwa asiende?

be under restraint, bound, captive, in confinement, held, limited, restricted,

7.2.6.3 Kutoroka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutoroka kutoka hali ya hatari.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka kutoka mahali pa hatari?

escape, get out, flee, make your escape, get away, get clear, abandon ship, bail out, evacuate, fly the coop, get free, get loose, run away, scarper, break away, break free, break loose, sneak out,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka kutoka gerezani?

break out, make a break for it, bust out,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka kutoka mtu anayekufuata?

get away, give someone the slip, throw someone off the scent, slip through someone's fingers, shake off, make a clean getaway, elude, evade, avoid capture, dodge, sidestep, cover your trail/tracks,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumkimbia mtu?

run away, run off, bolt, run for it, make a run for it, take to your heels, scatter, run for your life,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka kutoka hali ngumu?

extricate yourself, talk your way out of,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka pamoja na kitu ambacho umekiiba?

get away with, make off with,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kumsaidia mtu atoroke?

get someone out, spring, liberate,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka?

escape (n), breakout, jailbreak, getaway, prison break, evasion, evacuation,

(9) Maneno gani humtaja mtu ambaye ametoroka?

runaway, fugitive, escapee, refugee,

(10) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ametoroka?

escaped, be on the loose, be at large, be on the run, elusive, free,

(11) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na tendo la kutoroka?

evasive (maneuvers), getaway (car),

(12) Maneno gani hutaja hali ya kutoweza kutoroka?

can't escape, can't get out, trapped, be stuck, there is no escape, be imprisoned, be a prisoner,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   141   142   143   144   145   146   147   148   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page