Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page140/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   136   137   138   139   140   141   142   143   ...   206

7.2.1.2.1 Kwenda polepole


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda au kusogea polepole.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda au kusogea polepole?

crawl, move at a snail's pace, creep along, inch forward, poke along, slowpoke, drag, mosey along, slow motion, plod, dawdle

(2) Maneno gani hutaja tendo la kwenda au kusogea polepole zaidi?

slow down, slow up, decelerate, coast to a stop, (its) speed fell, ease off, reduce your speed, decrease your speed, come to a stop

(3) Unasemaje ukitaka mtu apunguze mwendo?

Slow down! Whoa! (horse) Wait, wait! Wait for me! Wait a minute! Can we slow down?

(4) Maneno gani hutumika kama sauti ya tendo la kwenda polepole inafanana na neno lenyewe?

chug

7.2.1.2 Kwenda kwa haraka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusogea ghafla, au mwondoko wa ghafla.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kwenda au kusogea kwa haraka?

move quickly, hurry, haste, hasten, rush, forge ahead, charge, barrel along, move like a bat out of hell, make a beeline for, boil, bolt, bustle, move along at a good clip, dart, double-time, fast, fire, flash, flat-out, fling, flit, fly, gallop, move like greased lightning, be really hopping, kick, lickety-split, plunge in, quick, race, rapid, rapidly, rapidity, run, rush, sail, scour, scud, shoot, move like sixty, skim, snappily, speed, stampede, streak, sweep, swift, swiftly, swing, tear, apace, tilt, vroom, whiz, wildfire, zip, zoom, at full speed, at top speed, express, make tracks, burn up the track

(2) Maneno gani hutaja tendo la kwenda au kusogea kwa haraka zaidi?

hurry up, speed up, pick up speed, increase your speed, accelerate, acceleration, (its) speed rose, step on it, step it up, snap it up, pick up the pace, give it some gas, look lively, quicken

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuendelea kwenda bila kuongeza wala kupunguza mwendo?

coast, glide, float

(4) Maneno gani hutaja mwendo wa kitu fulani?

speed, pace, rate

(5) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kwa haraka kwa muda mfupi?

jerk, twitch, start, spasm, jump, snap, nip in, shoot, spurt, dash

(6) Maneno gani hutumika kama sauti ya tendo la kwenda kwa haraka inafanana na neno lenyewe?

kwenda kwaa kwaa

7.2.1.3 Kuzurura


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuzurura--yaani kutembea polepole bila kusudi wala lengo au shabaha ya unakokwenda.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzurura?

wander, meander, ramble, roam, prowl, walk around

(2) Maneno gani humtaja mtu anayezurura?

mzururaji, mhuni, kuzengea bila mpango, hana mbele wala nyuma

7.2.1.4.1 Kwenda kwa maringo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kwenda kwa maringo.

(1) Maneno gani humwelezea mtu anayeenda au kusogea kwa maringo?

uncoordinated, awkward, ungainly, clumsy, gawky, inelegant, klutz, ungraceful, lumbering, have two left feet, gangling,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hatembei vizuri na anajiumia mara kwa mara?

clumsy, klutz, be all thumbs, accident-prone, ham-fisted, bungling, bumbling, bull in a china shop, butterfingers,

7.2.1.4 Kwenda kwa kudundika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kwenda kwa kudundika.

(1) Maneno gani humwelezea mtu anayeenda kwa kudundika?

graceful, coordinated, elegant, light-footed, light on your feet, lithe,

(2) Maneno gani huelezea mwendo wa kudundika?

graceful, elegant, smooth, flowing, effortless, easy, with ease,

(3) Maneno gani hutaja mwendo wa kudundika?

grace, gracefulness, poise, elegance, coordination,

7.2.1.5.1 Kuteleza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvuka mahali laini, ambapo huteleza.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupita sehemu laini na kuteleza?

kuteleza, kuponyoka, kunyiririka, utelezi

(2) Maneno gani huelezea sehemu ambayo kitu fulani kinaweza kuteleza kwa urahisi juu yake?

slippery,

7.2.1.5 Kutembea kwa shida, kujikwaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na pale mtu anapotembea na kujikwaruza--yaani kutotembea vizuri kwa sababu ya kukanyaga jiwe, kisiki, shimo, au matope. Pia andika maneno yanayotaja tendo la kutotembea vizuri kwa sababu ya magonjwa, ulevi au jeraha mguuni.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujikwaa?

stumble, trip, trip and fall, slip

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kukwaa?

trip someone

(3) Maneno gani hutaja tendo la kupepesuka au kuyumbayumba?

kupepesuka, kuyumbayumba

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayechechemea?

kuchechemea, kunyong'onyea, kulegea, kutembelea mkong'ojo

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye hawezi kutembea vizuri?

lame, disabled

(6) Watu hutumia vitu gani ili kuwasaidia kutembea?

walker, cane, crutch, walking stick, wheelchair

7.2.1.6.1 Kusawazisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujisawazisha au kusawazisha kitu kingine--yaani kitu au mtu anapoweza kusimama au kwenda bila kuanguka chini.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujisawazisha (ili usianguke)?

balance, keep your balance,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusawazisha kitu kingine (ili kisianguke)?

balance something, steady something,

(3) Maneno gani hutaja uwezo wa kujisawazisha?

balance (n),

(4) Maneno gani hutaja tendo la kukosa usawa?

lose your balance, totter,

(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni sawa (yaani hakiwezi kuanguka)?

steady, poised,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho si sawa (yaani kinaweza kuanguka)?

unsteady, unstable, precarious,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi kwamba utaanguka?

dizzy, giddy, vertigo, dizziness, someone's head is swimming,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   136   137   138   139   140   141   142   143   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page