Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page109/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   105   106   107   108   109   110   111   112   ...   206

5.2.1.4 Ghala za chakula


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kuhifadhi chakula ghalani.

(1) Maneno gani hutaja kuhifadhi chakula?

preserve

(2) Njia gani na vifaa gani vinatumika katika kuhifadhi chakula?

dry, salt, preservative

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuhifadhi chakula ghalani?

kuhifadhi, kiporo, kukoleza, kukausha (nyama au matunda), masazo, makombo

(4) Vyombo gani hutumika kuhifadhia chakula?

gunia, mfuko, ghala, chupa

5.2.1.5 Kuhudumia chakula


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuhifadhi chakula.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhudumia au kugawia chakula?

kuhudumu, kugawa

(2) Mhudumu anayegawa chakula huitwaje?

mhudumu, mwandazi, mtumishi

(3) Sehemu ndogo ya chakula huitwaje?

kipande, sehemu, fungu (la nyama), ubale (wa mkate), cheche (ya mhogo), hisa

(4) Kipande cha chakula ambacho ni kitamu au kizuri kuliko vingine huitwaje?

mapochopocho, chakula kitamu

(5) Vifaa gani hutumika katika kuhudumia chakula?

vijiko, sahani, sinia

(6) Chakula huhudumiwa mahali gani?

hoteli, mgahawa, chumba cha chakula

5.2.1 Maandalizi ya chakula


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maandalizi ya chakula.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuandaa chakula?

upishi, kupika, uandaaji wa chakula, mapishi

(2) Mtu anayefanya kazi ya kupika huitwaje?

mpishi, msaidizi wa jikoni

(3) Maneno gani humtaja mpishi wa chakula maalum?

mwokaji mikate (mkate), mkorogaji wa pombe (pombe)

(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimepikwa?

food, meal, dish

(5) Maneno gani humaanisha mahali ambapo chakula huandaliwa na hupikwa?

jikoni, hoteli

(6) Maneno gani huelezea utaalamu wa mpishi katika kupika?

mpishi mzuri, mpishi mbaya, mpishi wa kawaida

(7) Maneno gani huelezea jinsi upishi ulivyofanyika?

chakula kibichi, chakula kitamu, chakula cha kawaida, chakula kimeungua

(8) Maneno gani hutaja maelekezo kwa ajili ya kupika kitu?

recipe, ingredients, instructions, measurements

5.2.2.1 Kuuma, kutafuna


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuuma na kutafuna kwa meno.

(1) Maneno gani hutaja kuuma kitu?

bite, bite into, bite off, take a bite, chomp down on, champ, crunch,

(2) Maneno gani hutaja kuuma mtu?

give someone a bite, sink your teeth into, snap at,

(3) Maneno gani hutaja kidonda kilichosababishwa na mnyama kukung'ata?

bite,

(4) Maneno gani hutaja kutafuna?

chew, gnaw, masticate

(5) Maneno gani hutaja kusaga meno?

grind your teeth, gnash, clench your teeth,

(6) Maneno gani hutaja kumeza?

swallow,

5.2.2.2 Mlo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mlo.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja muda wa kula chakula kwa jumla?

mlo, chakula, wakati wa kula

(2) Maneno gani hutaja mlo unaoliwa kwa wakati fulani wa siku?

breakfast, lunch, supper, brunch, mid afternoon snack, midnight snack, tea, luncheon,

(3) Maneno gani hutaja mlo kuu wa siku?

dinner

(4) Maneno gani hutaja mlo mdogo?

snack, light breakfast, light meal

(5) Maneno gani hutaja mlo unaoliwa nje?

picnic,

(6) Maneno gani hutaja kula mlo?

dine, breakfast (v), lunch (v), snack (v)

(7) Kwa kawaida kabla ya kuanza kula watu husema nini?

Tumshukuru Mungu, Karibuni chakula

(8) Watu wanapokula na kuhitaji kitu fulani husemaje?

Naomba unipatie chumvi, Naomba chumvi tafadhali

(9) Watu husemaje baada ya kula?

Asante, Asante kwa chakula, Nimeshiba vizuri

5.2.2.3 Karamu


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na karamu.

(1) Maneno gani hutaja mlo ulioandaliwa rasmi kwa ajili ya idadi kubwa ya watu?

dhifa, karamu, sherehe, sikukuu

(2) Sherehe yenye karamu huwa na sehemu gani?

sehemu za mlo, kitindamlo

(3) Kiongozi wa karamu huitwaje?

mwenyeji, mwenye hoteli, Msimamizi Mkuu

(4) Wanaoalikwa katika karamu huitwaje?

wageni, waalikwa, mgeni rasmi, mgeni wa heshima

(5) Mambo gani hufanyika katika karamu?

pongezi, kumtakia afya (mwenyeji, mgeni rasmi)

5.2.2.4 Jinsi za kula


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tabia inayotumika katika kula chakula.

(1) Maneno gani hutaja tendo la mtu mmoja kula kabla ya wengine?

kula mapema

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuonja chakula ili kuona kama ni kitamu?

kuonja, kujaribu

(3) Maneno gani hutaja tendo la kula chakula kidogo?

kula kidogo, kula kumbwe, kunyofoa, kugunga (kwa kufuata utaratibu maalum wa chakula)

(4) Maneno gani hutaja tendo la kula kiasi kikubwa cha chakula?

kula sana, mlafi, ulafi

(5) Maneno gani hutaja tendo la kula haraka?

kula haraka, kula kwa pupa, kulafua

(6) Maneno gani hutaja tendo la kula kupita kiasi?

eat more than your share, be greedy

(7) Maneno gani hutaja tendo la kula vitu viwili pamoja?

(no words in English, but some in North American Indian languages)

5.2.2.5 Njaa, kiu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na njaa au kiu.

(1) Maneno gani hutaja kuwa na njaa?

kuwa na njaa, njaa, kukosa chakula, gumba, kutaabika kwa njaa

(2) Dalili za kuwa na njaa ni zipi?

kunguruma kwa tumbo, maumivu ya tumbo tupu

(3) Maneno gani hutaja kuwa na kiu?

kuwa na kiu, kiu, kuona kiu

(4) Maneno gani hutaja kiasi gani unaweza kula au unataka kula?

appetite, big appetite, small appetite

(5) Maneno gani hutaja kutokuwa na hamu ya chakula?

bila hamu ya chakula



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   105   106   107   108   109   110   111   112   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page