5.1.1.3 Kitanda
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitanda.
(1) Kuna aina gani za kitanda?
• kitanda cha mbao, kitanda cha chuma, kitanda cha kamba, kitanda cha miti
(2) Vitu gani huwekwa juu ya kitanda kwa ajili ya kulalia?
• shuka, bulanketi, matandiko, godoro, mkeka, jamvi, ngozi, kirago
(3) Kwa kawaida watu hufanya nini kwenye kitanda?
• kutandika, kulalia
5.1.1.4 Kabati
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kabati.
(1) Kuna aina gani za kabati?
• cabinet, dresser, chest of drawers, wardrobe, buffet, bookshelf, set of shelves, cupboard, drawer, shelf
(2) Kwa kawaida watu hufanya nini na kabati?
• kuhifadhia vyombo, fedha, nguo, vitabu n.k., kufunga na kufungua
5.1.1 Samani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na samani au fanicha.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja samani au fanicha kwa jumla?
• samani, vyombo ndani ya nyumba
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka samani au fanicha ndani ya nyumba?
• furnish
(3) Maneno gani hutaja vitu vinavyofunika sakafu?
• carpet, rug, mat
5.1.2 Pambo la nyumba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mapambo ya nyumba.
(1) Vitu gani hutumika kwa ajili ya kuipamba nyumba?
• maua, picha, michoro, kalenda, karatasi za rangi
5.1 Vifaa vya nyumba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vifaa na vyombo vya nyumba.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vifaa au vyombo vinavyotumika nyumbani kwa jumla?
• vyombo, vifaa, mali ya nyumbani, nyenzo za nyumbani, zana za nyumbani, bidhaa za nyumbani
(2) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kutoa mwanga ndani ya nyumba?
• taa, mshumaa, kibatari, taa za umeme, moto
(3) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kusafisha nyumba?
• ufagio
(4) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kuchotea na kuhifadhia maji?
• ndoo, pipa
(5) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kutoa joto au baridi katika nyumba?
• moto, moto wa umeme, moto wa gesi, pepeo, feni
(6) Vifaa gani vingine huwemo nyumbani kwa kawaida?
• mfuko
Page 5.2.1.1 Mbinu za kupika
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na njia mbalimbali za upishi. Ni muhimu kufikiria aina mbalimbali za vyakula na jinsi vinavyopikwa. Hapa chini tumetoa mapishi mbalimbali ya mayai kama mfano.
(1) Maneno gani humaanisha njia mbalimbali za kupika vyakula?
• kupika, kuoka, kuchemsha, kuchoma, kukaanga (kwenye mafuta), kutokosa
(2) Njia zipi zinatumika kupika au kuandaa yai?
• kuchemsha, kuvuruga, kuvukiza
(3) Maneno gani huelezea kitu kilichopikwa?
• cooked, boiled, braised, broiled, fried, grilled, marinated, parboiled, pickled, poached, sautéed, stewed,
(4) Maneno gani huelezea kitu wakati kinapopikwa?
• sizzle,
5.2.1.2.1 Kuondoa gamba au ngozi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuondoa gamba au ngozi kwenye chakula.
(1) Maneno gani huelezea kuondoa magamba au ngozi kwenye chakula?
• kuondoa magamba, kumenya, kukoboa, kukema (matunda), kuambua (chungwa)
5.2.1.2.2 Kutwanga kwa kutumia kinu na mchi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na kutwanga kwa kutumia kinu na mchi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutwanga chakula kwenye kinu?
• kutwanga, kinu, mchi
5.2.1.2.3 Kusaga unga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kusaga unga.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusaga unga?
• kusaga
(2) Maneno gani hutaja nafaka kabla ya kusagwa?
• nafaka, mahindi, mtama
(3) Maneno gani hutaja unga baada ya kusagwa?
• unga, unga wa mahindi, unga wa ngano
(4) Vifaa gani hutumika kwa kusagia nafaka kuwa unga?
• jiwe la kusagia, mashine ya kusaga
5.2.1.2 Hatua za maandalizi ya chakula
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hatua za maandalizi ya chakula. Njia mojawapo ya kutafuta maneno katika eneo la maana hili ni kuelezea jinsi ambavyo kila aina ya chakula kimeandaliwa.
(1) Hatua gani hutumika kuandaa chakula?
• kukusanya vifaa, kuongeza vifaa, kuchanganya, kukoroga, kufanya kuwa nzito, kuyeyusha
(2) Maneno gani hutumika kumaanisha ukataji wa chakula kabla ya kupikwa?
• kukatakata, kukata vipande (mboga), kukuna (nazi), kutwanga (kisamvu), kusaga (karanga)
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuchanganya viambato?
• mix, stir, knead, toss, tossed, whisk, beat,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukiacha chakula kuwa tayari?
• kuruhusu unga kuumuka (mkate, maandazi)
5.2.1.3 Vyombo vya kupikia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vyombo vya kupikia.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vyombo au vifaa vinavyotumika katika upishi kwa jumla?
• chombo, kifaa
(2) Vifaa gani hutumika katika kukatia vyakula?
• kisu, geli, mbuzi, shoka la kukatia nyama, mbao ya kukatia chakula
(3) Vifaa gani hutumika kusaga aina za vyakula?
• kinu na mchi, jiwe, mashine ya kusagia nyama
(4) Vifaa gani hutumika katika kuchanganya, kugeuza au kukoroga chakula?
• mwiko, kijiko, mpikicho, mchapomayai, kichanganyi
(5) Vyombo gani hutumika kuwekea chakula kwa ajili ya kuchanganya?
• bakuli, sufuria, chungu
(6) Vifaa gani hutumika katika kupimia vyakula kwa ajili ya kupika?
• kikombe, kijiko
(7) Vifaa gani hutumika kushikia vyombo vya moto jikoni ili mtu asiungue?
• mshikio
(8) Vyombo gani hutumika katika kupikia chakula?
• sufuria, chungu
(9) Vifaa gani vyenye moto hutumika kwa ajili ya kupikia vyakula?
• jiko, jiko la gesi, jiko la mafuta, wavu wa kuchomea nyama, oveni, stovu
(10) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kuhifadhia vyakula?
• jokofu, kabati, kabati ya barafu, stoo
(11) Sehemu za vifaa hivi vyote zinaitwaje?
• mshikilio au mpini (wa kisu), makali au ubapa (wa kisu), mfuniko au kifuniko (cha sufuria), mlango (wa jokofu), rafu (ya kabati)
Share with your friends: |