Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page111/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   107   108   109   110   111   112   113   114   ...   206

5.2.3.2.2 Maziwa na mazao yake


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maziwa na mazao yake.

(1) Aina zipi za mazao yanayotokana na maziwa huliwa?

maziwa, siagi, samli, jibini, mtindi, maziwa ya kuganda, malai

5.2.3.2.3 Chakula kinachotokana na mayai


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chakula kinachotokana na mayai.

(1) Maneno gani huelezea mapishi mbalimbali ya mayai?

mayai ya kukaanga, mayai ya kuchemshwa, jicho la ng'ombe, kimanda, andazi la mayai

5.2.3.2 Chakula kinachotokana na wanyama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kula wanyama na aina za wanyama wanaotumika kama chakula. Husika zaidi na wanyama wale wafugwao.

(1) Maneno gani humtaja mtu (au mnyama) ambaye anakula nyama tu?

carnivore, carnivorous, meat eating

(2) Wanyama gani huliwa na watu?

ng'ombe, mbuzi, kondoo, sungura, tandala, pundamilia

(3) Aina zipi za ndege huliwa?

kuku, kanga, bata, batamzinga, njiwa

(4) Aina zipi za samaki huliwa?

kambare, tilapia, tuna jodari, dagaa

(5) Aina zipi za wanyama watambaazi huliwa?

miguu ya chura

(6) Aina zipi za wadudu huliwa?

nzige, kumbikumbi

(7) Maneno gani hutaja asali na mazao mengine ya wadudu ambayo ni chakula cha watu?

asali, mbelewele

(8) Aina zipi za wanyama wadogo huliwa?

kamba, pweza, kaa

(9) Maneno gani hutaja tendo la kula nyama za wanadamu?

mla watu

5.2.3.3.1 Sukari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sukari.

(1) Maneno gani hutaja sukari?

sukari, tamu, yenye sukari, chembe ya sukari

(2) Maneno gani huelezea kitu chenye sukari?

sweet, sugary, sweetened,

(3) Maneno gani hutaja kuweka sukari kwenye chakula?

sweeten, sprinkle,

(4) Vyombo gani vya pekee hutumika kwa sukari?

spoonful of sugar, sugar bowl

5.2.3.3.2 Chumvi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chumvi.

(1) Maneno gani hutaja chumvi?

chumvi, magadi, yenye chumvi, chembe ya chumvi

(2) Vyombo gani vya pekee hutumika kwa chumvi?

saltshaker

5.2.3.3.3 Viungo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na viungo--yaani vitu vinavyotumika katika kukolea kwa chakula.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja viungo kwa jumla?

kiungo, kikolezo

(2) Aina za viungo zinaitwaje?

pilipili, binzari, mdalasini, kitimiri, kungumanga, basibasi, nanaa, karafuu

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuweka viungo katika chakula?

kukoleza

(4) Maneno gani huelezea chakula kilichowekewa viungo?

kimekolea, chenye ladha, kikali

5.2.3.3.4 Chachu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chachu au hamira--yaani vitu vinavyowekwa chakula ili kukisababisha kichachuke.

(1) Maneno gani hutaja chachu?

chachu, hamira

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka chachu kwenye chakula?

kuchachua

(3) Maneno gani hutaja kinachotokea baada ya kuweka chachu kwenye chakula?

kuumuka, kuchachuka

5.2.3.3.5 Mafuta ya kupikia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mafuta ya kupikia.

(1) Maneno gani hutaja mafuta yanayotumika kwa kupikia chakula?

mafuta, mafuta ya alizeti, mafuta ya kukaanga, mafuta ya kupikia

(2) Mbegu gani hutumika kutengeneza mafuta ya kupikia?

olive, corn, canola, cottonseed,

5.2.3.3 Viambato vya kupikia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja viambato vya chakula--yaani mahitaji katika upishi wa vyakula kwa jumla.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja viambato au mahitaji katika upishi kwa jumla?

mahitaji ya upishi, viambato

(2) Maneno gani hutaja viambato (kama vile unga) vinavyosababisha chakula kisiwe laini?

thickener, cornstarch, pectin, egg, gelatin, agar, wheat flour, corn flour, tapioca flour, cassava flour, sago flour, rice flour, glutinous rice flour,

5.2.3.4 Chakula kilichokwisha kupikwa


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja chakula kilichokwisha kupikwa. Tamaduni zinatofautiana katika idadi na aina za vyakula na pia katika namna ya kuviainisha vyakula. Kwa mfano, katika Kiingereza kuna tofauti kati ya chakula kuu na vyakula vingine vidogo vidogo, lakini tofauti hii haipo katika lugha nyingine. Kama lugha yenu inaziainisha vyakula kwa namna inavyofahamika vizuri, mnaweza kutengeneza maeneo mapya ya maana. Maswali hapo chini yanalingana na kiambato kikuu katika chakula fulani.

(1) Maneno gani hutaja chakula kilichokwisha kupikwa?

chakula tayari, mlo

(2) Maneno gani hutaja aina za vyakula vikuu vilivyokwisha kupikwa?

chakula kikuu, nyama, mboga, matunda, supu, mkate, kachumbari, kinyunya

(3) Maneno gani ya kawaida hutaja chakula kinachotokana hasa na nyama kwa jumla?

mlo wa nyama

(4) Aina gani za vyakula hutokana hasa na nyama?

nyama ya ng'ombe, nyama choma, nyama ya kuku, samaki, sambusa, steki la ng'ombe, soseji, kuku iliyobanikwa

(5) Vyakula gani hutokana hasa na vyakula vikuu?

ugali, mtori, ftari, viazi, wali, ubwabwa, tambi, uji

(6) Aina za mikate huitwaje?

mkate, mkate wa ngano, mkate wa mahindi, andazi, biskuti, tosi (au tosti), kongosho, boflo, kiwanda, sandwichi, chapati, skonzi, vitobosha, mafini

(7) Vyakula gani hutokana hasa na matunda?

ndizi iliyobanikwa na asali, saladi ya matunda

(8) Vyakula gani hutokana hasa na mboga?

kachumbari, mchicha, sukumawiki

(9) Vyakula gani hutokana hasa na majani au mashina ya mimea?

saladi, kachumbari ya kabeji

(10) Maneno gani hutaja vyakula vyenye maji mengi na vinachemashwa?

soup, tomato soup, split green pea soup, clam chowder, broth, stew, gravy

(11) Kuna aina gani za vitoweo (vyakula ambavyo watu hula kidogo, kwa sababu ni vya gharama, ladha yake ni nzito, au huongezwa kwenye vyakula vingine ili viwe na ladha)?

condiment, garnish, pickle, olive, black olive, green olive, tomato sauce, catsup, mustard, mayonnaise, peanut butter, jam, jelly, preserves

(12) Maneno gani hutaja vyakula vyenye ladha ya utamu?

kinyunya, pudini, keki, aiskrimu

(13) Vyakula gani huliwa mbali na nyumbani (kwa mfano safarini au kazini)?

sack lunch, picnic lunch, dried food, C-rations, fast food



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   107   108   109   110   111   112   113   114   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page