Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page107/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   103   104   105   106   107   108   109   110   ...   206

4.9.7.6 Uyahudi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na Uyahudi.

(1) Maneno gani hutumika wakati wa kuongelea Uyahudi?

Judaism, Jew, Jewish, Israel, Torah, Mishna, rabbi, synagogue, kosher, Passover, Hanukkah, Messiah, Mosaic Law

4.9.7.7 Upagani, ushenzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na Upagani au Ushenzi--yaani, imani ya kwamba vitu vyote (miti, mawe, upepo, n.k.) vina roho.

(1) Maneno gani hutumika wakati wa kuongelea Upagani au Ushenzi?

Animism, paganism,

(2) Maneno gani humtaja mtu anayeamini kuwa vitu vyote vina roho (yaani Mpagani)?

Animist, pagan,

4.9.7 Shirika la kidini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yatajayo dini rasmi, makundi ndani ya dini fulani na mikutano ya kidini. Kila dini itakuwa na majina tofauti kwa makundi yake. Jibu kila swali kwa kila dini.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja dini rasmi, kwa jumla?

religion, faith

(2) Majina ya dini rasmi ni yapi?

Christianity, Islam, Hinduism, Judaism, animism, paganism,

(3) Maneno gani hutaja kundi lililomo ndani ya dini fulani?

sect, denomination, party,

(4) Majina ya makundi au madhehebu ni yapi?

Catholic, Protestant, Baptist, Presbyterian, Methodist

(5) Maneno gani hutaja kundi la waamini katika eneo fulani?

kanisa, dayosisi

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuamini katika dini fulani au kubadili kutoka dini moja hadi nyingine?

kubadili, kubadilisha dini

4.9.8.1 Sanamu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sanamu na matumizi yake.

(1) Maneno gani hutaja kitu kinachowakilisha mungu fulani?

idol, image, icon

(2) Maneno gani hutaja mazoea ya kutengeneza na kuabudu sanamu?

uabudu sanamu

4.9.8.2 Mahali pa kuabudia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahali pa kuabudia. Kila dini ina aina tofauti ya mahali pa kuabudia. Haya maswali yanatakiwa kujibiwa kulingana na mazoea ya kila dini na kwa kila aina tofauti ya eneo.

(1) Maneno gani hutaja mahali ambapo pamewekwa wakfu?

house of God, church, temple, synagogue, mosque, shrine, god house, sanctuary, tabernacle,

(2) Sehemu za kanisa zinaitwaje?

pew, altar, pulpit, choir loft, baptismal font, stained glass window, steeple

(3) Sehemu za hekalu zinaitwaje?

courtyard, holy place, holy of holies, altar, laver, lamp stand

(4) Sanamu zinawekwa wapi?

god shelf, shrine

(5) Watumishi wa dini huishi wapi?

nyumba za watawa, nyumba zilizotengwa, nyumba ya kasisi

4.9.8 Vitu vya kidini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu fulani cha kidini--yaani kitu kinachotumika katika ibada.

(1) Kuna aina gani za vitu vya kidini?

altar, altar of sacrifice, altar of incense, censer, candle, church bells, totem pole,

(2) Maneno gani hutaja vitu vyenye nguvu ya kiroho?

talasimu, hirizi

(3) Maneno gani hutaja mavazi ya padri au watu wengine wa dini?

(priest's) robes, habit, cloth, vestments, frock, cassock, cowl, hood, clerical collar, skullcap, surplice, miter,

4.9.9 Kupinga dini, dini isiyo halisi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufikiri na kutenda dhidi ya Mungu na dini.

(1) Mtu asiyeamini dini yoyote anaitwaje?

unbeliever, pagan, gentile, heathen, atheist, agnostic, irreligious, godless

(2) Maneno gani hutaja kundi la kidini, lakini dini rasmi halilioni kundi hilo kuwa halisi?

false religion, sect

(3) Maneno gani hutaja imani ambayo dini rasmi ya eneo au nchi inaifikiri siyo halisi?

heresy, heretical, heretic, false doctrine/teaching

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutomwamini Mungu au kufikiri kinyume cha Mungu?

disbelieve, unbelief, lack of faith, doubt, skepticism, agnosticism, atheism, paganism

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumsemea Mungu vibaya?

blaspheme, scoff, profane, irreverent

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumtendea Mungu vibaya?

sin, impiety, ungodly, godlessness, desecrate, sacrilege

(7) Maneno gani humwelezea mtu aliye dhidi ya Mungu?

impious, irreligious, profane

(8) Maneno gani hutaja tendo la kugeuza ili kutoendana na Mungu?

apostasy, backsliding, reprobate

(9) Maneno gani hutaja tendo la kujifanya kuwa muumini au mtu wa dini fulani?

hypocrisy, hypocrite

(10) Maneno gani hutaja imani inayoruka mipaka na kuamini mambo maovu?

fanatic, fanaticism, bigot, bigotry

(11) Maneno gani hutaja mazoea ya kidini ambayo yanafanyika katika hali ya ujinga au kutokujua?

superstition

(12) Maneno gani hutaja hali ya kuwaruhusu wengine kuabudu na kuzoelea dini yao?

tolerance, intolerance

Page

4 Mwenendo wa jamii


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno ya kawaida ambayo hutumiwa kwa namna ya watu wanavyoenenda katika uhusiano na watu wengine.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja namna watu wanavyotenda kwa jumla katika uhusiano?

kuenenda, mwenendo, kuhusiana, uhusiano, mambo ya jamii, jumuia

Page

5.1.1.1 Meza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na meza.

(1) Kuna aina gani za meza?

meza ya chakula, meza ya ofisi

(2) Sehemu za meza zinaitwaje?

miguu ya meza, sehemu ya juu ya meza, kingo za meza

(3) Kwa kawaida watu huweka nini juu ya meza?

vitambaa vya meza, mapambo

5.1.1.2 Kiti


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kiti.

(1) Kuna aina gani za viti?

stuli, kigoda, kiti cha ofisi, kochi, fomu

(2) Sehemu za kiti zinaitwaje?

miguu ya kiti, mikono ya kiti, mto



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   103   104   105   106   107   108   109   110   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page