5.2.2.6 Kushiba, kutosheka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kushiba chakula.
(1) Maneno gani hutaja kushiba chakula?
• kushiba, kukinai, kukinaika, kutosheka, kuridhika
(2) Maneno gani huelezea chakula kinachokufanya ujisikie umeshiba?
• filling, heavy, stodgy,
5.2.2.7 Kunywa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kunywa.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kunywa kwa jumla?
• kunywa, kutumia kinywaji
(2) Maneno gani huelezea tabia za watu katika unywaji wa vinywaji?
• kunywa, kupiga funda, kusharabu, kukonga, kunywa kwa pupa, kugugumia
(3) Maneno gani hutaja kile kinachonywewa?
• kinywaji, kileo
(4) Maelezo gani hutumika katika kuomba kinywaji?
•
(5) Maelezo gani hutumika katika kumpatia mwingine kinywaji?
•
5.2.2.8 Kifaa cha kulia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vifaa vya kulia.
(1) Maneno gani hutumika kutaja vyombo au vifaa vinvyotumika katika kukata na kusogeza chakula?
• kisu, uma, kijiko, kijiko kidogo
(2) Maneno gani hutumika kutaja chombo cha chakula?
• sahani, bakuli
(3) Maneno gani hutumika kutaja chombo cha kinywaji?
• kikombe, glasi, bilauri
(4) Vifaa gani hutumika kusafisha chakula kinachodondoka?
• kitambaa
(5) Maneno gani hutaja vyombo vyote vinavyotumiwa na mtu mmoja tu wakati wa kula?
• "set" (kwa Kiingereza tu; haipo katika Kiswahili)
(6) Maneno gani hutaja tendo la kutayarisha meza kwa ajili ya chakula?
• kuandaa meza
5.2.2.9 Kufunga, kutokula
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufunga--yaani kutokula kwa kipindi fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufunga au kutokula?
• to fast, fast (n), not eat, go without food
(2) Maneno gani hutaja aina mbalimbali za mifungo?
• kufunga bila kula wala kunywa, kufunga wakati wa mchana tu, ugunga, mwezi wa Ramadhani, Kwaresima
(3) Maneno gani hutaja kusimamisha mfungo?
• kufungua, kufuturu
5.2.2 Kula
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kula.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kula chakula kwa jumla?
• kula, kutumia, kuakia, kumeza
(2) Maneno gani hutaja tendo la kulamba kwa ulimi?
• kulamba
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumeza?
• kumeza, kugugumia, kubwia
(4) Maneno gani hutaja ugumu wa kumeza chakula?
• kukabwa na chakula, kupaliwa na chakula
(5) Maneno gani hutaja tendo la kumlisha mtu?
• kumlisha (mtu), kumlazimisha mtu ale
5.2 Chakula
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja chakula.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja chakula?
• chakula, mlo, riziki
Page 5.2.3.1.1 Chakula kinachotokana na mbegu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chakula kinachotokana na mbegu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mbegu zinazoliwa kwa jumla?
• seed, grain, cereal, bean, legume, nut,
(2) Aina zipi za nafaka huliwa?
• mahindi, mtama, udo, ngano, mchele, ufuta
(3) Aina zipi za mbegu ya jamii ya njugu huliwa?
• njugu, njugumawe, karanga, lozi, korosho, kanju, kola, nazi, bambara, kokwa, njugu nyasa
(4) Aina zipi za mbegu ya jamii ya maharagwe huliwa?
• maharagwe, kunde, baadhi, njegere, soya
(5) Aina zipi nyingine za mbegu huliwa?
• alizeti, tetere (mbegu za boga), mbegu za pamba
5.2.3.1.2 Chakula kinachotokana na matunda
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chakula kinachotokana na matunda.
(1) Aina zipi za matunda huliwa?
• ndizi, chungwa, chenza, limau, tende, tini, embe, pera, zabibu, zambarau, nyanya, papai, embe mafuta, nanasi, forosadi, fuu, kunazi, karakara
5.2.3.1.3 Chakula kinachotokana na mboga au majani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chakula kinachotokana na mboga au majani.
(1) Aina zipi za mboga au majani huliwa?
• mchicha, majani ya kunde, matembere, pilipili hoho, nyanya, tango pepeta, kabeji, karoti, bamia
(2) Aina zipi za matunda ya maboga huliwa?
• kitoma, boga, tango, biringanyi
5.2.3.1.4 Chakula kinachotokana na majani ya mimea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vyakula vinavyotokana na majani ya mimea au mashina.
(1) Aina zipi za majani ya mimea huliwa?
• mchicha, majani ya maboga, kabeji, saladi
(2) Aina zipi za mashina huliwa?
• muwa, figili
5.2.3.1.5 Chakula kinachotokana na mizizi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vyakula vinavyotokana na mizizi.
(1) Aina zipi za mizizi huliwa?
• kiazi, kiazi cha Ulaya, kiazi mviringo, karoti, vitunguu, vitunguu saumu, mhogo, kiazisukari, tangawizi
5.2.3.1 Chakula kinachotokana na mimea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na chakula kinachotokana na mimea.
(1) Maneno gani hutaja mimea inayoweza kuliwa?
• edible plants
(2) Maneno gani humtaja mtu au mnyama anayekula mimea tu?
• vegetarian
5.2.3.2.1 Nyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja nyama na aina za wanyama ambayo huliwa na watu. Taja wanyama wale tu ambao huliwa kwa kawaida.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja nyama kwa jumla?
• nyama
(2) Maneno gani hutaja aina mbalimbali za nyama?
• steki, nyama ya kubanika
(3) Maneno gani hutaja mafuta yanayotokana na wanyama?
• mafuta, nono, shahamu
(4) Maneno gani hutaja sehemu ngumu za mnyama ambazo haziliwi?
• mfupa, wamba-ngoma
Share with your friends: |