8.3.1.4 Mlalo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho ni sawa, yaani sehemu yake ya juu ina bapa isichoinuka katika mwelekeo wowote.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho na mwelekeo wa mlalo?
• horizontal, prone, prostrate, longwise, flat on the ground, on its side, lie, prone, flush, on an even keel, on the level, parallel to the ground
(2) Maneno gani hutaja hali ya kupata mwelekeo wa mlalo?
• kulala, kuanguka
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu fulani kipate mwelekeo wa mlalo?
• lay something flat, lay something down, align
(4) Maneno gani huelezea sehemu ya juu ya kitu kilicho sawa?
• level (adj), even (adj), flat
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe sawa?
• kusawazisha, kulinganisha
8.3.1.5.1 Kuviringisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuviringisha kitu fulani?
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuviringisha kitu?
• kuviringisha, kunyosha mawimbi (nywele)
(2) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeviringishika?
• roll, scroll, curl, spiral
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukunjua kitu fulani?
• unroll, unfurl,
8.3.1.5.2 Kusokota
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusokota, yaani kushika kitu kirefu na mikono miwili na kuzungusha mkono mmoja mwelekeo wa kulia na mwingine mwelekeo wa kushoto.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusokota kitu?
• kusokota, kupopotoa, kusongonyoa, kunyonganyonga, kusongoa, kuzungusha, kusokotasokota
(2) Maneno gani huelezea kitu kilichosokotwa?
• kusokotwa, kupopotoka
8.3.1.5.3 Kukunja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukunja kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukunja kitu fulani?
• fold, fold up, crease, turn down, double over, crimp, dog-ear,
(2) Maneno gani hutaja kitu kikikunjwa?
• fold, fold up, crease, get creased,
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimekunjika?
• folded, creased, dog-eared,
(4) Maneno gani hutaja mkunjo wa aina yoyote?
• fold, crease, angle, plait, wrinkle, flap, lapel, dog-ear, tuck, gather, pleat,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kukunjisha kitu fulani sana au mara nyingi?
• crumple, gather, pleat, rumple, tuck, wrinkle,
(6) Maneno gani huelezea kitu kilicho na mikunjo mingi?
• crumpled up, pleated, wrinkled,
(7) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukikunja?
• folding, jointed,
8.3.1.5 Kufanya kisinyooke
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupindia au kukunjia kitu fulani na pia kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho kimepindika au kukunjika.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kipindike?
• kupinda, kukunja, kupotoa
(2) Maneno gani hutaja tendo la kitu fulani kupinda?
• bend, buckle, curl, sag, warp,
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimepindika?
• bent, arched, bowed, crinkled, curved, curving, curled, devious, gnarled, gnarly, hooked, indirect, jagged, kinked, knotted, knotty, knurled, knurly, turning, twirled, twisted,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho hunyooka lakini sasa kimepindika?
• akimbo, askew, awry, bandy, catawampus, contorted, crooked, deviating, distorted, skewed, tortuous, warped,
(5) Maneno gani hutaja kupindishwa au mkunjo wa kitu fulani?
• bend, bow, curve, kink, loop, angle, joint,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kupindisha kitu fulani?
• corrugate,
(7) Maneno gani huelezea kitu kilicho na mikunjo mingi au kuruba nyingi?
• circuitous, coiled, convoluted, corrugated, curly, curvy, kinky, meandering, pretzel, serpentine, serrated, sinuous, snaky, spiral, tortuous, twisting, undulating, waved, waving, wavy, wind, winding, zigzag,
(8) Maneno gani hutaja mstari au barabara inayopindika?
• bend, curve, twist,
(9) Maneno gani huelezea kitu ambacho inawezekana kukipinda?
• bendable, flexible, flexibility, jointed, pliable, plastic, supple,
(10) Maneno gani huelezea kitu ambacho haiwezekani kukipinda?
• unbending, inflexible, inflexibility, rigid, rigidity,
8.3.1 Umbo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na umbo wa kitu fulani, na maneno ya kawaida yanayohusiana na tendo la kubadilisha umbo wa kitu fulani, kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja umbo wa kitu kwa jumla?
• umbo, sura, umbile
(2) Maneno gani hutaja umbo wa nje wa kitu fulani?
• outline, lines, profile, contour,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na umbo fulani?
• shaped, in the shape of, in the form of,
(4) Maneno gani hutaja umbo usio wa kawaida?
• irregular, jagged,
(5) Maneno gani hutaja umbo usio sahihi?
• misshapen, deformed, distorted, out of shape, lopsided, lose its shape,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na umbo usio dhahiri?
• shapeless, formless, amorphous,
(7) Maneno gani ya kawaida hutaja mabadiliko ya umbo wa kitu kwa jumla?
• kubadilisha umbo, kufanyiza, kugeuza, kusubisha
(8) Maneno gani huelezea kitu, k.m., tawi au barabara, kinachogawanya kwenye vipande viwili?
• forked, bifurcate, bifurcated, fork, branch, a Y in the road,
8.3 Sifa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sifa au hali ya kitu fulani.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja sifa au hali ya kitu kwa jumla?
• hali, sifa, asili, sura
(2) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kina sifa fulani zaidi kuliko kingine?
• more, surpass,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kinazidiwa katika sifa fulani na kingine?
• less, not as, not so
Share with your friends: |