8.3.5.2.2 Kufanana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea vitu viwili au watu ambao wanafanana, lakini siyo sawasawa kabisa.
(1) Maneno gani huelezea vitu viwili vinavyofanana?
• like, similar, alike, much the same, comparable, parallel,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kitu kufanana na kingine?
• resemble, bear a resemblance to, akin to, have an affinity with, the same sort of,
(3) Maneno gani huelezea vitu viwili vinavyofanana sana?
• be two of a kind, have a lot in common, tantamount,
(4) Maneno gani huelezea vitu viwili vinavyofanana kidogo?
• kind of like, vaguely resemble
(5) Maneno gani huonyesha kwamba jambo hutokea au kufanyika kwa njia zinazofanana?
• similarly, like, such as, as,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kitu kufanana na kingine kwa namna moja au nyingine?
• have something in common, share something, correspond,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kitu kufanana na kingine katika sura?
• look like, resemble, the image of,
(8) Maneno gani hutaja hali ya kitu kufanana sana na kingine katika sura?
• be just like, look just like, be the image of, be the spitting image of, be the living image of, could pass for, could be mistaken for, be a dead ringer for, be the picture of,
(9) Maneno gani hutaja mtu anayefanana na mwingine katika sura?
• look-alike, double,
(10) Maneno gani hutaja hali ya kufanana na mama au baba?
• be like, take after, be a chip off the old block,
(11) Maneno gani huonyesha kwamba mtu au kitu fulani kinakukumbusha kuhusu kingine kwa sababu vinafanana?
• remind someone of, be reminiscent of, echo,
(12) Maneno gani hutaja sifa ya kufanana?
• similarity, likeness, resemblance,
(13) Maneno gani hutaja namna ya vitu viwili kufanana?
• similarity, parallel,
8.3.5.2.3 Tofauti
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea vitu viwili vilivyo tofauti -- yaani, kutokuwa sawasawa.
(1) Maneno gani huelezea vitu viwili vilivyo tofauti?
• tofauti, kutofautiana
(2) Maneno gani huonyesha kwamba idadi au kiasi mbili ni tofauti?
• different, unequal,
(3) Maneno gani hutaja namna ya vitu viwili kuwa tofauti?
• difference, variation, dissimilarity,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kugundua tofauti iliyopo baina ya vitu viwili?
• tell the difference, see the difference, distinguish, differentiate,
8.3.5.2.4 Nyingine
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa nyingine, k.m., mtu mwingine au kitu kingine -- yaani, kitu kisicho sawasawa na kingine kimeshatajiwa.
(1) Maneno gani hutaja kitu kingine?
• kingine
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kundi la vitu ambavyo ni tofautitofauti kwa kuvilinganisha.
(1) Maneno gani huelezea kundi la vitu vinavyotofautiana?
• various,
8.3.5.2.6 Kinyume cha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea vitu viwili vilivyo vinyume.
(1) Maneno gani huelezea vitu viwili vilivyo vinyume?
• opposite,
8.3.5.2 Kulinganisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kulinganisha kitu au mtu fulani na mwingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kulinganisha kitu fulani na kitu kingine?
• kulinganisha, kufananisha, kumithilisha
8.3.5.3.1 Sifa za kawaida
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho na sifa za kawaida.
(1) Maneno gani helezea kitu kilicho na sifa za kawaida?
• usual, normal, natural, typical, ordinary
8.3.5.3.2 Isiyo ya kawaida
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kisicho cha kawaida.
(1) Maneno gani huelezea kitu kisicho cha kawaida?
• si kawaida, kigeni, adimu
8.3.5.3.3 Ya pekee
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha pekee -- yaani, hakuna mwenzake.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakuna mwenzake?
• ya pekee, isiyo na kifani, kubainika
8.3.5.3.4 Ya ajabu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha ajabu.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha kigeni au cha ajabu?
• strange, odd, funny, peculiar, weird
(2) Maneno gani huelezea mtu asiye kama wengine?
• unusual, abnormal, exceptional, aberrant, peculiar, unnatural, eccentric, uncommon, rare, unique, odd, strange, queer, quaint, original, unconventional, weird
(3) Maneno gani hutaja kutokuwa kama wengine?
• unconformity, nonconformity
8.3.5.3 Kawaida
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilicho cha kawaida.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha kawaida?
• common, widespread
8.3.5.4 Mfano, kiolezo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mfano au kiolezo.
(1) Maneno gani hutaja mfano au kiolezo?
• mfano, kiolezo, ruwaza, mtindo, mpangilio
(2) Maneno gani hutaja mfano bora kabisa wa kitu fulani?
• chapaasili, umboasili, kielelezoasili
(3) Maneno gani hutaja kitu kinachotenganezwa kwa kutumia mfano?
• image
(4) Maneno gani hutaja ukubwa wa mfano ukiulinganisha na ukubwa wa kitu chenyewe?
• scale, full-scale, life-size,
8.3.5.5 Kuiga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwiga mtu -- yaani, kufanya mambo sawasawa na mwingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwiga mtu?
• kuiga, mwigaji, wigo, kufuatisha, kunakili
(2) Maneno gani hutaja kufanya jambo lilelile?
• likewise,
Share with your friends: |