2.6.5 Kiume, kike
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na wanaume na wanawake.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tofauti kati ya mtu wa kiume na wa kike?
• sex, gender, male, female
(2) Jozi gani za maneno huwataja watu wa kiume na wa kike?
• the sexes, male and female, men and women, boys and girls, ladies and gentlemen, guys and gals,
(3) Maneno gani hutaja kitu (kama vile mmea) ambacho si cha kiume wala cha kike?
• asexual, sexless
(4) Maneno gani hutaja kitu (kama vile mmea) ambacho ni cha kiume na cha kike vyote mbili?
• androgynous, bisexual, hermaphrodite, hermaphroditic,
(5) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na jinsia ya mtu?
• sexual,
(6) Maneno gani huelezea shule au muunganiko unaokuwa na wanaume na wanawake wote?
• mixed, coed,
(7) Maneno gani huelezea shule au muunganiko unaokuwa na wanaume tu au wanawake tu?
• single-sex,
(8) Maneno gani humtaja mtu wa jinsia nyingine?
• the opposite sex
(9) Maneno gani hutaja matatizo kati ya wanaume na wanawake?
• sexual equality, sexual discrimination, sexism, sexist, male chauvinism, male chauvinist, feminism, feminist,
Page 2.6.6.1 Kuua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumwua mtu--yaani kumsababishia mtu kifo.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kumwua mtu kwa jumla?
• kuua
(2) Maneno gani huelezea jinsi mtu anavyoweza kumwua mwingine?
• kunyonga, kupiga risasi, kusulubisha, kukata kichwa
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumwua mtu?
• murder (n), homicide, killing, assassination, foul play, capital crime, beheading, bloodshed, butchery, crucifixion, decapitation, electrocution, fratricide, immolation, infanticide, liquidation, manslaughter, martyrdom, matricide, patricide, regicide, shooting, slaying, strangulation, smothering, suffocation, terrorism,
(4) Maneno gani hutaja serikali inapomwua mtu kwa sababu amevunja sheria?
• execute, put someone to death, sentence someone to death, capital punishment, the death penalty, capital offence, capital crime, punishable by death, execution, condemned, be on death row,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuwaua watu wengi?
• massacre, slaughter, exterminate, annihilate, wipe out, bloody,
(6) Maneno gani hutaja mauaji ya watu wengi?
• massacre (n), slaughter, carnage, genocide, mass murder, ethnic cleansing, annihilation, blood-bath, extermination, holocaust, pogrom,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kujiua?
• kujiua, kujiangamiza
(8) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kumwua mtu?
• attempted murder, attempt on someone's life,
(9) Maneno gani humtaja mtu ambaye amemwua mtu mwingine?
• murderer, killer, assassin, hitman, slayer, executioner, hangman, liquidator, murderess, slaughterer, slayer, terrorist, strangler,
(10) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anataka kumwua mwingine?
• homicidal, murderous,
(11) Maneno gani humtaja mtu aliyeuawa?
• martyr, murdered man/woman, victim, fatality,
(12) Maneno gani humtaja mtu aliyeuawa vitani?
• killed in action, casualty, casualty of war, civilian casualty, collateral damage,
(13) Maneno gani hutaja kitu au kifaa kilichotumika kumwua mtu?
• murder weapon,
(14) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kumwua mtu?
• fatal, killer, mortal, lethal, deadly, poisonous, toxic,
(15) Maneno gani hutaja kitu kama vile ajali au ugonjwa unaomwua mtu?
• kill, kill off, cause death, be a killer, destroy, decimate, wipe out,
(16) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu ambacho kinaweza kikakusababishia kifo?
• risk your life,
(17) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu ambacho matokeo yake ni kifo?
• cost you your life,
(18) Maneno gani hutaja tendo la kuua mnyama?
• slaughter, destroy, put down, put away, put something out of it misery,
2.6.6.2 Maiti
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maiti--yaani mwili wa mtu aliyekufa.
(1) Maneno gani hutaja maiti?
• maiti, mfu, mzoga
(2) Maneno gani hutaja kuoza kwa maiti?
• kuoza, kuozesha
(3) Maneno gani hutaja mwili baada ya kuoza au kuharibika?
• remains, bones, skeleton,
2.6.6.3 Mazishi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mazishi na vitu vingine vinavyofanyika baada ya mtu kufariki.
(1) Maneno gani hutaja mazishi?
• funeral, wake, graveside service, burial service, last rites
(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya mazishi?
• perform a funeral, hold a memorial service,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwaarifu watu kuwa mwingine amefariki?
• tanzia, taarifa ya waliofariki
(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho mtu anasema kuhusu marehemu?
• obituary, eulogy, epitaph,
(5) Sehemu za mazishi zinaitwaje?
• kilio, dua
(6) Maneno gani hutaja kitu kilichotengenezwa au kufanyika kuwakumbusha watu kuhusu marehemu?
• memorial, monument, in memory of,
2.6.6.4 Kuomboleza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuomboleza wakati mtu amefariki. Ingiza vitendo vyote vinavyofanyika kufuatana na desturi zenu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwomboleza aliyefariki?
• kuomboleza, huzuni
(2) Watu hutoa sauti gani ili kuonyesha ombolezo lao?
• kulia, kilio
(3) Kuna muziki maalum inayoonyesha ombolezo?
• wimbo wa maziko
(4) Maneno gani humtaja mtu anayeomboleza?
• mourner,
(5) Mavazi gani hutumika kwa ajili ya mazishi?
• nguo nyeupe
(6) Watu hufanya nini kuonyesha wanaomboleza?
• beat their breast, tear their clothes, shave their head, put ashes on their head
Share with your friends: |