2.6.3.9 Sherehe ya kuzaliwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayo husiana na sherehe ya kuzaliwa.
(1) Maneno gani hutaja sherehe inayofanyika kwa ajili ya kuzaliwa kwa mtoto?
• sherehe ya kuzaliwa, ubatizo, sherehe ya kumpa jina
(2) Maneno gani hutaja siku ya kuzaliwa kwa mtu?
• birthday
(3) Maneno gani hutaja sherehe ya kila mwaka ya kuzaliwa kwa mtu?
• birthday party
2.6.3 Kuzaliwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kujifungua na kuzaliwa.
(1) Maneno gani hutaja kujifungua kwa mama?
• have a baby, give birth, become a mother, bear a child, deliver, hatch,
(2) Maneno gani hutaja kuzaliwa kwa mototo?
• be born, birth, arrive, arrival, come along, come into the world,
(3) Maneno gani hutaja kipindi cha kujifungua?
• birth, childbirth, birthing, childbed, parturition, nativity,
(4) Hatua za kuzaliwa zinaitwaje?
• uchungu wa uzazi, kukata kiunga mwana, kutoa kondo la nyuma
(5) Maneno gani hutaja vitu vilivyofanyika kwa ajili ya mtoto?
• wash (the baby), anoint, swaddle (wrap in cloth),
(6) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na kuzaliwa?
• maternity, postnatal,
(7) Maneno gani hutaja mchakato mzima wa kuzaa?
• reproduce, breed, reproduction,
(8) Maneno gani hutaja kuzaliwa kwa mtoto wako wa kwanza?
• start a family,
Page 2.6.4.1.1 Kutunza mtoto mchanga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumtunza mtoto mchanga.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtunza mtoto mchanga?
• care for, watch, baby-sit,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumlisha mtoto mchanga?
• kumlisha, kumnyonyesha, kuachisha ziwa
(3) Vitu gani hutumika katika kumlisha mtoto mchanga?
• breast milk, milk, bottle, baby food, bib, highchair,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kushikilia mtoto mchanga?
• hold, cradle (in arms), rock,
(5) Maneno gani hutaja kumbembeleza mtoto mchanga wakati anapolia?
• comfort, soothe, cuddle,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kumbeba mtoto mchanga?
• carry in arms, carry on back
(7) Vitu gani hutumika kubebea mtoto mchanga?
• baby carriage, pram, stroller, backpack, car seat, carrycot,
(8) Mtoto mdogo huwekwa wapi?
• crib, cradle, playpen,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kukojoa au kunya kwa mtoto?
• wet, urinate, defecate, potty,
(10) Maneno gani hutaja tendo la kumsafisha mtoto mchanga?
• change someone's diaper, diaper, nappy, bathe, baby powder, baby lotion,
(11) Mtoto mchanga hupewa madoli gani?
• rattle, pacifier, dummy,
(12) Maneno gani hutaja kumkinga mtoto mchanga?
• amulet, evil eye,
2.6.4.1 Mtoto mchanga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mtoto mchanga.
(1) Maneno gani humtaja mtoto mchanga?
• mtoto mchanga, kitoto, kichanga
(2) Maneno gani hutaja kipindi mtu anapokuwa mtoto mchanga?
• infancy, babyhood
(3) Maneno gani hutaja matendo ya mtoto mchanga?
• crawl, wiggle, turn over, sit up, toddle,
(4) Maneno gani huelezea kitu fulani kinachotoka kinywani mwa mtoto?
• drool, dribble, spit up, burp,
(5) Watoto wachanga hutoa sauti gani?
• kulia, kubwabwaja, kuropoka
2.6.4.2.1 Kulea mtoto
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumlea mtoto--yaani kumtunza mtu akiwa mtoto ili apate mahitaji yake yote na kuwa mtu mwema.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja malezi ya watoto kwa jumla?
• malezi, kulea, kulelewa
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumtunza mtoto ili apate mahitaji yake yote?
• kumtunza, kumwangalia, uangalizi
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumfundisha mtoto?
• kufunza, kufundisha
(4) Maneno gani hutaja tendo la kumfundisha mtoto nidhamu?
• nidhamu, adhabu
(5) Maneno gani hutaja kumlea mtoto vizuri?
• well brought up,
(6) Maneno gani hutaja kutokumlea mtoto vizuri?
• neglect, abuse, spoil, deprive,
(7) Maneno gani huelezea kumlea mtoto asiye wa kwako (yaani hujamzaa)?
• adopt, foster, guardian,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kumwangalia mtoto wakati wazazi wake wanapokuwa wakifanya shughuli zingine?
• look after, mind (a child), keep an eye on, baby-sit, sit, take care of, childcare,
(9) Maneno gani humtaja mtu anayemwangalia au kumlea mtoto?
• nurse, nursemaid, guardian, nanny, babysitter, sitter, child minder,
(10) Maneno gani hutaja mahali ambapo watoto wanaangaliwa?
• nursery, crèche, childcare facility,
2.6.4.2 Mtoto
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mtoto.
(1) Maneno gani humtaja mtoto (kati ya kuzaliwa na ubalehe)?
• mtoto, msichana, mvulana
(2) Maneno gani hutaja kipindi mtu anapokuwa mtoto?
• childhood
(3) Maneno gani humwelezea mtoto?
• young, little, small, underage,
(4) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na watoto?
• child (adj), childish, juvenile,
2.6.4.3 Kijana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomtaja kijana.
(1) Maneno gani humtaja kijana (kati ya ubalehe na utu uzima)?
• kijana, shababi, ghulamu, mvulana
(2) Maneno gani hutaja kipindi mtu anapokuwa kijana?
• youth, adolescence, in your teens, teenage years,
(3) Maneno gani hutaja wakati mtoto anapokuwa amebalehe?
• puberty, childbearing age, become sexually active
(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye bado si mtu mzima?
• immature, callow, young,
(5) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na vijana?
• youth (adj), juvenile, teenage, adolescent,
Share with your friends: |